Ni kweli watu wanaweza kuloga mvua isinyeshe?

Ni kweli watu wanaweza kuloga mvua isinyeshe?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,950
Reaction score
67,489
Hello,

Mimi nataka kufahamu kuna ukweli ndani yake wanaposema kuna watu wanaloga mvua isinyeshe, na kama kweli for which purpose?

I want to know how.
 
Hellow

Mimi nataka kufahamu kuna ukweli ndani yake wanaposeMa kuna watu wanaloga mvua isinyeshe na kama kweli for which purpose? I want to know how
Stupidity at its best.

Kiimani, mvua inatoka kwa Mungu. Ili isinyeshe basi mhusika amloge Mungu. Na kama yupo basi ni Mungu mwenyewe huyo.

Kisayansi ni dhania nyingine. Ambapo sidhani kama kuna sayansi ya kiuchawi inayoweza kwenda kutenganisha mawingu yaliyojikusanya kwa ajili ya kunyesha.
 
Stupidity at its best.

Kiimani, mvua inatoka kwa Mungu. Ili isinyeshe basi mhusika amloge Mungu. Na kama yupo basi ni Mungu mwenyewe huyo.

Kisayansi ni dhania nyingine. Ambapo sidhani kama kuna sayansi ya kiuchawi inayoweza kwenda kutenganisha mawingu yaiyojikusanya kwa ajili ya kunyesha.
Sasa mbona watu wanasema labda wakulima wa chumvi wanakoga mvua means kuna ushaid ndani yake au ndio bad attitude
 
Wakiweza kuloga kumtoa ELON MUSK pale juu wakakaa wazee wa katavi ndio siku nitaamini uchawi upo
Mimi nashindwa kuelewaga kabisa kuna chuma ulete mmoja nilikuwa namjua kabisa siku moja aligandishwa dukani ilikuwa iabu
 
Hakuna awezaye kuingilia hii cycle hata wenye mashamba ya chumvi
images.jpg
 
Back
Top Bottom