ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati rasmi wa kuongea ukweli kuhusu Fiesal

    Nianze kwa kutoa lawama zangu KWA uongozi wa Yanga kwa sababu nimesikia eti Feisal amejiunga na kambi ya Yanga. Ni kwamba mashabiki wa Yanga hatumtaki Feisal. Tumeshakubali kwamba ameondoka. Hatumuhitaji please. Msije kushangaa akizomewa.. Na kwa wewe unaesema msimponde Fei kutaka kuondoka...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli juu ya kauli kuwa nchi nyingi za Kiafrika haziendelei kutokana na kuridhishwa na mfumo mbovu wa elimu?

    Kabla ya ujio wa Wazungu barani Afrika,Waafrika walikua na mfumo wao wa elimu kwa vitendo kulingana na mazingira. Elimu kama ya Uvuvi,madawa,kilimo,ufugaji,maadili zilikua zikitolewa na uchumi ulikua ukikua kwa kasi. Ujio wa Wazungu barani Afrika ukasababisha ukoloni na baada ya miaka ya...
  3. JamiiForums Tanzania Anayejua masharti yote ya Mkataba wa Feitoto na Yanga kufatwa ni Feitoto mwenyewe na Engineer tu. Tusiwasemee ukweli utajulikana

    Naombeni washabiki wa Yanga tuwe na subira. Kupitia kesi ya Feitoto tutajua tu ukweli Kama Yanga inalipa keshi au inawakopa wachezaji. Kwanini saidoo akiondoka na Dikson ambundo kidogo afungiwe. Wachezaji Wana Siri nzito Sana.
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli unaoogopwa kusemwa kuhusu bwawa la umeme la Nyerere

    LEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme. JNHPP itakuwa na uwezo wa kufua umeme megawati 2,100 na kuuingiza gridi ya taifa kila siku. Hatua kubwa kuelekea nchi...
  5. JamiiForums Tanzania Tuchague kipi kati Ukweli (A) na Siasa (C++)?

    Ukweli katika maisha ya Tanzania ni unavuna njaa na kutengwa, na makasiriko ya kila mara, Siasa inakupa pesa madili na maendeleo ya vitu, dhambi kuua, uwongo na unafiki. Fanyeni mchakato wa kupiga kura. Ntakuja endeleeni naandaa marking schemes zote mbili.
  6. JamiiForums Tanzania Lema adai Gambo anaficha ukweli kuhusu Tsh. Mil 400 za Bodaboda, Kingai aingilia

    Siku moja baada Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo kutoa madai ya kuwepo njama za kuuawa baadhi ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wa Serikali aliosema anawajua, Godbless Lema, mbunge wa zamani wa jimbo hilo amemshukia akisema analenga kuhamisha goli huku Jeshi la Polisi...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kweli watu wanaweza kuloga mvua isinyeshe?

    Hello, Mimi nataka kufahamu kuna ukweli ndani yake wanaposema kuna watu wanaloga mvua isinyeshe, na kama kweli for which purpose? I want to know how.
  8. JamiiForums Tanzania Baadhi ya kina kaka/baba acheni kelele na ukorofi

    Nilikaa kimpya sikujibu nilikuwa nawacha nisome maoni yenu kwanza halafu nikupeni update sasa. Na sasa nafunga huu mjadala na pia natumai mnaotaka mke sasa kama bado mmo sasa tulieni. Na mnao thani humu nimetowa pesa mimi sijampa hata shilingi nahisi ilikuwa ni kuchezeana akili. Huyu mwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi, Mshale unaonyesha Ufaransa anaenda kuchezea kichapo heavy semi final FIFA W/C

    Katika mechi 11 zilizopita Ufaransa ameshinda mechi 5 , amefungwa mechi 4 na ametoka droo mechi mbili, amefunga magoli 17 na amefungwa magoli 13 Kwa upande wake Morocco , katika mechi 11 zilizopita, ameshinda mechi 8 , hajafungwa mechi hata moja , ametoka droo mechi 3, amefunga magoli 19 na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Lema, ukweli hata kama mchungu shuruti usemwe

