ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisema ukweli

    https://youtu.be/xAt_0R-fv0k?si=oT7VUl1dtDP9SkZi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wanaume kuna muonekano ukiwa nao, huwezi kuja JF kulalamika kuwa kila mdada unayemtongoza anakuomba omba hela

    Habarini, Tofauti na kichwa cha habari, katika pitapita zangu TikTok nlikutana na account ya jamaa mmoja mtanzania, anajiita Dr Julian sio mwanamziki wala sio muigizaji, hapost maisha expensive, ila aloo hiyo idadi ya wadada wanao-andika thirst comments kwenye picha za huyo mkaka , na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huu ndio ukweli mchungu kuhusu OKTOBA 29 , hakutakuwa na maandamano Bali ni Kutiki tu

    Ninasimamia ninachoamini na ninaamini watanzania hawapo tayari kwa maandamano yasiyo na mwisho na Hilo ndilo linafanya maandamano yanayoratibiwa kufanyika OKTOBA 29 kukosa hoja ya ushawishi na utekelezaji na kuyapuuza. Huu ndio ukweli mchungu wa OKTOBA 29 : Kwanza , watu wataamka mapema...
  4. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Pombe ni kinga ya ukweli katika asili.

    POMBE NI KINGA YA UKWELI KATIKA ASILI. Kuna maneno mazito sana katika ulimwengu wa kale: wakati babu zetu walipo tumia kinga ya ulevi kusema Ukweli. Walijua wazi kuwa “Ukweli ni mchungu na huumiza, lakini Uongo ni mtamu lakini Huua.” karibu katika meza ya Mkushi Dr. DOGOLI KINYAMKELA ☠️💀...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Ndoa za Kiafrika!

    Siku ya kwanza, Mwanaume anasikiliza na Mwanamke anasikiliza, Padre ndio anaongea. Mwaka wa kwanza wa ndoa, Mwanaume anaongea Mwanamke anasikiliza. Mwaka wa pili, Mwanamke ndio anaongea. Mwanaume unasililiza. Mwaka wa tatu, Mwanaume unaongea na Mwanamke anaongea, Majirani wanasikiliza...
  6. TATIBU SALUM

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kamari na hasara zake na namna ya kujinasua

    UKWELI KUHUSU KAMARI Habari yako mwana jf unaesoma uzi huu, leo nataka nizungumze na wewe, uwe mkamali au sio mkamalia huu ni ujumbe muhimu kwako KAMARI NI NINI Kamari ni mchezo wa kukusanya pesa kwa washiriki na kumpatia mmliki, kisha mmiliki kutoa kiasi kidogo kwa baadhi ya washiriki ili...
  7. Poker

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukweli usioufahamu kuhusu wanaosema wataandamana

    Wengi wenu mnajitahidi kuamini kuwa tarehe 29 watz wataandamana, ila kiuhalisia haiwezekani kwasababu zifuatazo. 1- Idadi ya wageni waliopo Tz ni kubwa mno, yaani wakongo, warundi, wamalawi, wahindi n.k. Hili kundi haliwezi kuandamana maana wapo nchini kwa hisani ya CCM. Kweli mhindi...
  8. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Serikali ya awamu ya sita?

    Nawaita hapa wote. Wadau wa CCM , wadau wa vyama vya upinzani, wasio na vyama na watu wengine. Maneno mtaani ni mengi kuhusu Serikali ya awamu ya sita. Yanasemwa mengi kuihusu ikiwemo ufisadi unaofanywa na Rais , familia yake pamoja na watu wa karibu yake. Lakini haya husemwa kila awamu...
  9. Think2

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Charlie Kirk ambaye amefariki kwa kupigwa risasi huko nchini Marekani

    Charlie Kirk ni nani? Charlie Kirk (alizaliwa tarehe 14 Oktoba 1993 – alifariki tarehe 10 Septemba 2025) alikuwa mwanaharakati wa kisiasa kutoka Marekani, mwandishi, na mtangazaji wa vyombo vya habari vya kihafidhina (conservative). Alianzisha shirika la Turning Point USA mwaka 2012...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania IDF imesema Hamas wameua wanajeshi 4 jana, siku zote huwa hawasemi ukweli wamekufa wengi

