ukraine

  1. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Putin na Macron wazijadili Ukraine na Iran

    Marais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Vladimir Putin wa Urusi wamezungumza kwa simu jana Jumanne ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka miwili na nusu. Macron ametumia mazungumzo hayo kumtolea wito Putin kusitisha vita nchini Ukraine, ingawa Putin mwenyewe alijibu kwa kuyashutumu...
  2. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Marekani yasitisha usafirishaji wa silaha kwenda Ukraine, Ikulu inasema

    Marekani imesitisha baadhi ya shehena za silaha kwenda Kyiv, Ikulu ya Marekani imesema, huku vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vikizidi kupamba moto. Uamuzi huo ulichukuliwa "kuweka masilahi ya Marekani mbele" kufuatia tathmini ya Idara ya Ulinzi kuhusu "msaada wa kijeshi na usaidizi wa Marekani...
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi yaendelea kuchukua udhibiti wa maeneo ya Ukraine

    Vikosi vya Urusi vimechukua udhibiti wa kijiji cha kwanza mashariki mwa Ukraine katika mkoa wa Dnipropetrovsk. Hayo ni kulingana na taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya serikali ya Urusi pamoja na wanablogu wanaofuatilia vita hivyo. Hata hivyo taarifa hiyo haijathibitishwa na vyanzo...
  4. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Vita nchini Ukraine: Droni yapiga jengo la orofa nyingi Odessa

    Meya wa Odessa Gennady Trukhanov amethibitisha kuwa "shahed" za Urusi ziliingia katika jengo la makazi la ghorofa nyingi. Waokoaji wamepata miili ya wanandoa waliokufa wakati ndege isiyo na rubani ya Urusi ilipogonga - jengo la ghorofa nyingi, Meya wa Odessa Gennady Trukhanov aliripoti...
  5. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi yaendelea kuishambulia Ukraine kwa makombora

    Urusi imerusha kombora katika mji wa viwanda wa Samar kusini mashariki mwa Ukraine na kusababisha vifo vya watu watano huku wengine zaidi ya 20 wakijeruhiwa. Gavana wa mji huo Serhiy Lysak, amesema katika mtandao wake wa Telegram kwamba watu wanne kati ya waliojeruhiwa wako katika hali mahututi...
  6. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Watatu wafariki na wengine wengi wajeruhiwa katika shambulio la Urusi Dnipropetrovsk

    Takriban watu watatu wameuawa na wengine kumi na wanne wamejeruhiwa leo Ijumaa hii, Juni 27, katika shambulio la anga la Urusi kwenye mji wa Samar, katika mkoa wa Dnipropetrovsk - katikati-mashariki - gavana wa mkoa ametangaza. Watu watatu wamepoteza maisha yao katika shambulio la adui. Watu...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Biden akiangalia Iran ilivyotepeta kirahisi na hakuna WWIII atakuwa anajuta sana kukubali kutishwa na Putin uvamizi wa Ukraine

    Matisho ya Putin wa Urusi kwamba akiguswa na West atafungulia milango ya kuzimu ni kama haya matisho ya MaAyatollah wa Iran tu. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran iliyokwanguliwa yote na Israel ndani ya wiki moja na kulifanya anga zima la Iran kuwa shamba la bibi kwa ndege za Isreal na Marekani ni...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran ilisaidia Urusi kwenye vita vya Ukraine, sasa mbona inafanyiwa yote haya huku Urusi ikikaa mbali

    Sio siri, Iran inapigika haswa, uongozi wa kijeshi umefutwa, wanasayansi wamefagiwa, makambi ya kijeshi yamesambaratishwa, Israel imeteka anga, ndege zake zinaruka huku na ule zikipiga popote zinachagua kupiga, ilhali hii Iran moja ilijiingiza kwenye ugomvi wa Urusi na Ukraine, imekuaje...
  9. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ukraine yatangaza kupokea miili 1,200 iliyokabidhiwa na Urusi

    Ukraine imerejesha nyumbani miili mingine 1,200 iliyokabidhiwa na Urusi, hatua mpya katika makubaliano yaliyofikiwa wakati wa mazungumzo ya hivi majuzi kati ya pande zinazozozana mjini Istanbul, taaasisi ya serikali ya Ukraine inayohusika na suala hilo Ukraine imepokea miili mingine 1,200...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili kwamba Ukraine anampa kipigo kikubwa Urusi baada ya USA kujitoa kumsadia na Ulaya kumruhusu kuwapiga Warusi ndani ya mipaka yao!

    Katika miaka yote iliyopita ya vita ya Urusi na Ukraine, Ulaya na USA waliwazuia Ukraine kutumia silaha walizompa kumpiga Urusi ndani ya mipaka yake, japo Urusi iliwapiga Ukraine ndani ya mipaka yao. Baada ya Trump kuonyesha ukaribu na Putin na kuzuia kuwawekea Ulaya tarifu za biashara, hii...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Iran na Ukraine haziachwi zijiamulie mambo yao wenyewe kwa maslahi yao kama mataifa huru?

