ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je Jamaa kasema ukweli?!πŸ˜†πŸ˜†

    https://youtube.com/shorts/asilW4p9R_Q?si=WLqTUfN5V1J3Ox5V πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
  2. JamiiForums Tanzania Laana ni jambo la ukweli au danganya Toto?

    Kumekuwa na tabia ya watu kutoa laana kwa watoto wao na hata kwa watu baki, je ni kweli laana inaweza kumkamata mtu aliekosea au ni imani tu?
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba Kubwa ni Kuukataaa Ukweli

    Habarini wanajukwaa la SPORTS. Mi mshabiki kindakindaki wa football.. Wazungu wanachotuzidi sisi wa Afrika ni kua Wazungu hua wanautafta ukweli na wakiupata hua wana ukubali ukweli huo. Ukitazama Ulaya Leo hii Manchester United wakiulizwa viongozi hadi wachezaji wanasema ukweli kua toka atoke...
  4. JamiiForums Tanzania Mafao wanayopata wenza wa viongozi wakuu wastaafu Tanzania ni kufuru

    Tanzania = Tanganyika + Zanzibar πŸ™ β€’ Mke wa Mwl, Julius K. Nyerere, Maria Nyerere. β€’ Wake wa Ali H. Mwinyi, Sitti na Khadija Mwinyi. β€’ Mke wa Benjamin W. Mkapa, Anna Mkapa β€’ Mke wa Jakaya M. Kikwete, Salma Kikwete β€’ Mke wa John P. Magufuli, Janeth Magufuli β€’ Mume wa Samia S. Hassan, Hafidh...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu kuhusu Kudanga

    Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
  6. JamiiForums Tanzania True love is so rare!

    From my experience real love is hard to find, real people are so rare! Wanawake siku hizi hawaaminiki kabisa. Their intentions is to play you and use you. The same applies to men. Kijana msomi jenga future kwanza... don't let society pressure you uingie kwenye ndoa mapema. Wengi wameanzisha...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Chambulo amwambia Gavana wa Benki kuu kuwa dollarization ipo kubwa zaidi serikalini

    https://youtu.be/0UZFmqxo2AY?si=2Q43Jp6nYxZ0pW5U Hadi gavana hajui sababu ya matatizo ya $? Auibu Mwenyekiti wa Chama cha watalii Tanzania, Wilbard Chambulo, amesema kuwa dollarization ipo zaidi serikalini na inasababisha watu wa wengine wadai dola. Amezungumza hayo baada ya Gavana wa Benki...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Ukweli Mchungu kwa walipa Kodi

  9. JamiiForums Tanzania Nimeangukia kwa single Mother

    Ndugu zangu, Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu kwenye mahusiano mengi

    Wanawake wakiwa wanapeana ushauri kusuhusu mahusiano, wanaambiana kuwa. "Shosti wewe date na Hao wanaume wote, halafu angalia yupi anajali zaidi na ana hela kuliko wenzie halafu ndio akuoe". NB: WANAUME TUWE MAKINI AISEE!
  11. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Dar es Salaam ni pazuri

    Kwasabb kili kitu kinapatikana hapa, mathalani elimu, afya, biashara, usafiri n.k. hali ya hewa ni nzuri licha ya uzito wake wakati mwingine, kila mtaa umechangamka na utamaduni, staili na tabia yake ya maisha. Haiwezikani eti kwa siku moja tu uzunguke dar nzima uimalize kama mikoa mingine...
  12. JamiiForums Tanzania Mawaziri wengi hawakubaliwi na wananchi, huu ni ukweli mchungu

    baada ya kufanya tafiti yangu binafsi mimi kama mzalendo nimeona mawaziri wengi hawakubaliwi na wananchi hii inaonesha wananchi wengi hawaikubali serikali. ikatokea ipigwe kura ya ndio kwa mawaziri nahisi waziri Gwajima ndiye atakayebaki maana sioni kama wengi wanamcoment vibaya. keq utafit...
  13. JamiiForums Tanzania Ramadhan kareem 2024

