Ukweli mchungu, mpaka 2030 hatutakuwa na katiba mpya

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,056
Reaction score
12,917
Wakuu, kwa katiba hii ya sasa hakuna mtawala asiye itaka, yaani mtawala anakuwa juu ya mihikili yote ya nchi. Nani asiyeitaka?

Chama tawala hakitakaa kitupe katiba tuitakayo raia aba dani. Itawabana, jeshi linaheshimu katiba ya nchi, mkibadilisha mtawala akifanya ndivyo sivyo jeshi litamwambia huko siko. Nani anayetaka?

Kwa sasa hata mtoto wa mtawala anaweza kumvimbia cdf na asimfanye chochote, je! Tutaipataje katiba tuitakayo? 🗣️ Makamu.
 
Kwani hilo wewe ulikuwa haulijui?

Sio 2030 tu, huenda mpaka 2050 huko!

Maana Watz tuna uelewa mdogo sana wa mambo!

Kuna mambo yako very straight foward.

Wanaoamini ni wale akili fupi tu.
 
Wakuu, kwa katiba hii ya sasa hakuna mtawala asiye itaka, yaani mtawala anakuwa juu ya mihikili yote ya nchi. Nani asiyeitaka?

Chama tawala hakitakaa kitupe katiba tuitakayo raia aba dani. Itawabana, jeshi linaheshimu katiba ya nchi, mkibadilisha mtawala akifanya ndivyo sivyo jeshi litamwambia huko siko. Nani anayetaka?

Kwa sasa hata mtoto wa mtawala anaweza kumvimbia cdf na asimfanye chochote, je! Tutaipataje katiba tuitakayo? 🗣️ Makamu.
Mbona kinajulikana, hawatoruhusu jambo litakalo wavurugia mipango yao
 
Wakuu, kwa katiba hii ya sasa hakuna mtawala asiye itaka, yaani mtawala anakuwa juu ya mihikili yote ya nchi. Nani asiyeitaka?

Chama tawala hakitakaa kitupe katiba tuitakayo raia aba dani. Itawabana, jeshi linaheshimu katiba ya nchi, mkibadilisha mtawala akifanya ndivyo sivyo jeshi litamwambia huko siko. Nani anayetaka?

Kwa sasa hata mtoto wa mtawala anaweza kumvimbia cdf na asimfanye chochote, je! Tutaipataje katiba tuitakayo? 🗣️ Makamu.
Mipango ya chama cha majambazi si ya Mungu
 
inauma na inachoma sana ila ndo ukweli...daaaahhhh
 
Kama tutakubali ccm ndio watupatie katiba mpya tunaweza tusiipate hata 2070, lakini tukiamua kuipata tutaipata mapema. Japo ni lazima tujitoe muhanga.
 
Kwa hiyo mnatushauri wananchi kuanza maandalizi mapema ya lockdown na mbinu advanced za kukinukisha?
 
Naamini tutapata Katiba Mpya by 2030, sidhani kama moyo wa Farao utazidi kuwa mgumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom