ukraine

  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania UN kuchangisha dola bilioni moja za msaada kwa Ukraine

    Umoja wa Mataifa (UN) unakusudia kuchangisha dola bilioni moja (Sh triloni 2.3) kwa kufadhili misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Ukraine katika kipindi cha miezi mitatu ijayo. Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Martin Griffiths anayeshughlikia misaada ya kibinadamu, ameeleza hayo...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Raia wa Ukraine watoroka nchi yao kukimbilia usalama

    Maelfu ya raia wa Ukraine wamevuka mipaka kuingia katika mataifa jirani katika upande wa Magharibi kutafuta usalama, wakati Urusi ikishambulia mji mkuu wa nchi hiyo pamoja na miji mingine kwa mashambulizi ya angani. Wengi wa waliowasili katika mataifa hayo jirani ni wanawake, watoto na wazee...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

    Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia 🇷🇺 nchini Ukraine 🇺🇦. Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amepata scholarship ya kwenda kusomea Ukraine

    Habarini za leo, Naomba kuuliza ndugu zangu. Ndugu yangu amepata skolashipu ya kwenda kusomea Ukraine. Alikua anauliza gharama za maisha zikoje na hali ya maisha kiujumla. Anatakiwa kuripoti mwezi huu, yeye amechaguliwa March intake. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine avaa gwanda na kuingia uwanja wa vita

    Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelensky amevaa Gwanda za Jeshi na kuingia "Uwanja wa Vita" kutetea nchi yake Majeshi ya #Urusi yameripotiwa kuzidi kuingia katika Mji Mkuu wa Ukraine, Kyiv. Awali, kulikuwa na tetesi kuwa Rais huyo amekimbia nchi, ambapo alijitokeza na kuomba Wananchi wapuuzie...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

    Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo. Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Mbunge asema wanawake watapigana kama wanaume

    Mbunge wa Bunge la #Ukraine, Kira Rudik amechapisha picha akiwa ameshika bunduki na kuandika kuwa anajifunza ili kutetea ardhi yake dhidi ya #Urusi Ameandika wanawake watatetea ardhi ya nchi yao kama wanaume. Ukraine ilitangaza kuwaua wanajeshi 1000 wa Urusi. Hata hivyo asubuhi ya Februari 26...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya Warusi waanza kujitokeza na kuandamana kupinga kinachofanyika dhidi ya ndugu zao Ukraine

    Ifahamike Ukraine na Urusi ni watu wamoja, na lugha inayotumika sana Ukraine ni Kirusi, maelfu ya Warusi hawaungi mkono huu uvamizi dhidi ya ndugu zao, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wengi wanatukana sana maana hawaelewi nini sababu za mauaji yanayoendelea au tija yake kwa Urusi, pia kuna...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Warusi na wa Ukraine ni kabila moja na hata lugha zao zinashabiana

    Mzuka wanajamvi Ukiondoa ukristo wa Orthodox na ukatoliki kwa mbali Hawa watu ni ndugu moja (ethnicity) wametoka Jamii moja ya slavs na lugha zao zinashabiana wote Hawa Russians, Ukrainians, Belarusian, moldovan, poles, slovaks, slovenes, Bulgarians, zchecs, serbs, makedonians, croats...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania PICHA/Video: Matukio yanayojili kati ya Russia na Ukraine

    Wadau habari picha usadikisha kwa uhalisia wa tukio m, ruksa kutupia picha matukio ili tujifunze. 👆🏾 Mamia ya wananchi wa mji wa Kyiv wakiwa kituo cha gari moshi kusubiri usafiri kuwatoa jijini hapo. 👆🏾 Mizinga ya masafa mafupi iliyopigwa kuelekea mpaka wa Ukraine. 👆🏾 Wananchi wakipiga...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine awaambia NATO: 'Hii yaweza kuwa mara yenu ya mwisho kuniona nikiwa hai!'

