ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Wagosi wa Kaya popote mlipo, nawapa maua yenu albamu iitwayo "UKWELI MTUPU"

    📖Mhadhara (75)✍️ Februari 24, 2002 ilizinduliwa albamu iitwayo "UKWELI MTUPU" kutoka kwa wasanii wawili, si wengine bali ni WAGOSI WA KAYA kutokea kule mtaa wa Kisosora, Tanga mjini. Mmoja aliimba kwa lafudhi ya Kidigo, na mwingine aliimba kwa lafudhi ya Kisambaa. Ilikuwa ni albamu iliyosheheni...
  2. T

    Ukweli mchungu. Haya ni maisha yangu

    Majina yangu ni Johannes Ignatius Rwebangira, mzaliwa wa kijiji cha Bisheke, Kata ya Mubunda, Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Baba na Mama yangu wote wakiwa wazawa wa kijiji hiki pia, hivyo hapa ni nyumbani. Mwaka 1994, nikiwa na umri wa miaka miwili (2), ndipo safari ya hadithi ya maisha yangu...
  3. S

    Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

    Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam. Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa...
  4. Ukweli usemwe, mkikosoa basi mjue na kupongeza pia, Mama anatisha

    Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau? Au mnangoja yapande ndio mlaumu? Mkijua kulaumu mjue na kupongeza. Mama mpaka achoke mwenyewe
  5. M

    Graduates waambiwe ukweli , Career nyingi hasa za kutumia mdomo hazitambui degree zenu. Mjiongeze

    Habari wadau. Nimekutana na graduates wa UDSM analalamika ajira hapati na yeye ana degree ya Journalism & Mass communication from school of Journalism ya UDSM. Baada ya kumsikiliza nilimuuliza swali. Kwamba kama ndio yeye anafungua media yake yenye radio na Tv wanakuja watu kuomba kazi.. mmoja...
  6. E

    Eric Kabendera acha kudanganya umma, ukweli wa kifo cha Ben Saanane uko kwenye huu uzi

    Magufuli hawezi kuwa sio smart kiasi ulicho andika ni low IQ people ndio wataamini hiki ulichoandika
  7. Zipo wapi nguo za ndani (boxers)za ukweli hapa Dar?

    Ndugu wajuvi, Ni wapi ninaweza kupata boxers zenye ubora hapa Dar? Nyingi zimekaa kiajabu, zinapauka mapema. Sasa, nimeona nijaribu hizi za Woolworth(tazama kiambatisho). Je, kuna mzoefu na hizi boxers za hawa jamaa? Nimeona nianze na piece tatu tu kujaribu. Nikinogewa niongeze. Ninaomba...
  8. Ukweli ulio uchi ulivyotoweka milele..

    Uongo alimwambia Ukw eli, "Hebu tuoge pamoja, maji ya kisima ni mazuri sana. Ukweli, akiwa bado na mashaka, alijaribu maji na kugundua kuwa ni mzuri. Basi wakavua wote nguo wakawa uchi na kuanza kuoga. Lakini ghafla, muongo akaruka kutoka majini na kukimbia, akiwa amevaa nguo za Kweli...
  9. Ukweli uliojificha, inakuwaje mtu anakataa kuoa na mafanikio Hana? Kama kutooa mapema ni vizuri kwanini miaka inafika 30 Bado kipato Cha kubangaiza?

    Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa. Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa! Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8 Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio...
  10. Tutiririke vitu vya msingi kuvijua unaposimamia ujenzi kama mmiliki, haya mafundi tuambieni ukweli 1 2 3

    Habarini wakuu, Kuna vitu ambavyo mafundi tunaomba watuambie katika kusimamia ujenzi tuvijue ili tupate nyumba kulingana na gharama iliyotumika kwa kuanzia:- 1-Mgawanyo wa hatua za Ujenzi kwa mgawanyo mkubwa na mgawanyo mdogo. Mfano Mgawanyo mkubwa ni Boma-Kuezeka-Kuhitimisha. Ila mgawanyo...
  11. Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli

    Wanabodi, Hii story ya Sultan wa Zanzibar kurejea Zanzibar Ni fake news. Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni Jana baada ya kuisoma na kuchangia, nilipandisha bandiko la maoni yangu. Kaka yangu mmoja kutoka Zanzibar, Kaka Chale, akanipigia simu...
  12. Ukweli mchungu ambao unapaswa kujua

