Picha ya kwanza juu ni kiongozi wa Jamhuri ya Watu wa Donetsk bwana Denis Pushilin, Na picha ya chini ni kiongozi wa Jamhuri ya Watu wa Luhansk bwana Leonid Pasechnik, Jamhuri hizo ni majimbo yaliyojitenga toka Ukraine.
Naomba nianze utangulize wa makala yangu kwakusema, Dunia ili iwe salama...
State of the union ni hotuba yenye uzito mkubw ambayo hutolewa na raisi wa marekani mara moja kwa mwaka kuhusu ya hali ya kitaifa.
Jana yalitokea mambo ya kushangaza kwenye hii hotuba, Joe Biden ana ugonjwa wa akili wa "Dimentia" anaouficha ila huwa unamuumbua mara kwa mara hadharani, hapo...
Wanafunzi 79 wa Kenya hadi sasa wameondolewa Ukraine kufuatia uvamizi wa Urusi.
Serikali ya Kenya inasema mwanafunzi mmoja tayari ameshawasili Kenya, wengine 74 wako Poland, wawili wako Romania na wawili wako Hungary.
Mamlaka zinaendelea kuratibu uhamishaji wa wanafunzi wengine wengi kutoka...
Vita vyote huwa mwonevu na mwonewa.
Hata hivyo pana wimbi la mashabiki pia.
Kwanini waafrika tunatokea kukenua mno bila kusimamia misingi ya haki wala kuzingatia madhara?
Hata hivyo nisiache kutambua mchango wa Kenya na Afrika Kusini kwenye kumkemea hadharani, mbabe huyu wa vita bwana...
Ukraine na Urusi: Je Vacuum au thermobaric ni bomu la aina gani?
Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha za aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum -katika uvamizi wake wa Ukraine.
Silaha hizi ni tata kwasababu husababisha uharibifu mkubwa zaidi kuliko...
Watanzania mkifika nje ya nchi jiandikisheni ubalozini ona sasa lawama kibao kwa serikali wakati ubalozi hauwajui wengi wenu kuwa mko Ukraine serikali iwasaidieje wakati mliingia kimya kimya kama vibaka.
Nchi za wenzetu wakifika wananchi walienda hutoa report ubalozini kuwa wako nchi hiyo si...
Kila mtu anajua kinachoendelea pale Ukraine hakuna media duniani isiyo ongelea hii vita Lakini ukweli ni kwamba Hii vita imejaa propaganda na kwenye Hili Nchi za magharibi zimefanikiwa sana.
Ukiangalia Wastani Nchi nyingi duniani wameeegemea upande wa Ukraine na kumuacha Rusia Mpweke na...
Rais Joe Biden amesema Bungeni kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin alifikiri vibaya kuhusu hatua ambazo Mataifa ya Magharibi yangechukua alipoivamia Ukraine.
Amesema Vita ilipangwa bila kuchochewa, na Rais Putin alikataa juhudi za mara kwa mara za Kidiplomasia akifikiri Nchi za Magharibi na NATO...
Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha za aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum -katika uvamizi wake wa Ukraine.
Silaha hizi ni tata kwasababu husababisha uharibifu mkubwa zaidi kuliko vilipuzi vinavyofahamika vyenye ukubwa sawa na wake, na vina athari...
Unatazama movie , kwenye movie Kuna tukio limetokea let's say WTC imelipuliwa.
One week later maelfu ya wamarekani wanakusanyika katika viwanja vya Madison square garden Kwa ajili ya kufanya ibada maalumu ya kuwaombea marehemu walio poteza Maisha Yao kwenye tukio Hilo pamoja Na kulaani walio...
Sishangai sana kwani hata katika Ustaarabu Kihistoria barani Afrika ulianzia hasa nchini Ghana.
Sishangai mno kwani hata Siasa bora na Demokrasia iliyokomaa Barani Afrika ilianzia nchini Ghana wengine wakaiga.
Vile vile sishangai zaidi kwani hata Wasoni wengi na Watu Wetevu (Intelligent)...
FIFA na UEFA wamepiga ban vilabu na timu ya taifa ya Urusi kushiriki mashindano yao. Je, hatua kama hii ni sahihi kwa chombo cha kimataifa kinachohubiri neutrality kama FIFA? Mbona hawakuiban Uingereza, Ufaransa, Marekani nk walipokuwa wakivamia nchi ya Libya na zile za mashariki ya kati?
Ukipita Facebook, Twitter, Instagram au kwenye usafiri wa umma utakuta watu wako wanabishana nani atakuwa mshindi na kufurahia kipigo anachokipata Mrusi au Ukrainian.
Je, ni umaskini wa akili au mali ndio hupelekea watu kushangilia mauaji?
Kuna uwezekano kama mbongo angemiliki nyuklia dunia...
Kundi la kwanza la raia wa Ghana wakiwemo wanafunzi limewasili Accra Nchini Ghana wakitokea Ukraine ambapo kuna machafuko kwa taifa hilo kushambuliwa na Urusi.
Serikali ya Ghana kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamekuwa wakifanya jitihada za kuwatoa raia wake Ukraine ambapo bado hali ya...
Israel imekataa maombi ya kujikaririkariri ya rais wa Ukraine, Ze Comedian Zelensky, kuipatia nchi yake silaha ili kupambana na majeshi ya Russia. Rais huyo kaomba shehena ya silaha hizo alipompigia simu waziri mkuu wa Israel.
Israel imesema haitaki kuhusika kupeleka msaada wa silaha kwa...
Mamlaka Nchini Ukraine zinasema shambulio la Urusi limeua Wanajeshi wapatao 70 kwenye Kitengo cha Kijeshi huko Okhtyrka, Mji ulioko kati ya Kharkiv na Kyiv.
Umoja wa Mataifa umesema idadi ya watu waliokimbia Nchini Ukraine kutokana na machafuko yanayoendelea imeongezeka kufikia 520,000.
Aidha...
Rais Putin wa Russia kaeleza masharti yake juu ya kuimaliza vita yake inayoendelea na Ukraine wakati alipozungumza kwa simu jana na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. Mazungumzo hayo ya simu yalifanyika baada ya kikao cha mazungumzo ya amani kilichofanyika kati ya wajumbe wa Ukraine na Russia...
Mbaharia mmoja wa Ukraine amekiri kujaribu kuizamisha boti inayomilikiwa na mkuu wa kampuni ya silaha ya serikali ya Urusi, kwa lengo la kulipiza kisasi kwa uvamizi wa Ukraine.
Boti hiyo yenye urefu wa mita 48 sawa na futi 157 inayoitwa Lady Anastasia inamilikiwa na Mkurugenzi Mkuu wa...
Pamoja na jitihada kubwa za makusudi zinazofanywa na Ukraine, NATO na US kudogesha idadi ya wanajeshi wa Ukraine waliouawa na majeshi ya Russia nchini Ukraine, Waziri Mkuu wa Bulgaria kaamua kusema ukweli kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wameuawa mpaka sasa.
Ufafanuzi huo wa idadi ya vifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.