ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania EWURA tuambieni ukweli ni upi kuhusu upungufu wa mafuta ya petrol wiki ijayo

    Mod usifute huu uzi na upaste kama ulivyo andikwa kigogo media Kiburi cha rushwa ,uhuni na ujeuri wa EWURA na waziri wa nishati wafikisha mgogoro wa upungufu wa mafuta ngazi za juu serikalini, chanzo chetu ndani ya EWURA kinatujulisha asubuhi na mapema leo hii. Baada ya kuona nchi inaingia...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo. Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
  3. JamiiForums Tanzania Kombe la kwanza kuja hapa kwetu Tanzania ni CAF Shirikisho, CAF Mabingwa bado hatuwezi, Yanga na Simba wajiengue mapema kwenye mabingwa

    Nelly alishawai kuimba Nini kinahitajika kuwa namba moja Wa pili sio mshindi Wa tatu hakuna anaemkumbuka Ukiwa namba moja Watakaa na kuiandika hata wakichukia Basi ndivyo ilivyo na kwenye haya mashindano ya caf interclubs (mabingwa na shirikisho). Kwa level ya timu zetu hizi ni ndoto kuja...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 Jinsi Hayati Magufuli alivyouvuruga

    Kumekuwa na shutuma nyingi sana za kumshutumu Magufuli kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020 lakini watowa lawama wote ukiwauliza alivurugaje au aliiba vipi kura hakuna atakayekupa jibu. Sasa leo nimewiwa kuwaondowa gizani, kama mtakakumbuka Magufuli aliwaita maafisa watendaji wote wa Kata Tanzania...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tuseme tu ukweli, Dkt. Slaa kadiri anavyozeeka anazidi kuvurugika

    Yule Dkt. Slaa 'mtabe' wa kujenga hoja sio Dkt. Slaa huyu anayepuyanga tu bila hoja. Na hapa ndio tunakumbushwa juu ya kuchana na baadhi ya mambo umri ukikutupa mkono, balozi dkt. Slaa kaamua kukataa dhana hii ya wahenga. Kauli ya kusema Waziri Mkuu sio halali kwa sababu mahakama ilibatilisha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

    Nimefanya kilimo cha parachichi kwa miaka nane sasa, nilichokiona ni haya; 1. Kilimo kina mzunguko wake ni mdogo parachichi huzaa kidogo kidogo kadri miaka inavyoenda, unatumia million 10 unapata million mbili...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ni kuwa JKT inazalisha mafisadi na watu wanaochukia nchi yao badala ya wazalendo

    Hii habari ya JKT Tanzania Nyerere aliiga China kwa Mao. Mao alivuruga kila kitu, watu wakatolewa mashuleni, kwamba haina maana na kupelekwa "JKT." Kigezo cha kuingia chuo kikuu kikawa si ufaulu shuleni bali bidii ya mtu na utii huko JKT. Watu walioenda kule JKT walikutana na mambo ya ajabu...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli Mama haeleweki huku mtaani

    Huku kitaa watu hawaelewi kabisa. Suala la Ngorongoro. Swala la Bandari. Ushauri. Mama apumzike tu. Ili chama kipone.
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi Wakenya walivyotupasha ukweli leo

    Zaidi soma hapa
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu kuhusu Wizara ya Fedha baada ya kusikiliza bajeti ya Wizara hiyo

    BAADA YA KUSIKILIZA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA LEO NIMEGUNDUA MAMBO MATANO MAKUBWA. Na wengi huenda huwa tunaitupia bure mawe wizara hii. Kivipi? JITAHIDI USOME UZI HUU MPAKA MWISHO. [emoji1545] Kati ya wizara ambazo zinapigwa mawe nchini basi wizara ya fedha inaongoza. Kwa sababu ndio...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Umwinyi na Usultani wa CCM ndio chanzo cha Balozi Ali Karume kubwatuka ukweli mchungu kawa Rais Mwinyi

    Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Khamis Mbeto amesema tayari chama hicho kupitia tawi la CCM Mwera kimemuita mwanachama wake, Balozi Ali Karume kwa mahojiano kuhusiana na kauli zake dhidi ya baadhi ya masuala ya chama hicho. Chanzo: Azam TV === Kila mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Read this very carefully guys and take a close look at yourself and the environment that you live in today Botha speech 1985 THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W. Botha to his Cabinet. This reprint was written by David G. Mailu for the Sunday Times, a South...
  14. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora ahueni kwa jamii

    Utawala Bora ni namna ya kutumia madaraka ya umma katika kutawala rasilimali kwa njia zilizo sahihi ili kukuza uchumi wa nchi.utawala Bora hujumuisha ukweli uwazi uwajibikaji na ushirikishwaji katika utoaji wa maamuzi. Ili nchi au taifa lolote liweze kupata maendeleo utawala Bora unahitajika...
  15. JamiiForums Tanzania Mikutano 100 huku "Mwamba" akiruka na chopa kama mtalii. Hakuna positivu impact kwenye chama chetu

    Kipindi hiki ilikuwa ndio wasaa wa kuonekana kama watetezi wa raia wa Tanzania kwa kuwa na hoja na kukubalika kwa wananchi. Mwamba ameruka na chopa kama mtalii toka Hai akizurula na chopa la kukodi. Hatujasikia kukubalika kwa hiyo operation +255 zaidi ya mwamba kuruka na chopa na kupiga...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Maafa kwenye mipira wa jana: We need independent verification. Unategemea wakifa 100 Waziri Ummy aseme ukweli?

    Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa. Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli? Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali. All in all, after all for politicians haina athali kufa watu kwenye mipira as long as their political positions...
  17. JamiiForums Tanzania Maisha halisi nguzo yake ni ukweli lakini je, kwanini watu hugeuza maisha kuwa ni maigizo?

    Habari JF, Niwashirikishe kwenye chagizo la fikra na fikirishi kiasi, palipo na ladha, raha na utamu unayoweza kuihisi, kuionja, kuitamani, kuusikiia, kuisikilizia, kuipenda au kivyovyote vile nyuma ya pazia kuna uchafu na madudu ambayo hatimae tunapata vitu kama ladha, raha na utamu. Hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Nguvu nilizowekeza kwenye ujana wangu nakula Matunda yake sasa

    Salaam kwenu wote, Mimi ni mgeni humu ila ningependa kushare kisa kidogo cha maisha ya ujana wangu. Nimezaliwa 1953. Kusema kweli mwenyezi Mungu alinijalia sana mimi, kwenye elimu ya darasani nilikuwa vizuri sana nikafanikiwa kumaliza chuo mwaka X kipindi hicho. Bahati nzuri nikapata kazi...
  19. JamiiForums Tanzania Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

    Nimepata taarifa kuwa kuna kijana wa kipale 36 years alikuwa anafanya kazi TRA hapa Jijini Dar es Salaam, kuwa ameuawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake . Maelezo zaidi ni kuwa Mke wake alikamatwa na kupelekwa Polisi,kisha akasindikizwa na Polisi kuja kumzika Mumewe. Ndugu, jamaa...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa hili la Rais Mstaafu wa Marekani kushitakiwa halina ukweli unatupotosha

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…