    UKWELI MCHUNGU AMBAO UNAPASWA KUJUA Una mwenzako wa kike kazini, ninyi wote mnapokea mshahara au malipo sawa. Lakini mnapokwenda kula chakula cha mchana, unajifanya "MTU MZURI" na unalipa kwa ajili yenu wote. Mnapochukua teksi kurudi nyumbani, unajifanya tena "MTU MZURI" na unamlipia. Lakini...
  13. Hizi taarifa za kupachikwa majasusi/usalama kila taasisi zina ukweli gani?

    Hizi taarifa za kuwepo kwa majasusi/vipenyo(spies) kwenye vyama vya siasa, taasisi za kidini, timu za mpira, makampuni na taasisi nyingine nyingi za umma zina ukweli gani? Mfano katika vyama vya siasa wengine wanaotajawa katika hizi stori ni viongozi wa juu kabisa. Hivi kiuhalisia serikali...
  14. Upi Ukweli kuhusu Uwekezaji wa FIC?

    Ndugu zangu, kwa siku za karibuni kumekua na watu mbalimbali katika taasisi za Umma na binafsi wakijihusisha na Uwekezaji katika kampuni ijulikanayo kama FIC ambapo wanaweka mitaji na mitaji hiyo inakua kila siku. Je Uwekezaji huu ni halali? Usalama wa fedha za Wananchi upo? Hii ni sehemu ya...
  15. Vyovyote anavyokuwa mwanamke akishaolewa lawama na pongezi ni kwa mumewe huu ndio ukweli

    Du jamaani wanaume kama bandiko linavyosema mwanamke akishaolewa wewe ndie mwalimu wake hivyo vyovyote atakavyokuwa akiwa malaya akiwa na tabia mbaya yeyote wewe mumewe ndie umemfanya awe hivyo akiwa na tabia njema wewe ndiye wa kupongezwa. Wanaume wote waliooa kamwe usije ukaandika bandiko...
  16. Ukweli mchungu mahari ni utumwa tufunguke macho Waafrika

    Mahali ni utumwa kwani mwanamke auzwe kama mzigo au bidhaa Waafrika tufunguke tuzitoze mali watu kama wamependana tuwape baraka na sio tuendeleze utumwa. Ndoa nyingi sana zinavunjika kwa sababu ya hii kitu watu wakifunguka macho wakaacha hii hakuna ndoa itakayovunjika upendo utatamalaki...
  17. PreGE2025 Tatizo la Lissu ni tishio kwa wenye mirija. Hawataki ikatwe. Na ukweli ni kwamba akishinda itakatwa. Undugu na kujuana mwisho!

    Dadadeki! Wajumbe pambaneni kwa kweli. Kama mnajijua mpo kwa mazoea zoea na kupenda kuendeleana. Au kupeana peana vinafasi hata kama hamna uwezo Basi hakikishenj huyu Lisu hapiti. Mimi sijui mtoto wa Mwenyekiti. Sijui mtoto wa muasisi. Sijui hawara wa kiongozi Fulani nipewe viti maalumu...
  18. Hizi tetesi za Lissu kujiondoa kugombea uenyekiti chadema zina ukweli?

    Kumekuwa na tetesi viungani kwamba Lissu kaamua "kurusha taulo" na anaomba refa amalize pambano, kulikoni? Kwamba anataka Wenje ajiondoe kugombea umakamu, na yeye ajiondoe kwenye uenyekiti arudi kwenye umakamu
  19. Abdul jitokeze hadharani usema ukweli wote wa fedha za mama Abdul. Kunyamaza kwako kunaleta sintofahamu

    Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul. Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema kinagaubaga tujue muongo ni nani kati ya Lissu na Wenje. Njoo baba hadharani ukate mzizi wa fitina...
  20. Maoni yangu; ijapokuwa ukweli huuma lakini uongo huuma zaidi

    Sipingani na ule msemo maarufu wa ukweli unauma, lakini leo Kuna baadhi ya mambo yamenifanya kuamini kuwa kumbe hata uongo,kusingiziwa jambo ambalo hukulifanya huwa inauma zaidi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…