ukraine

  1. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ukraine yapoteza mji wa mashariki uliokumbwa na vita

    Wanajeshi wa Ukraine wamejiondoa kutoka mji wa mashariki wa Siversk uliokumbwa na vita, huku Urusi ikiendelea kusonga mbele taratibu. Jeshi la Ukraine lilisema Jumanne kwamba lilichukua hatua hiyo "kuokoa maisha ya wanajeshi wetu na uwezo wa kupigana wa vitengo", na kuongeza kwamba vikosi vya...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine ni ya Kimkakati, angalia utajiri wa eneo la Donbas ambalo Putin atalichukua kwa jeshi

    Discovered reserves of the system are 1.6 billion barrels of oil . 59 trillion cubic feet of gas. More than one-half of the reserves are in Lower Permian rocks below the salt seal. Aluta kontinua Russia
  3. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Ulaya yakataa kuidhinisha fedha za Russia zilizokuwa frozen kwa ajili ya kusaidia Ukraine

    Benki Kuu ya Ulaya ilikataa kuunga mkono malipo ya €140 bilioni kwa Ukraine kutoka kwa mali za Urusi zilizotaifishwa, inaripoti Financial Times ikinukuu vyanzo. Makala inasema kwamba ECB ilihitimisha kwamba pendekezo la EU linakiuka mamlaka yake.
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania USA yatoa masharti ya kumaliza vita vya Ukraine

    Mawaziri kutoka Ukraine, Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Uingereza na Umoja wa Ulaya watakutana nchini Uswizi ili kujadili mpango wa pointi 28 uliopendekezwa na Washington wa kumaliza vita na Urusi. Hapa ni maelezo ya hoja kuu za mpango huo wa Marekani kwa Ukraine:- Kusitisha mapigano mara...
  5. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Medvedev: NATO kuilinda anga ya Ukraine ni 'tangazo la vita'

    Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema uamuzi wa nchi za Jumuiya ya Kujihami ya NATO wa kuilinda anga ya Ukraine itakuwa ni kama tangazo la vita. Medvedev amesema kwenye mtandao wa kijamii wa Telegram kwamba kutelekeza wazo la kuiwekea Ukraine ulinzi wa anga na kuyaruhusu mataifa ya...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump akiri hawezi kumaliza vita vya uvamizi wa Russia Ukraine bila msaada wa NATO Ulaya

    Zile tambo za kumaliza vita kwa siku moja atakapoingia Ikulu alizowahadaha nazo MAGA Wamarekani sasa ni kama zimefika ukingoni baada ya karibia mwaka ukienda kuisha bila dalili zozote za vita kuisha zaidi sana akiwa amechezwa Shere na Putin! Sasa anasema kwanza hii vita sio yake ni ya Biden na...
  7. haszu

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya binti Iryna Zarutska huko Marekani yamezua gumzo

    Kuna video inaumiza kweli, binti mdogo ambae mi mkimbizi kutoka Ukraine, ameuwawa kwa kukatwa shingoni na jamaa mweusi kwenye train. Ni wazi kua ameuwawa kutokana na rangi ya ngozi yake "White", weusi wengine waliokuepo hawakuonesha kumsaidia binti, alianguka kwenye kiti chake, akavuja damu...
  8. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Urusi kuitamani Ukraine koloni lake la zamani na sio mengine?

    Hii vita ya Russia vs Ukraine kuna muda hata siipatii majibu. Urusi alikuwa na makoloni mengi chini ya mwavuli wa Sovieti ikiwemo czech, Belarus, Slovenia na Ukraine ikiwemo n.k . Sasa imekuwaje hata baada ya Muungano huo kuvunjika na kila nchi kuwa huru ila bado mrusi anaitamani tena...
  9. Jackal

    JamiiForums Tanzania Kikosi Cha Wanajeshi Wapatao 1000 Wa Urusi Chazungukwa Na Vikosi Vya Ukraine Wakati "Command Centre"Yao Ikiangamizwa Kabisa Huko Pokrovsk, Ukraine