    Kwa nini Ukraine na Iran haziachawi zijiamulia mambo yake wenyewe kama kumiliki silaha za nyuklia na kujiunga na jumuiya zinazoona zina maslahi kwao kama mataifa huru?
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ukraine yapokea miili ya wanajeshi wake waliouawa Urusi

    Ukraine imepokea miili 1,212 kutoka Urusi ya wanajeshi wake waliouwawa wakati wa vita vilivyodumu miaka mitatu kati ya majirani hao wawili. Wanajeshi hao wanadaiwa kuuwawa katika mapigano kwenye jimbo la Kursk pamoja na maeneo mengine ya Ukraine ya Kharkiv, Luhansk, Donetsk, Zaporizhzhya na...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yaipa Ukraine mifumo ya Ulinzi wa anga(Patriot)

    🇮🇱 Israel imehamisha mifumo ya Patriot kwenda Ukraine, Balozi wa Israel nchini Ukraine Michael Brodsky amethibitisha. "Mifumo ya Patriot tuliyowahi kupokea kutoka Marekani sasa iko Ukraine. Hii ni mifumo ya Israel iliyokuwa ikihudumu nchini Israel mwanzoni mwa miaka ya 1990. Tulikubali...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mji wa Cheboksary nchini Urusi washambuliwa na Drones za Ukraine!!

    Ndege zisizo na rubani za Ukraine zimeshambulia mji wa Cheboksary ndani kabisa ya Urusi hii inaonyesha wazi kuwa Drones za Ukraine hazina mpinzani huko Russia wanapiga popote wanapotaka!!!!! 🪐 Mashambulizi ya Ukraine yawatisha Warusi viwanda vyao vyazidi kushambuliwa!!
  15. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Ukraine inapokea kipondo cha karne muda huu, Tangia jana usiku, wanajuta kilicho watuma kuishambulia Russia

    Kama tujuavyo last weekend Ukraine ilifanya mashambulizi ya kimkakati katika AirBases za Russia na kufanikiwa kuharibu baadhi Ndege vita (Bombers) zake. Kwanzia jana Usiku Russia imelipiza kisasi hicho kwa kisago cha mwana ukome ambacho Ukraine ilikua haijawai kupata kamwe, Hili ni fundisho kwa...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Russia yatoa Masharti ya kusitisha mapigano huko Ukraine!!!

    Utambuzi wa kuingizwa kwa Crimea na mikoa minne, na kukataliwa kwa malipo: maandishi kamili ya "mkataba wa kusitisha mapigano" wa Urusi umefunuliwa. Kulingana na hati hiyo, Urusi inaweka mbele madai yafuatayo: 🔴Kutambuliwa kimataifa kwa mikoa ya Crimea, Donetsk, Luhansk, Kherson, na...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Putin akiendelea kuichekea Ukraine: NATO italisambaratisha taifa hilo siku chache zijazo

    Tukio la Drone za Ukraine kuteketeza madege ya thamani ya trillions za shilingi, Tena madege yaliyo ndani kabisa mwa Urusi ni tishio kuu ambalo likipuuzwa litakalofuata litavuja UTI wa magongo wa Jeshi la Russia. Hivi juzi nimesoma mamia ya document zenye picha na taarifa nyeti za Siri za urusi...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine yameanza mjini Istanbul

    Mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine yameanza mjini Istanbul huku Russia ikigugumia maumivu baada ya viwanda vyake vya ndege kushambuliwa na drones za Ukraine, inasemekana katika mashambulizi hayo Ukraine iliweza kuziangamiza Ndege-Vita za kutosha kutoka katika viwanja vya ndege hivyo...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ukraine ilivyotekeleza shambulizi dhidi ya ndege 40 za Urusi

    Habari zilizopita ziliripoti shambulizi. Habari hii inahusu jinsi shambulizi lilivyopangwa kwa muda muda mrefu na kufanyika. Habari kamili; Kwa mujibu wa vyanzo ndani ya kitengo cha SBU vilivyozungumza na idhaa ya Ukraine ya BBC, maelezo ya ziada jinsi kitengo hicho maalum cha Ukraine...
  20. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Ukraine yaharibu ndege vita 40 za Urusi leo

    Ukraine imesema imekamilisha shambulio lake kubwa zaidi la masafa marefu tangu vita na Urusi kuanza, baada ya kutumia droni zilizosafirishwa kwa siri kushambulia kwa pamoja ndege za kivita takriban 40 katika kambi nne za kijeshi nchini Urusi siku ya Jumapili. Rais Volodymyr Zelensky alisema...
Back
Top Bottom