ukraine

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Waafrika Weusi tunachukiwa na kubaguliwa Ukraine na Urusi lakini ajabu ni kwamba tunajikomba kwenye hii vita yao

    Inasikitisha sana na inaumiza. Waafrika weusi katika hizo nchi yani hata uwe chotara wao watakuweka kundi hilo hilo, nchi za Ulaya mashariki zikiwemo Ukraine na Russia ni wabaguzi sana wa rangi hakuna mfano. Huwa nashangaa sana kwa sasa mtu yupo kushabikia Ukraine au Urusi maana sisi...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ombi la Ukraine 🇺🇦 kujiunga na Umoja wa Ulaya lakubaliwa

    Bunge la Ulaya limepitisha ombi la Ukraine la kujiunga na jumuiya hiyo kwa kura 637 za 'ndiyo' 13 za 'hapana' huku wajumbe 26 wakiamua kutopiga kura. Siku ya Jumanne, nchi nane wanachama wa EU zilitaka yafanyike majadiliano ya haraka kuhusu uwanachama wa Ukraine katika umoja huo. Jumapili...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Vita ya Libya Afrika naTanzania yetu tulikuwa mabwege, sasa tunajidai kulaani vita ya Ukraine

    Libya ilivamiwa na US kwa ushirika wa Ulaya na hasa Uingereza na Ufaransa. Wakaona ni haki yao kuvamia Libya na kumuondoa rais na hata akalawitiwa na wafuasi wao. Hakuna nchi ya kiafrika iliyolaani kwa nguvu au kujitokeza kupeleka kwenye baraza la usalama la UN. Ulaya pia hakuna aliyeandamana...
  4. Narumu newz

    JamiiForums Tanzania Vita ya Tatu ya Dunia iko mbioni kuanza

    Kitu ambacho watu hawafahamu in kuwa taifa la Ukraine ndilo taifa lenye eneo kubwa lililopakana na Urusi kuliko nchi nyingine zilizojitenga na Russia, pili Ukraine ndilo taifa pekee kati ya watu 6 wawili ni warusi, tatu Ukraine kujiunga na NATO ndio utakua mwanzo wa anguko la Russia hivyo huyu...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Jeshi la Urusi ladaiwa kushambulia Shule Mji wa Kharkiv

    Jeshi la Urusi linadaiwa kushambulia Shule Tatu katika Mji wa Kharkiv. Pia inaripotiwa kuwa Majengo kadhaa ya Makazi ya Watu huko Okhtyrka nayo yameharibiwa kutokana na mashambulizi yanayoendelea Umoja wa Mataifa (UN) umesema tayari Watu zaidi ya Milioni Moja wamekimbia Ukraine, ikiwa ni siku...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Ukraine wajazana barabarani kuzuia misafara ya Urusi, waamua kujitoa mhanga kutetea bendera yao

    Kadiri Urusi inashindwa kuteka Kiev ndio wananchi wanapata ujasiri na kuwa sugu. Putin ana shida maana itabidi aue hadi wananchi kwenye nchi yao...
  7. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za kijeshi Ukraine?

    Picha ya kwanza juu ni kiongozi wa Jamhuri ya Watu wa Donetsk bwana Denis Pushilin, Na picha ya chini ni kiongozi wa Jamhuri ya Watu wa Luhansk bwana Leonid Pasechnik, Jamhuri hizo ni majimbo yaliyojitenga toka Ukraine. Naomba nianze utangulize wa makala yangu kwakusema, Dunia ili iwe salama...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Biden aitamka Iran badala ya Ukraine kwenye hotuba muhimu ya hali ya kitaifa (sotu)

    State of the union ni hotuba yenye uzito mkubw ambayo hutolewa na raisi wa marekani mara moja kwa mwaka kuhusu ya hali ya kitaifa. Jana yalitokea mambo ya kushangaza kwenye hii hotuba, Joe Biden ana ugonjwa wa akili wa "Dimentia" anaouficha ila huwa unamuumbua mara kwa mara hadharani, hapo...
  9. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi 79 wa Kenya hadi sasa wameondolewa Ukraine kufuatia uvamizi wa Urusi

    Wanafunzi 79 wa Kenya hadi sasa wameondolewa Ukraine kufuatia uvamizi wa Urusi. Serikali ya Kenya inasema mwanafunzi mmoja tayari ameshawasili Kenya, wengine 74 wako Poland, wawili wako Romania na wawili wako Hungary. Mamlaka zinaendelea kuratibu uhamishaji wa wanafunzi wengine wengi kutoka...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Misimamo ya Waafrika na Vita vya Ukraine

    Vita vyote huwa mwonevu na mwonewa. Hata hivyo pana wimbi la mashabiki pia. Kwanini waafrika tunatokea kukenua mno bila kusimamia misingi ya haki wala kuzingatia madhara? Hata hivyo nisiache kutambua mchango wa Kenya na Afrika Kusini kwenye kumkemea hadharani, mbabe huyu wa vita bwana...
  11. Askarimaji

    JamiiForums Tanzania Ukraine na Urusi: Je, vaccum au thermobaric ni bomu la aina gani?