    Rais wa Ukraine Zelensky amewaonya marais na viongozi wa Ulaya katika video call (conference call) kuwa huwenda wasimuone hai tena milele kufuatia jeshi la Urusi linavyozidi kujikusanya na ktk viunga vya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, alimo rais huyo. Ambapo yeye ni taget namba 1. Ktk conference...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: NATO yaanza kupiga jaramba

    Response Force has been activated as a defensive measure in response to Russia's ongoing invasion of Ukraine. NATO Supreme Allied Commander Gen. Tod Wolters activated the multinational force consisting of land, air, sea and special operations forces from the allies that can deploy quickly in...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Urusi na Ukraine zipo bara moja?

    Nisaidieni wadau sijawa mzuri sana kwenye jiografia ukweli ni kwamba sina majibu juu ya hayo mataifa mawili kwamba yapo bara moja au mabara tofauti?
  14. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania NATO wamefikwa na Nini? Mbona waliweza Kuwait na wakaweza Kosovo,wanashindwa Nini Ukraine?

    Hapo zamani,Sadam huseini wa Iraq alifanya kama anavyofanya Putin wa Urusi Leo kwa kuivamia nchi ya Kuwait. Marekani na washirika wake wakaivamia Iraq na kuipiga Hadi ikatoka Kuwait. Miaka kadhaa baadae Slobodan Milosevic wa Yugoslavia aliwapiga kishenzi waasi na raia waliokua wanataka...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Pastor John Hagee - Here is my message about the invasion of the Ukraine 🇺🇦

    Pastor John Hagee - Here is my message about the invasion of the Ukraine 🇺🇦 Today, The headlines of the Wall Street Journal Shook America, saying UKRAINE BRACES FOR WAR. Russia's dream of Recreating the USSR is becoming a Reality. This may well be the day that historians looks back, declaring...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea huko Ukraine sasa nimeelewa kwanini viongozi wetu wa Afrika wameamua kuwa Vibaraka tu

    Kwema Wakuu! Kwa yanayoendelea mataifa ya kiarabu na sasa habari inayovuma ni Uvamizi wa kijeshi wa taifa la Urusi Kwa Taifa la Ukraine ni dhahiri kuwa Waafrika hawana namna ya kufanya zaidi ya kuwa Vibaraka. Sisi ambao hatujawahi kushika nafasi za juu katika nchi tunaweza kuwalaumu hawa ndugu...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Mataifa ya magharibi yanatuangalia kwa mbali, njooni mtusaidie

    Volodymyr Zelensky ametoa ombi jingine kwa washirika wa nchi za Magharibi kuisaidia Ukraine na kukomesha mashambulizi ya kikatili ya Urusi. "Leo asubuhi tunalinda taifa letu peke yetu. Kama jana, majeshi yenye nguvu zaidi duniani yanatazama kutoka mbali," Zelensky alisema katika hotuba yake kwa...
  18. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Afrika ndio atakayepata hasara katika vita kati ya Ukraine na Urusi

    Kinachoendela hivi sasa kati ya urusi na Ukraine katika ile miji ya donbas ni hatari kwa africa. Urusi imeitambua miji ya Donetsk na Luhansk kama nchi huru zinazojitegemea, haya maeneo kijiografia yamepakana na urusi lkn kwa makubaliano ya umoja wa mataifa baada vita ya pili ya dunia ni sehem...
  19. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatoa tamko la muongozo kwa Watanzania waliopo Nchini Ukraine

    Serikali ya Tanzania imesema kuwa hakuna Mtanzania ambaye amepata madhara yoyote nchini Ukraine kutokana na taifa hilo kushambuliwa na majeshi ya Urusi, ambapo imewataka kuzingatia maelekezo kutoka kwa mamlaka za Ukraine. Aidha, wametakiwa kuwasiliana na Ubalozi wa Tanzania Nchini Sweden ambao...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine. Bunge la Uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe

    Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea Tajiri wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine bunge uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe na anyanganywe timu ya Chelsea kwa sababu yeye rafiki mkubwa wa Putin na ana uhusiano na biashara zake na Russia zinazotakiwa kuwa freezed za...
Back
Top Bottom