    Mwezi wa Ramadhan ni moja kati ya nguzo kuu za Uislamu. Kama ilivyo idhinishwa katika Kitabu kiukufu {QUR-AN 2 : 185}cha Waislamu. Siku za kufumga kati ya 29 mpaka 30 pia inategemea muandamo wa Mwezi. AFYA NA FAIDA YA SWAUMU 1. Ni kutekeleza mojawapo ya amri za Mwenyezi Mungu alizotuteremshia...
  14. JamiiForums Tanzania Dereva wa Magari ya Watalii, Omari Msamo adaiwa kuuawa na askari wa jeshi la Polisi

    Mwananchi mwenzetu na aliyekuwa dereva wa magari ya watalii, Omari Msamo ameuawa na askari wa Jeshi la Polisi, Wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha. Omari Msamo ameuawa baada ya kusimamishwa na kushushiwa kipigo kizito kilichopelekea kutoa uhai wake na polisi wa usalama barabarani baada kutuhumiwa...
  15. JamiiForums Tanzania CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Ni miaka 3 imepita tangu Rais Magufuli afariki. Ni jambo la kawaida, hasa siku ya maziko au wakati wa kutangaza kifo, kutolewa taarifa za kina za mazingira ya kifo cha marehemu, na kama pengine marehemu alitoa kauli yoyote. Haikuwa hivyo kwa Hayati Magufuli. Wengi walipenda na walikuwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

    Hata wewe msabato unae waponda wakatoliki, kwa mantiki ya uzi huu, wewe pia unafanya ibada ya sanamu. Kwani ibada ya sanamu nini? Umewahi kusikia mashabiki wa mpira wanasema " kwenye timu hii golini kuna sanamu?" Je unadhani maana yake huwaga ni nini? Maana yake ni kwamba kwenye timu hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Tusizuge na tuache Unafiki ukweli ni kwamba tuliomba hadi hata Kuroga tupangiwe na Asec ila Jini limeshindwa safari hii

    Na kuna Timu moja hapa Afrika licha ya kuwa inacheza Mpira wa uhakika, ni Tajiri wala haitegemei Kuuza Godoro la kuumiza Migongo Ina Wachezaji ambayo Bajeti yao ni Bajeti ya Miaka 10 ya Majini Baharini FC lakini pia hata Kiuchawi pia wako vyema ile mbaya ukizingatia kuwa hata nchini Kwao ndiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote hapa kuhusu malezi?

    Mdau kasema ukosefu wa Wanaume "Baba" kwenye malezi ya watoto wa kiume ndio kunapelekea vijana kuwa na mahusiano na wanawake wenye umri mkubwa. Huyu ndio Mwanamke mwenye ujauzito wa Dogo Nb. Dogo ana miaka 22 kampa ujauzito Mwanamke mwenye miaka 39.
  19. JamiiForums Tanzania Mpende kila mtu, mheshimu na jua ana mchango fulani kwenye maisha yako

    Dunia yote ni kitu kimoja, sisi binadamu ni kitu kimoja. Huu ndiyo ukweli ambao ukiuelewa na kuuishi kila wakati utakuwa na maisha bora. Tumekuwa tunaambiwa na jamii zetu, kwamba kundi letu ni bora kuliko la wengine, kwamba rangi yetu ni bora au asili na kabila letu ni bora kuliko nyingine...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Yanga leo kacheza vibaya na Namungo

    Leo yanga kacheza mpira wa papatu. very bad football. Bila AUCHO kazi wanayo yanga. Sure Boy bado sana kuwa sita bora. Leo ni neema tu imewabeba ila very low tempo football amna furaha yoyote. yanga can do better. wanajua ball ni swala la morali kama imeshuka vile over achievement kama Bayern...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…