    Wanaukumbi. Wanajeshi wanne wa Israel wameuawa katika shambulio la Hamas pembezoni mwa Jiji la Gaza mapema Jumatatu Septemba 8, 2025 jeshi limethibitisha baadaye siku hiyo. Tangazo hilo limetolewa wakati Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu akiwatolea rai wakazi wa Jiji la Gaza “kuondoka mara moja,”...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu nyaraka kwenye kesi ya Lissu kujulikana leo

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amerudishwa tena katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam kwa ajili ya muendelezo wa kesi yake ya uhaini. Kurudi kwa Lissu leo Septemba 9, kunatokana na mapingamizi aliyoyaibua jana Septemba 8, mbele ya Jopo la Majaji watatu Jaji Dunstan...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania JamiiCheck inapaswa kufanya utafiti kama kuna ukweli ama kuficha ukweli?

    JamiiCheck ilianzishwa kama jukwaa la kijamii linalowezesha wananchi kuwasilisha taarifa zinazowatia mashaka kwa lengo la kupata msaada wa uthibitishaji. Kupitia huduma hii, wataalamu na wachambuzi wa habari huchunguza vyanzo, kulinganisha ushahidi, na kutoa majibu sahihi kwa wananchi. Hatua...
  13. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania CCM wajue huwezi kamwe kuuficha UKWELI

    Confucius alisema,vitu 3 huwezi vificha, JUA, MWEZI NA UKWELI. Unaweza tembea na uwongo, kuupamba na kuuremba, lkn Ukweli utakuumbua. Natamani wangejua Hekima za wazee,MFICHA UCHI HAZAI. Chama chenu kina vijana wasio na uwezo wa kupambana na hoja matokeo yake ndio haya. Nakumbuka kipindi cha...
  14. Setfree

    JamiiForums Tanzania JF-Expert members - mnaujua ukweli huu? Maneno yote tunayosema na kuandika, Mungu anayarekodi. This is serious!

    Mada hii ni maalum kwa ajili ya JF-Expert members. Kuanzia leo, tambua kuwa maneno unayo-post humu, licha ya kuhifadhiwa na servers za JF, yanatunzwa pia kwenye "servers" za mbinguni. Yesu mwenyewe alisema, “Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa maelezo kuhusu kila neno walilonena...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Waafrika wasipotafuta ukweli wa dini za kuja wakasimamia waliyolishwa juu ya yesu na muhamad wataendelea kuwa maiti

    Haiwezekani mtu uishi kwa vitabu vya hadithi na mistari ukawa mzima labda mfu. Haiwezekani Mungu akuletee watu wengine nje ya jamii yako eti ndiyo wakuoneshe njia ya mbinguni. N.K.
  16. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnaoimbishwa wimbo wa "OKTOBA TUNATIKI" ni mkumbo wa kichama au mnaujua ukweli wa kutiki?

    Wakati wewe unaimbishwa wimbo wa "OKTOBA TUNATIKI" mnao waimbia wako busy kujiwekeza kiuchumi wao na watoto wao pamoja na familia zao kwa ujumla kupiti mgongo wa ninyi mnao imbishwa huo wimbo. Nimesikitika sana nimeenda kituo cha afya kimoja kikubwa tu na kinahudumia zaidi ya kata tatu au zaid...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli, Abdallah Ulega hastahili kuwa Waziri wa Ujenzi

    Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega...
  18. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania CCM mkubali tu:- Ukweli, Haki na Uhuru lazima vitafutwe

    Kwa sasa nchi ipo kwenye sitofahamu, Kila kiongozi anajinasibu yuko sahihi, swali wanataka kutupeleka wapi, tuko wapi na tunaelekea wapi? 1; Nikimuuliza comrade Kikwete nani ametufikisha hapa atajibu nini?? 2: Nikimuuliza Mh Samia tuko wapi na unataka kutupeleka wapi je utakuwa na jibu!! 3: Hoja...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vipi hapa Rafiki yetu Msema Ukweli yuko sahihi au leo kakosea?

  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi: Hakuna ukweli wa Kontena la Silaha kuingia nchini

    Msemaji wa jeshi la polisi nchini Tanzania David Misime amekanusha kuwepo kwa kontena la silaha na kusema kuwa ni taarifa za uongo. ameyasema hayo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dodoma, na kusisitiza kwamba hakuna ukweli juu ya taarifa hizo Misime ameonya pia juu ya baadhi...
Back
Top Bottom