Kuna tetesi nimezipata mahali kuwa JWTZ imeliagiza JKT kuacha mara mmoja kuandikisha vijana jeshini kwa Vimemo kutoka kwa wanasiasa. Unakuta Mwanasiasa moja analeta majina ya ndugu 100 kupitia maeneo tofauti.
Jeshi linakuwa la undugu. Jeshi limeapa kuwataja kwa majina na kuchukua hatua. Ilisema...