ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Facing El Chapo: Movies ya kusisimua matukio ya ukweli wa kukamatwa kwa El Chapo

    Mnamo Januari 8, 2016, wakati wa operesheni ya Kikosi Maalum cha Jeshi la Wanamaji la Mexico ya kumkamata "Cholo" Iván Gastélum—mmoja wa wauwaji wakuu wa Sinaloa Cartel — maafisa wawili wa Polisi wa Shirikisho , Arturo Carmona na Héctor Rosales walisimamisha gari jekundu aina ya Ford Focus...
  2. JamiiForums Tanzania Dunia inafahamu ukweli kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Lissu ameiambia Mahakama akipatikana na kesi anyongwe mpaka kufa asipopatikana na kesi aachiwe huru

    ‪Dunia inafahamu ukweli. Ndiyo maana Tundu Lissu anasema akipatikana na hatia, anyongwe hadi kufa. CCM wanasema adhabu siyo kunyongwa pekee‬ ‪Tundu Lissu anaeleza Mahakama kwamba adhabu ya uhaini ni kuachiwa huru au kunyongwa hadi kufa. CCM wanasema Mahakama iamue kwa hisia tu‬ ‪Anyways...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa?

    Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa? Je, Mtakatifu Paulo, ambaye alidai kuwa mzaliwa wa Tarso na raia wa Roma, kweli alifanya safari ambazo anaelezwa kuwa alifanya? Au safari hizo zilitungwa tu ili kutoa msingi wa kuweka barua zake...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli Mgumu Kuhusu Maisha Niliogundua - Nimeamua Kuwa Mkweli Nanyi

    Wadau, Nimekaa chini nikafikiria sana kuhusu jinsi dunia ilivyo, na nikaona niwaambie ukweli mgumu. Kama ukweli usiofurahisha unakukwaza haraka na hupendi kusikiliza, basi pita tu. Huu ujumbe si kwa ajili yako. Ukweli ni huu: Dunia ni katili. Utakataliwa. Utapoteza watu uliowapenda. Utafanya...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli isioujua kuhusu Kodi je ni unyonyaji au ni maendeleo?

    UMEKUWA UKILIPA KODI MAISHA YAKO YOTE. JE, UNAJUA NANI ALIYEVUMBUA MFUMO HUU NA KWANINI? Kabla ya kuwepo kwa fedha, benki, serikali, au katiba... tayari kulikuwa na mtu aliyesimama mlangoni kwako akipiga hesabu ya kile unachopaswa kumpa. Kodi ya kwanza kabisa duniani ilikusanywa miaka 5,000...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Zinduka Sehemu ya Pili: Swali kwa Machawa wa Mfumo na Ukweli Kuhusu Nguvu ya Madereva

    Hapa kuna swali la msingi mno linalogonga ikulu ya fikra za kila mzalendo anayejitambua kufuatia mgomo wa madereva nchini na hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali: Hii serikali inayotaka kuleta mabavu, ina hayo magari na madereva mbadala wa kutosha nchi nzima kutoa huduma? Jibu ni fupi na...
  7. JamiiForums Tanzania Eti kuna mtuhumiwa anajaribu kuukana ukweli huu ambao ni wake mwenyewe

    hivi anatuanaje kwanza? Hivi, inawezekanaje kuukana ukweli wa wazi kabisa kama huu, na ulioleta taharuki, uharibifu, maumivu na usumbufu kwa waTanzania zaidi ya milioni 70? Halafu eti ng'we ng'wee ng'wee uachwe tu? who are you among others? You beter watch your back, sheria na katiba ya nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Paul Chacha ni mzalendo wa kweli wa CCM

    Paul Chacha ni mzalendo wa kweli wa chama cha mapinduzi kwa kuwa msingi mkuu wa CCM ni kusema kweli daima. Na hakika Chacha kasema ukweli kuhusu hivyo vyombo vya ulinzi ambavyo watu wengi hapa Tanzania hata humu JF wanafikiri vipo upande wao hata kuelekea maandamano ya mwaka jana Oct.29...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Nchi inaweza kuwa bila Daktari kwa zaidi ya mwezi mmoja lakini haiwezi kuwa bila askari hata kwa siku 5 tu.

    Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli. Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Machinga wanaonewa sana na Serikali hii

    Naweza kuandika maneno elfu 10 lakini. ukweli ni kwamba machinga wanaonewa sana. Nature ya biashara zetu hapa bongo asilmia 80 ni uchuuzi. hawa watu wanateseka na hawana mtetezi. Wasubiri Uchaguzi watarudi tena barabarani na huwa wanatumiwa kama TP
  11. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli Nembo mbalimbali za michezo ni Free mason?

