Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.
Kizazi cha ndugu zetu kilichokuwa na akili kidogo ni kile cha kina Gamal Abdel Nasser aliyekuwa Rais wa Misri miaka ya 1960.
Kizazi hiki ndo the Golden Generation ya hawa ndugu zetu. Pamoja na unyonge ila waliweza kusimamia kweli na kuitetea kweli. Waliisimamia Palestina dhidi ya Israel hadi...
1. Kuwa mwangalifu na afya yako siku zote.
2. Jiwekeze kiuchumi kwani fedha itakuwa msaada wako umri ukienda.
3. Umri ukienda sana thamani inategemea hali yako ya kifedha.
4. Umri ukishaenda hakuna atakayekuajiri.
5. Watoto ulio nao wote wapi tayari kukaa na mama yao akiwa mzee kuliko wewe...
Kuna jamaa hapa kijiweni kasema kama ulikuwa hauna unafuu kabla ya 2015, umebakia hivyo hivyo had hii sasa yan unaishi kwa mishe to mishe zisizoeleweka
Hakuna nchi inayoweza kupiga hatua kubwa za kimaendeleo endapo SIASA zake zinalipa kuliko VIWANDA VYAKE,Katika nchi ambayo Wanasiasa ni matajiri Kuliko Wafanyabiashara na wajasiriamali, hapo ni lazima umaskini utanawiri tuu!!!
Hayaa ni maoni yangu baada ya kukaa na kutafakari jinsi watu wengi...
Ukitafakari kwa kina, utagundua huu ndio ukweli . Mwanza hawajaikaa CHAUMMA, bali wameikataa CCM inayotuhumiwa kuifadhili CHAUMMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani badala ya CHADEMA.
Hasara ya CHAUMMA ni kupoteza hata ile imani kidogo watanzania waliokuwa nayo juu ya chama hiki.
Somo...
Mbunge Musukuma alisikika akiunguruma Hatuna chochote cha kujifunza kutoka Kenya! Waakenya tunawazidi kwa kila kitu: akili, siasa ....!
Kwa Musukuma kudai ana akili kubwa.....ni kichekesho cha mwaka huu. Wakenya walidukua saiti yake mtandaoni wakakuta alifeli la saba, tena la Tanzania! Ikawa...
Tunamjua Mwakyembe alisimama imara kuwapinga Mafisadi kina Lowassa na Rostam
Tunamjua Mwandosya, alimpiga spana Jiwe na kuweka msimamo dhidi yake pamoja na Jiwe kumbananisha sana
Tunamjua Sugu, pamoja na urafiki wake na Samia ila kasimama imara kusambaza No Reforms No Election
Tunamjua Mdude...
Gwajima tunanfahamu ni mtu ambaye hajakurupuka kutoa taarifa ya utekaji kwani swala hilo linapigiwa kelele na watanzania wote, kitendo cha raisi kumdhalulisha gwajima mbele ya umma huku akijuwa mambo aliyoyaongea yalitakiwa yafanyiwe kazi na serikali ni dhahiri sasa watekaji raisi mwenyewe...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu, gazeti la Mwananchi la leo.
Hili ni swali, hizi tuhuma za wanaharakati wa jirani kutendewa ndivyo sivyo, ni zinatuchafua kwelikweli kitaifa na kimataifa!. Swali je ni Tanzania tunachafuliwa kwa tuhuma za uongo?, au tuhuma hizo ni kweli, sisi ni Wachafu? na...
Viongozi wote wa Kiafrika wakubali wakaungana na kusimama katika mshikamano watafanikiwa kuwakomboa watu wao wanaoishi katika umaskini. Waafrika wote wanahitaji kuungana tena na kuacha kuruhusu Magharibi kudhibiti utajiri wa Afrika.
Viingozi wa Afrika yote mnahitaji ka kudhibiti utajiri wa...
Samia is real an icon of this particular country and world at large. She speaks her mind truthfully with no lies to make people happy even if they are not happy
During the magufuli's regime the government was run on fixes and proxies such that no one was allowed to query even though there...
Kati ya feature phone na smartphone, smartphone ndiyo rahisi zaidi kuhackiwa, na hii ni kwa sababu zifuatazo:
1. Muunganiko na intaneti
Smartphone inaunganishwa mara kwa mara na intaneti (Wi-Fi, data), na hivyo kuifanya iwe rahisi kushambuliwa kwa njia ya mtandao.
Feature phone nyingi hazina...
Katika jamii nyingi za Kiafrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania, kuzaa watoto wengi huonekana kama ishara ya baraka, fahari, na hata ujasiri wa kifamilia. Misemo kama “mtoto ni zawadi ya Mungu” au “familia kubwa ni hazina” husikika kila kona ya mtaa. Lakini katika zama hizi za mabadiliko ya...
Mtangazaji wa BBC idhaa ya kiarabu alivyokuwa akijaribu kuuficha ukweli kwa ya nayo endelea huko Gaza
Anaficha ukweli kuhusu Njaa ya kutengeneza huko Gaza kwa kuonyesha video za watoto wakigombania chakula wakati afya zao ni njema kabisa.
Walijiandaa kweli kweli kushangilia anguko....
Na target yao kamwe haikuwa yule mtaalamu, Bali Jk. Walianza kumshambulia tangu alipokuwa kule kwa yule Kamanda rafiki wa Putin........"oooh, ameenda kufanya nini?" Wengine, "kamanda kuwa makini atakuwekea sumu huyo!" N.k
Mungu hakika ataendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.