Duterte: Sitotuma wanajeshi wangu kuisaidia Marekani kama Marekani ikijiingiza vitani Ukraine

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,921
15,613
Rais mtata wa Ufilipino (The Philippines), Rodrigo Duterte, jana amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kuwa nyutro (haitochukua upande wowote) ktk vita vya Russia nchini Ukraine.

"Nchi nyinginezo pamoja na Ulaya zitaangamia kama Russia ikiamua kufanya mashambulizi ya maangamizi. Hivyo, ni bora zaidi sisi wafilipino tuendelee kuwa nyutro ktk mzozo huu. Tujiepushe na kuuingilia kati mzozo huu ili tusiweze kuhusishwa nao," Duterte alizungumza.

Duterte akaongeza kuwa hatoruhusu wanajeshi wa Ufilipino kwenda kupigana kuisaidia Marekani kama waMarekani wakijiingiza kwenye vita hiyo.

Pamoja na kuwa Marekani na Ufilipino wana mkataba wa kusaidiana endapo nchi yoyote ikihatarishiwa usalama wake na taifa jingine, lakini ktk jambo hili la vita ya Ukraine, Marekani ikijiingiza yeye Duterte hatotuma mwanajeshi yoyote kwenye vita hiyo.

======

Duterte: PH should maintain neutrality amid Russian invasion of Ukraine​

By: Daniza Fernandez - Reporter / @DFernandezINQ
INQUIRER.net / 09:42 PM March 17, 2022

MANILA, Philippines — The Philippines should maintain its neutrality amid the Russian invasion of Ukraine, President Rodrigo Duterte reiterated Thursday.

“Other countries, Europe will die if Russia wreaks havoc. So we better — we better maintain our neutrality. Let’s avoid meddling in it so that we won’t get involved,” Duterte said in Visayan language during the inauguration of the New Leyte Provincial Government Complex and lot title distribution to former rebels.

The President added that he would not allow Filipino soldiers to fight, should the Americans engage in war.

“I won’t commit. If the Americans engage in a war and they’re here, why will I send my soldiers? It’s not our battle to fight,” he explained.

“If the violence spills over and the war somehow gets here, that will be very difficult. I won’t, I really won’t. For as long as I’m President, I won’t send a single soldier of mine to go to war,” continued Duterte.

Early this month, the chief executive raised that the country should remain neutral amid the conflict between the two foreign nations, expressing concern if the situation escalates to a nuclear war.

In February, Russia launched an invasion on Ukraine, amassing 150,000 to 200,000 troops along the latter’s borders.

The Palace then assured that Duterte’s main concern is the safety of Filipinos in Ukraine.

U.s.a ushawishi wake wakijeshi umeshaanza kuporomoka ,putin kaleta heshima duniani, putin ndio kiumbe pekee baada ya miaka mingi kupita kutoa kauli moja tu ya kupiga mwenye mbwa na mbwa wake wote endapo watavuka mstari mwekundu na wote wakatii amri wakibaki wanabweka hovyo kwenye vyombo vya habari...
 
wanaume wa action hawarudi nyuma putin is among of them

Russia hana ubavu hata robo wa kupambana na NATO. sema NATO wameamua kutumia busara tuu ili dunia ibaki salama maana urusi anajua kupambana na NATO hawezi atakimbilia kutumia nyuklia sasa akiitumia tuu na wenzanke pia wanazo nao watatumia mwisho wa siku dunia itapitia kipindi kigumu na watu wengi sana kufaaa.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Teh...teh...teh...Ukiona watu 30 wanajikusanya kuunda grupu la kujilinda dhidi ya mtu mmoja, fahamu yafuatayo:
  1. Kwanza huyo mtu mmoja ni mbabe
  2. Hao watu 30 ni madhaifu
  3. Hao watu 30 wanamuogopa huyo mtu mmoja.
SmartSelect_20220318-155501_Chrome.jpg

Ukijiuliza kwa nini nchi zajiunga NATO, utaambiwa ili ziwe salama dhidi ya Putin🤣🤣🤣
 
Ajiangalie sana, mkubwa hatunishiwi msuli. USA inayo uwezo wa kuwafadhili magaidi na kuivamia Ufilipino na baadae wakaomba msaada kwenda kuisaidia Tena.
Au yeye anadhani Donesk ilipataje msaada wa Russia? Huyo Durtete haijui nguvu ya pesa na teknolojia.
 
Russia hana ubavu hata robo wa kupambana na NATO. sema NATO wameamua kutumia busara tuu ili dunia ibaki salama maana urusi anajua kupambana na NATO hawezi atakimbilia kutumia nyuklia sasa akiitumia tuu na wenzanke pia wanazo nao watatumia mwisho wa siku dunia itapitia kipindi kigumu na watu wengi sana kufaaa.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app

Sawa msemaji wa NATO
 
Teh...teh...teh...Ukiona watu 30 wanajikusanya kuunda grupu la kujilinda dhidi ya mtu mmoja, fahamu yafuatayo:
  1. Kwanza huyo mtu mmoja ni mbabe
  2. Hao watu 30 ni madhaifu
  3. Hao watu 30 wanamuogopa huyo mtu mmoja.
View attachment 2155469

Ukijiuliza kwa nini nchi zajiunga NATO, utaambiwa ili ziwe salama dhidi ya Putin🤣🤣🤣
Akina URUSI walikuwa na umoja wao ulioitwa Warsaw Pact. Ukasambaratika ,njaa kali ikiwa ni moja ya sababu. Wengi wao wakahamia NATO akiwemo Poland
 
Back
Top Bottom