    Je, kuna ukweli wowote kwamba nembo za vifaa vya michezo (kama vile Nike, Adidas, Puma, au nyinginezo) ni ishara za Freemason. Je ni (conspiracy theories) na uvumi wa mitandaoni ambao hauna ushahidi wowote wa kihistoria au wa kisheria au kuna ukweli? Ukweli kuhusu nembo hizo umejikita katika...
  12. JamiiForums Tanzania Hongera Lissu kwa kuwapasulia mahakama ukweli: kesi ilitakiwa kufutwa siku ya kwanza imeletwa mahakama kuu.

    Hongera sana Mheshimwa Lissu kwa kuipasulia ukweli mahakama kuhusu kusikiliza kesi za kupikwa. Mheshimiwa Lissu kaiambia mahakama ya kwamba kitu ambacho kilitakiwa kiamuliwe ndani ya wiki Moja, imechukua mwaka na nusu kuamua. Lissu ameyasema hayo katika Hali ya kuonesha masikitiko yake kwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu treni ni huu; Wengi Hawaujui

    Naomba nikujulishe kwamba: 1. Treni siyo Gari ni mashine au mtambo unaotembea 2.Treni Hainaga Dereva bali ina msimamizi tu kama zilivyo mashine za kusaga inasimamiwa na Operetor Au machinest 3. Treni haibebi mzigo bali inavuta au kusukuma mzigo 4. Treni inaweza kuendelea na safari na...
  14. JamiiForums Tanzania Kioo kinatuonyesha ukweli kwa kiasi gani?

    Mirror 🪞 Hello Great thinkers 👋 Kwanza naomba niweke sawa hapa Kuna mtu aliniuliza kwanini unaandika sana JF ? Sielewi hapendezwi au lah(?) Akauliza 👇 Huna kazi?: me nina kazi ✔️ Unalipwa?: Silipwi ❌️ NB:Writing is one of my hobbies ✍️🧠 Nitakua busy sana lakini siwezi kabisa kukosa...
  15. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya semeni ukweli sasa! Tanzania inawasaidia sana; Tanzania yaipiku Saudi Arabia kwa Wakenya nchini Tanzania wakituma KSh1.5 Bilioni nyumbani

    Tanzania imeipiku Saudi Arabia kwa mara ya kwanza kama chanzo cha fedha zinazotumwa Kenya na diaspora, huku Wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tanzania wakituma nyumbani shilingi bilioni 1.52 (pesa za Kenya) kwa mwezi Agosti 2026 tu. Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu ya Kenya(CBK), Wakenya...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa Chadema,Nchi vinara wa Demokrasia na Katiba Mpya USA & Ulaya Huwa Hawafichi Ukweli wa Taarifa za Serikali

    My Take Chadomo muwe mnadanganya wajinga mnaowaokota huko mtaani na wasiojitambua 😂😂😂
  17. O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Gachagua Alidai Amewekewa Sumu?

    Graphic inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inadai kuwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua alisema akiwa Marekani kwamba alikuwa hajisikii vizuri na kwamba huenda alikuwa amewekewa sumu kabla ya kuondoka Kenya. Graphic hiyo inahusisha madai hayo na serikali ya Rais William Ruto na kudai...
  18. JamiiForums Tanzania The Voices From Within: Japo Wamenyamaza Kama Mazuzu, na Hawaulizi Kitu, Ila wana Macho na Masikio,Wanatamani Wawe Wanaelezwa Ukweli, No Matter What!

    Wanabodi Naendelea na zile mada zangu za "The Voices From Within" ambazo ni mada za kufikirika tuu. Angalizo la Mambo ya Sauti. Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu, unaweza kuuliza, lakini kwa mambo ambayo sii yetu, huwezi kuuliza, miongoni mwa mambo ambayo sii...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli ambao wengi hatuutambui

    Maisha yanatufundisha kwamba mara nyingi hatujui thamani ya kitu mpaka tunapokaribia kukipoteza. Tunapokuwa nacho, tunakichukulia kawaida. Tunakitumia bila kufikiria kesho. Lakini pale kinapoanza kupungua, ghafla tunaanza kukiona cha muhimu sana. Mfano mzuri ni simu ikiwa na 90% battery...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu picha zinazoenea za jezi za Tanzania kwenye Afcon?

    Kama ni kweli zile tunazoziona kwenye social media ndio Jezi watakazovaa timu ya Taifa kwenye Afcon basi tutakuwa na tatizo la afya ya akili. Waziri Makonda usikubali huu usanii utakaopelekea kuharibu saikolojia ya wachezaji uwanjani. Mbona uzi wa Yanga ni mzuri na una kiwango iweje uzi wa Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…