Wakuu, kwa katiba hii ya sasa hakuna mtawala asiye itaka, yaani mtawala anakuwa juu ya mihikili yote ya nchi. Nani asiyeitaka?
Chama tawala hakitakaa kitupe katiba tuitakayo raia aba dani. Itawabana, jeshi linaheshimu katiba ya nchi, mkibadilisha mtawala akifanya ndivyo sivyo jeshi litamwambia...