ukuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JITU BANDIA

    Vunja ukuta wa shikamoo! Uingie kwenye dunia yake kimkakati!

    Ili uweze kufanikiwa, hizi hapa ni mbinu za kitaalamu /Kimkakati na za kisaikolojia poti. 1. Vunja Ukuta wa "Shikamoo" Hili ni tatizo la kwanza kwa vijana wengi wa hapo Dar!. ... Ukimpa "Shikamoo" Mumama kila saa,.... anakuona kama mwanaye au mpwa wake, na hapo hisia za kimapenzi kwako...
  2. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Rais Samia: Matamko Gani ya TEC yalivuka ukuta wa kikatiba unaopaswa kutenganisha mambo ya kidini na mambo ya kisiasa?

    Ludovick Joseph Lwezaura akitetea (1) kauli za Rais Samia dhidi ya matamko ya TEC, (2) barua ya mshtaka hewa dhidi ya Padre Kitima na (3) barua ya uzushi dhidi ya Askofu Riwaichi. Lwezaura amejitambulisha kwa waandishi wa habari kuwa ni mseminari aliyefika seminari kuu lakini akaukosa upadre...
  3. Fbn

    Jirani akiweka ukuta hakuna haja kuweka kichochoro

    Kuna makosa mengi kwa sisi tunaojenga au kupanga maeneo. Kama sehemu ya mwenzako kaweka uzio ambao ni ukuta inatakiwa na wewe kutumia uzio huu kuzibiti vichochoro visivyokuwa na tija.
  4. FEBIANI BABUYA

    Ukuta wa gereza

    STORY: MIAKA 15 NYUMA YA UKUTA WA GEREZA MWANDISHI: FEBIANI BABUYA WHATSAPP: +255621567672 EMAIL: thomasibabuya@gmail.com AGE 18+ UKURASA WA KWANZA MLANGO WA GIZA Kwenye kuta ambazo zilionekana kuchoka, hazikuwa zimepakwa rangi kwa muda mrefu lakini zilikuwa imara kwa sababu ya ubora wa ujenzi...
  5. Top Gun

    Kuna fundi ananiambia nimpe msingi 1.5m na ukuta 2.5m katika ujenzi wa fensi wa eneo la 27.5m x 31.5m, je ananipiga?

    Karibuni wakuu kwa mawazo yenu Msingi ni wa mawe. Ukuta ni 6ft Hapo ni bila kuchapia cement baada ya ujenzi (cement skimming) Hio 1.5m ya msingi ni kuchimba msingi na labour charges zake DeepPond RRONDO na wengine karibuni
  6. F

    Waliomfungia mtu mlango asitoke sasa ukuta unavunjwa

    Walidhani kwa kumfungia Tundu Lissu ndani mambo ndio yatakuwa mepesi, kumbe sasa ukuta mzima umepasuka ni afadhali yangekuwa ya mlango tu. Jinsi siku zinavyokwenda ndio CCM inavyozidi kupoteza control ya mambo mwishoni wataishia kutoa amri ya piga vunja miguu wakatibiwe hospitali, hapo ndio...
  7. M

    MSAADA: Ukuta wa nyumba unapandisha unyevu kwenye nyumba nzima

    Wakuu Habari, naomba kwa mwenye ujuzi anisaidie, nyumba yangu wakati naanza ujenzi sikuwa na ufahamu wa badhi ya vitu hivyo sikuweka DPM au DPC kwaajili ya kuzuia unyevu usipande kwenye kuta. Mafundi pia hawakunishauri lolote juu ya hilo ila kwasasa vipindi vya mvua naona athari yake kwani...
  8. R

    Yemen ina tofauti gani na ukuta usio na mlinzi ulioandikwa "usikojoe hapa" ? Inawezekanaje ndege 30 za Israel ziingie bila hata moja kuangushwa ?

    Ndege 30 zimeingia kwenye anga la Yemen kwenye ukanda wa Houthi lakini wameshindwa kuotea hata moja tu ? Hata hivyo, lawama kamili huenda ikaelekezwa kwa Iran, ambao wapo nyuma ya Houthi. Inaonekana kwamba Iran waliwapatia Houthi mifumo ile ile ya ulinzi wa anga ambayo Israel waliidharau kwa...
  9. PROFOUND NOTION

    Naombeni mchanganuo wa gharama na idadi ya materials ya kujenga fensi ya ukuta 20m x 20m

    Karibuni wakuu. Ujenzi wa msingi ni wa mawe Uwaazi wa geti ni mita 3.
  10. C

    Tetesi: Makampuni ya ulinzi na NETO

    Huu muunganiko ulioanza leo baina ya huu umoja wa makampuni ya ulinzi na hawa vijana wa NETO hakika unatia shaka na uzingatiwe. Naona kasi ya mahusiano yao imekuwa kubwa na hasa ukizingatia ya kwamba tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu. Support wanayowapa vijana kifedha ili wawe wanafanya press...
  11. Cannabis

