Habari zilizopo kwa sasa na uthibitisho wa video ni kuwa Ukraine imefanikiwa haribu ndege vita zaidi ya 40 ndani ya Urusi.
Haijulikani wamefanikiwa vipi kwani umbali huo FPV drone haziwezi fika
Siku ya jana pia wamefanikiwa lipua madaraja mawili ndani ya Urusi
SSB chini ya Budanov ni habari...
Harufu kali imetanda kwenye mji wa Rodynske. Dakika chache baada ya kuingia mjini, tunatazama inatoka wapi.
Bomu lenye uzito wa kilo 250 liliharibu jengo kuu la utawala la jiji hilo na kutandaza vyumba vitatu vya ghorofa. Tumewasili eneo hilo siku moja baada ya bomu kupigwa, lakini moshi bado...
Baada ya kuzidi kwa mfululizo wa mashambulizi ya mauaji ya raia ndani ya Ukraine siku za hivi karibuni kutoka kwa jeshi la Putin kansela mpya wa Ujerumani ameruhusu Ukraine kutumia silaha za Ujerumani kufanya mashambulizi popote kwenye maeneo ya kijeshi ndani ya Urusi.
Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu Tanzania. Vipaumbele vya dunia haviko kwa akina Lissu, poor timing and planning.
Yaani washindwe kutatua...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi umefika kiwango cha zaidi kwa miaka mingi, lakini juhudi za kidiplomasia pia zinafanya kazi kwa bidii...
Je, umewahi kufikiri dunia inaweza kufutwa kwa dakika ishirini tu? Je, maisha yote tuliyoyajenga – shule, familia, ndoto – yakaisha kwa sauti moja ya kishindo?
Huu si utani. Si sinema ya Hollywood. Ni uhalisia unaovizia mwanadamu kwa kivuli cha siasa na teknolojia. Rais wa Urusi, Vladimir...
dakika
dunia
kati
mchele
mgogoro
mgogoro wa ukraine
muhtasari
mungu
nchi
nchi za ulaya
nyuklia
ogopa
tanzaia
ukraine
ulaya
umoja
umoja wa nchi
urusi
vita
Kikundi cha Wanamgambo wa Ukraine waliokwenda kushiriki graride la Victory in Europe Day huko London wametorokea na kuingia mitaani hawataki kurudi Ukraine kusulibiwa na Vikosi vya Wachechinyia 🇷🇺
A group of Ukrainian servicemen who were invited to take part in the ceremonial parade in honor of...
Vita vya miaka mitatu vimetoa funzo kubwa kwa mataifa makubwa duniani pamoja na Ulaya.
Wakiwakilisha wenzao,viongozi watano wa mataifa ya Ulaya walifika mjini Kyiv hapo juzi na kukushanyika kwa pamoja na raisi Zelenky kwa madhumuni ya kuitaka Urusi iongeze muda wa usitishwaji vita kutoka siku 3...
Mkiona hawa wazungu wanajidai kuingia siasa za ndani, sio kwamba wanatupenda wanatafuta mtaji wa kupata au kuongeza nchi katika kundi lao na baadae watumie kundi hilo kuwepo mstari wa mbele vita ikianza.
Hawa wanaokuja kusema asinyongwe mtu kwani nani aliwaambia kuna mtu atanyongwa ,akili...
Korea Kaskazini imethibitisha rasmi kwa mara ya kwanza kwamba imetuma zana za kijeshi na wanajeshi kuisaidia Urusi katika vita vyake dhidi ya Ukraine. Hatua hiyo inaandaliwa kama sehemu ya "ukombozi" wa Kursk, ikinukuu Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Ushirikiano wa Kikakati wa Korea Kaskazini na...
Raisi Vladimir Putin ws Rasia ametangaza usitishaji mapigano Ukraine kwa siku mbili nchi Ukraine kwa siku mbili kupisha pasaka
Amri hii inakuja masaa machache baada ya Marekani kutishia kujiondoa kama mpatanishi ikiwa Ukraine na urusi hazito onyesha muelekeo wa kuacha uhasama
Chanzo BBC
The war between Russia and Ukraine is rooted in a complex interplay of historical, political, and geopolitical factors. Key causes include:
1. Russia's desire for a sphere of influence:
Russia seeks to regain control of Ukraine and prevent its integration into Western institutions, which it...
artificial intelligence
artificial intelligence (ai)
halisi
haya
hii
intelligence
ipi
kale
kati
kijeshi
maana
majibu
russia
sababu
ukraine
vita
wahenga
Marekani, kupitia Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio, imetangaza kuwa itajiondoa kwenye mazungumzo ya amani kati ya Ukraine na Urusi ndani ya siku chache zijazo endapo hakutakuwa na dalili za wazi za kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Urusi ilianzisha uvamizi wa moja kwa moja dhidi...
Ngoma inaelekea mwisho coz wakubwa wa dunia wanakaribia muafaka! Ukraine Mashariki vs Ukraine Magharibi!
https://x.com/worldupdates245/status/1910985103620047014
https://x.com/worldupdates245/status/1910984807510688233
Nb: Wamagharibi watakubali kuachia Mashariki kwenye rasilimali adimu??
TANZANA – UKRAINE KUONGEZA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Ukraine zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii ikiwemo kilimo, biashara na uwekezaji, viwanda, utalii, elimu na afya kwa maslahi ya pande zote mbili...
Tofauti na baadhi ya watu walivyokuwa wakidai kwamba Russia walikuwa hawaathiriki na vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa na mataifa ya magharibi lakini sasa ukweli umedhihirika kwamba Russia inaumizwa sana na hivyo vikwazo.
Russia imesema baadhi ya vikwazo vya nchi za Magharibi lazima viondolewe...
"Tulikubaliana kusitisha mapigano mara moja kwenye sekta zote za Nishati na Miundombinu, kwa uelewa kwamba tutafanya kazi kwa haraka kufanikisha kwa ukamili kusitisha Mapigano, na hatimaye, MWISHO wa vita hivi vya kutisha kati ya Urusi na Ukraine.
Vita hivi visingeanza kamwe kama ningekuwa...
Donald Trump anatarajiwa kuzungumza na Vladimir Putin siku ya leo huku wawili hao wakitarajiwa kujadili eneo na udhibiti wa mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia - Baada ya rais wa Urusi wiki iliyopita kusukuma nyuma mpango uliosimamiwa na Marekani wa kusitisha mapigano mara moja nchini Ukraine...
Mwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe. Marekani ilikuwa inafanya hivyo ikiwa na...
Hapa ndipo vita vilipofikia.
Baada ya askari wa Ukraine walioingia eneo la Kursk mwaka jana kuzingirwa na kuwa karibu na kifo,raisi wa Marekani amewaombea huruma askari hao kutoka kwa raisi wa Urusi
Akiandika kwenye mtandao wake wa Truth ,Trump amemuomba Putin awaache askari hao warudi kwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.