    Ukraine na Urusi: Je Vacuum au thermobaric ni bomu la aina gani? Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha za aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum -katika uvamizi wake wa Ukraine. Silaha hizi ni tata kwasababu husababisha uharibifu mkubwa zaidi kuliko...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Watanzania mkifika nje ya nchi jiandikisheni Ubalozini. Ona lawama kibao kwa Serikali wakati Ubalozi haujui kuwa wengi mko Ukraine

    Watanzania mkifika nje ya nchi jiandikisheni ubalozini ona sasa lawama kibao kwa serikali wakati ubalozi hauwajui wengi wenu kuwa mko Ukraine serikali iwasaidieje wakati mliingia kimya kimya kama vibaka. Nchi za wenzetu wakifika wananchi walienda hutoa report ubalozini kuwa wako nchi hiyo si...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Makelele ya Vita ya Russia Vs. Ukraine

    Kila mtu anajua kinachoendelea pale Ukraine hakuna media duniani isiyo ongelea hii vita Lakini ukweli ni kwamba Hii vita imejaa propaganda na kwenye Hili Nchi za magharibi zimefanikiwa sana. Ukiangalia Wastani Nchi nyingi duniani wameeegemea upande wa Ukraine na kumuacha Rusia Mpweke na...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Video: Mrusi akipiga mvinyo kusherehekea ushindi wa kivita (millitary victory) dhidi ya Ukraine

    Wanapiga mvinyo Kwa kwenda mbele. # Putin mbele Kwa mbele
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Biden: Putin alikosea kufikiri Mataifa ya Magharibi hayatojibu alipoishambulia Ukraine

    Rais Joe Biden amesema Bungeni kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin alifikiri vibaya kuhusu hatua ambazo Mataifa ya Magharibi yangechukua alipoivamia Ukraine. Amesema Vita ilipangwa bila kuchochewa, na Rais Putin alikataa juhudi za mara kwa mara za Kidiplomasia akifikiri Nchi za Magharibi na NATO...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je Vacuum au thermobaric ni bomu la aina gani? Russia walitumia kuipiga Ukraine 🇺🇦

    Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha za aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum -katika uvamizi wake wa Ukraine. Silaha hizi ni tata kwasababu husababisha uharibifu mkubwa zaidi kuliko vilipuzi vinavyofahamika vyenye ukubwa sawa na wake, na vina athari...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kama unashangaa au hauoni mantiki ya Putin kuivamia Ukraine basi wewe upo kwenye Kundi la watu hawa

    Unatazama movie , kwenye movie Kuna tukio limetokea let's say WTC imelipuliwa. One week later maelfu ya wamarekani wanakusanyika katika viwanja vya Madison square garden Kwa ajili ya kufanya ibada maalumu ya kuwaombea marehemu walio poteza Maisha Yao kwenye tukio Hilo pamoja Na kulaani walio...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati Wanaojitambua Ghana wanarudisha Raia wao kutoka Ukraine na Urusi, wale Wasiojitambua wako busy Kushangilia Bendera yao Dubai

    Sishangai sana kwani hata katika Ustaarabu Kihistoria barani Afrika ulianzia hasa nchini Ghana. Sishangai mno kwani hata Siasa bora na Demokrasia iliyokomaa Barani Afrika ilianzia nchini Ghana wengine wakaiga. Vile vile sishangai zaidi kwani hata Wasoni wengi na Watu Wetevu (Intelligent)...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sawa kwa FIFA na UEFA kujiingiza kwenye mzozo wa Russia na Ukraine?

    FIFA na UEFA wamepiga ban vilabu na timu ya taifa ya Urusi kushiriki mashindano yao. Je, hatua kama hii ni sahihi kwa chombo cha kimataifa kinachohubiri neutrality kama FIFA? Mbona hawakuiban Uingereza, Ufaransa, Marekani nk walipokuwa wakivamia nchi ya Libya na zile za mashariki ya kati?
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania kushangilia vita ya Ukraine na Russia kama mpira wa miguu ni mapungufu ya akili?

    Ukipita Facebook, Twitter, Instagram au kwenye usafiri wa umma utakuta watu wako wanabishana nani atakuwa mshindi na kufurahia kipigo anachokipata Mrusi au Ukrainian. Je, ni umaskini wa akili au mali ndio hupelekea watu kushangilia mauaji? Kuna uwezekano kama mbongo angemiliki nyuklia dunia...
Back
Top Bottom