    Korea Kusini: Ndege iliyobeba watu 181 yaacha njia na kugonga ukuta na kuua zaidi ya Watu 167

    Takriban watu 167 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 181 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini. Inasemekana watu wawili (2) wameokolewa kwenye ajali hiyo huku hali za watu wengine waliokuwemo...
  12. M

    Wanapoona ukuta wewe ona njia

    WANAPOONA UKUTA WEWE ONA NJIA 😊 Njia wanazopita mashujaa ni zile ambazo watu dhaifu waliona ukuta, jicho la shujaa sio rahisi kuona ukuta bali litaona namna ya kuruka huo ukuta 😊 Moja sababu inayofanya matajiri karibu wote waitwe washirikina ni kwa sababu walipita njia ambazo zilionekana...
  13. Morning_star

    Huu ni ukuta kati ya Palestina na Misri, halafu wee mbongo....?

    Jirani wa Palestina anawajua vizuri wapalestina jinsi walivyo!
  14. Pascal Mayalla

    Shule ya Msingi ya Ubungo Makuburi, Yalamba Bingo ya TotalEnergies Tanzania, kwa Kujengewa Ukuta Kama Zawadi ya Ushindi wa Shindano la VIA!.

    Wanabodi, Hili Kampuni kubwa la Mafuta nchini Tanzania kuliko makampuni yote, linaendelea kutandaza wema wake kwa Watanzania, sasa linajenga ukuta kuizunguka shule ya Ubungo Makuburi. Dar es Salaam, Octoba 30, 2024 Na Mwandishi wetu Shule ya Msingi Ubungo Makuburi, Kujengewa Uzio Na...
  15. ELI COHEN

    Mnamkumbuka Tong Po yule ambae Van Damme alimkuta anapiga ukuta hadi unatiksika kwenye movie ya kick boxer 😂. Kumbe hakuwa Mthailand wala nini!

    https://youtube.com/shorts/gTEMno7Z2-U?si=xSlG6kfVeuVYMh01 Kumbe jamaa ana asili ya morocco. Ila Kwenye filamu alitengenezwa ili afananie kama mthailand. Ila jamaa ni mtalaam wa martial arts pia ni muaandaji wa filamu za zinazohusiana na martial arts. Kickboxer ni moja ya classic movies...
  16. enzo1988

    Wakati ukuta! Muonekano wa sasa wa Jackie Chan! Miaka 70.

    Wale wahenga wenzangu mtakuwa mnamkumbuka huyu mwamba coz alitupa burudani wakati wa utoto wetu!Huu ndiyo muonekano wake wa sasa akiwa na umri wa miaka 70! Wakati ni ukuta!
  17. Pdidy

    Nilioyaona kwa mkapa Yanga mna haki kabisa kuruka ukuta kimbien hizo getiii zao octb19

    Uchawi hautakaa uishe Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile mechi za Derby n mlangoni na vyumban Zamuhiii andaen faiini kabisaa hizo dubwasha zaooo ziwarudie...
  18. Z

    Naota napigana nashtuka nmepiga ukuta damu zinatoka mkononi. Tatizo nn

    Habarini za jioni jf. Ni mara ya tatu naota napigana nashtuka nakuta mkono Unatoka damu baada ya kupiga ukuta. Nahofia nkioa nitampiga ntakae kuwa nmelala nae. Nifanye nn kuondokana na hili tatizo
  19. sonofobia

    Maandamano ya "Samia Must Go" yatayeyuka kama yale ya UKUTA

    Kama ilivyotokea kwenye maandamano ya UKUTA vijana wa Mbowe wakafyata mkia. Pia maandamano ya samia must go hayatafanyika sababu wananchi hawaiungi mkono CHADEMA. Pia wananchi wanaona hayawahusu wao wakipotelewa na ndugu zao chadema wapo kimya wanatafuna ruzuku amekufa "double agent" wao ndio...
  20. M

    Nakemea vikali dada zetu kuruka ukuta!

    Tangu nikiwa na miaka 19 nimekuwa nikipiga vita sana dada zetu kuruka ukuta. Ila naona wazi ni kama wanatukatisha tamaa sisi wapinga hivyo vitu. Kuvuja kwa baadhi ya clips za wasanii wa kike wakiruka ukuta, tena kwa hiyari, kunarudisha mno juhudi nyuma. Hasa hasa hawa dada zetu wenye 'mikia'...
Back
Top Bottom