    Huu ndiyo ulio ukweli mchungu: Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa. Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kama hakuna Mzee au kiongozi yeyote wa kitaifa atamwambia ukweli Mzee Makamba, yajayo yanafurahisha

    Wapo watu wanadhani Magufuli hakuwa na watu na wapo wanadhani Magufuli alifanya Yale hakuambiwa au kutakiwa kuyafanya chini ya Baraza la usalama wa Taifa. Ikumbukwe Magufuli amekufa kwa sababu ya CCM kuendelea kukaa madarakani hii sio siri wala Habari yakuficha Hayati Magufuli amekufa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi, ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

    Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025 Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio...
  13. JamiiForums Tanzania Kwenu watu wazima mliovuka miaka 30, kuna ukweli kwamba inachukua miongo mitatu (miaka 30) akili kupevuka ?

    NB: nazungumzia akili ya maisha na sio pesa, elimu ya darasani, cheo, kuoa, n.k. hivi vitu hata kijana mwenye 18 anaweza kuwa navyo lakini AKILI bado haijakamilika kupevuka. Nimefatilia research mbali mbali nimeona wanasayansi wanao deal na mambo ya saikolojia wamekadiria kwamba wengi akili zao...
  14. JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU: Wazazi wengi hawana upendo wa kweli

    Anaandika, Robert Heriel Wazazi msiwape watoto wenu mzigo wa kununua upendo wenu kwa kuhangaika ili kuwapa pesa na mali. Upendo haununuliwi. Tabia ya kudai malipo kisa mliwasomesha au kuwazaa na kuwatunza huo ni uhuni. Kuwapenda watoto wenye vipato au wanaowapa vijizawadi ni dalili moja wapo...
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Osama Bin Laden apasua Ukweli. Asema hawaamini USA na pia kuna mambo yalimkwaza kwa baba yake

    Waislamu si ruhusa hata kunuswa na Mbwa inakuaje huyu Osama alifuga Mbwa? Osama Bin Laden alikuwa na Ajenda gani akaone atumie Dini kuzikamilisha? Sisi Wa kristo wa Masaki na Waislamu wa Buza huwa tunapelekeshwa tu katika mambo haya. ====== Mtoto wa Osama Bin Laden, Omar Bin ambaye wakati...
  16. JamiiForums Tanzania Haya mambo ya kupata mke mtandaoni yana ukweli?

    Tunaweza tukawa tupo kwenye mahusiano na wapenzi wetu tunaotarajia kuwaoa ila tunazinguana/kugombana kila siku, wakati kuna mitandao ambayo ipo kiganjani kwetu inaweza kututimizia haja ya mioyo yetu. Kiufupi, watu wengi hatuna muda wa kutongoza, hatuna muda wa kupita mitaani na kuangalia...
  17. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kilimo semeni ukweli kuhusu GMO

    Binafsi naungana na Huyu jamaa. 1. Mbegu za asili zimepotea. 2. Zamami kipindi cha kilimo mbegu tulichota kwenye magala yetu. 3. Mbegu za kisasa huwezi kureplant ukishaipanda ndo imetoka hiyo. 4. Matokeo yale watu wamekuwa watumwa wa kununua mbegu kila msimu. 5. GMO zinashambuliwa sana na...
  18. JamiiForums Tanzania Bashiru (Oct 12, 2018): Madalali wa mali za umma hawawezi kupendezwa na mijadala ya kujisahihisha

    '....Mijadala itatufanya tujisahihishe tulipojikwaa na msitarajie madalali wa mali za umma watafurahishwa na mijadala ya aina hiyo.' Bashiru - 12 Oct 2018
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli mwingine huu

    Katika pita pita na hawa watu wa jinsi ya upande wa pili yaani wanawake, warembo, vigori, mademu ati wanaita kuna hali flani hivi ya kweli...ni kuwa Unapomtongoza mrembo ambaye humvutii kabisa ona the first point atakataa au atakwambia anaenda kufikiria hapo maana yake hujamvutia na jibu lake...
  20. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli, uchaguzi wa CCM uliofanyika una viashiria vya udini

    Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini. Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu. Kama huu uchaguzi umefanyika kumridhisha Rais basi watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…