    Majanga Kwa Putin🤔 .. Pokrovsk continues to be one of the hottest areas on the frontlines in , the scene of fierce fighting.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Spika wa zamani wa Ukraine auwawa kwa kupigwa risasi

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kimataifa/aliyekuwa-spika-bunge-la-ukraine-auawa-kwa-kupigwa-risasi-5173452
  11. Alibino

    JamiiForums Tanzania Kwa maana hii Ukraine wameshindwa vita

    Kwasababu ambazo Trump ameziorodhesha ni kweli Ukraine pamoja na kusaidiwa na marekani pamoja na umoja wa nchi za ulaya hii vita imewashinda
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanzisha mashambulizi mapya magharibi mwa Ukraine

    Urusi imerusha mamia ya ndege zisizo na rubani na makombora magharibi mwa Ukraine usiku kucha katika moja ya mashambulizi makubwa zaidi ya mabomu katika wiki za hivi karibuni, maafisa wa Ukraine wamesema. Mashambulizi hayo yaliripotiwa huko Zaporizhzhia, Dnipropetrovsk, na Lviv, ambapo mtu...
  13. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Wanao mkosoa Putin kwa kuchelewesha kumaliza operesheni yake ya kijeshi huko Ukraine wanategemea hisia zaidi ya hoja

    Leo nimekaa na kutafakari ingekuaje kama NATO na EU wasingekuq nyuma ya Ukraine katika vita vyake na Russia. Ingekua sasa Putin ameshajenga ikulu pale Kyiv na sasa anakunywa mvinyo wake pendwa Spanish red wine. Uo ni ukweli na ushahidi upo pale Georgia mwaka 2008 alipovamia kuwakomboa watu wa...
  14. Mi mi

    JamiiForums Tanzania TRUMP: kurejeshwa kwa Crimea na Ukraine kujiunga na NATO sio sehemu ya mazungumzo ya Ukraine

    BREAKING: Trump says that taking back Crimea and joining NATO are off the table for Ukraine
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya Vita ya Urusi na Ukraine. Imeshtua watu wengi sana. Hali inatisha

    Mpaka sasa Urusi imepoteza watu wengi sana katika vita yake na Ukraine, si ukiwazia tu wapiganaji waliokufa, bali pia wale waliojeruhiwa au kupotea — na ripoti kutoka vyanzo mbalimbali vinaelezea kiwango kikubwa cha uharibifu upande wake. Taarifa za Karibuni kuhusu Hasara za Urusi Ukadiriaji...
  16. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump asema atajaribu kurudisha eneo la Ukraine katika mazungumzo na Putin

    kwamba atajaribu kurejesha baadhi ya maeneo ya Ukraine wakati wa mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin Ijumaa ijayo. "Urusi imechukua sehemu kubwa ya Ukraine. Wamechukua eneo muhimu. Tutajaribu kurudisha baadhi ya eneo hilo kwa Ukraine," alisema katika mkutano na waandishi wa habari...
  17. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania Kilele cha Trump-Putin nchini Alaska kinafanana na kushindwa kwa taratibu kwa Ukraine

    Mahali ni jambo la maana, alisema Rais wa Marekani Donald Trump, aliyewahi kuwa mfanyabiashara wa mali isiyohamishika. Dakika chache baadaye, alitangaza kuwa Alaska, eneo ambalo Urusi iliuza kwa Marekani miaka 158 iliyopita kwa dola milioni 7.2, ndiko Rais wa Urusi Vladimir Putin atajaribu kuuza...
  18. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump, Putin kukutana Alaska kwa mazungumzo ya vita vya Ukraine wiki ijayo

    Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Urusi Vladimir Putin watakutana Alaska Ijumaa ijayo kujadili mustakabali wa vita vya Ukraine. Trump alitangaza mkutano wa Agosti 15 kwenye mitandao ya kijamii na baadaye ikathibitishwa na msemaji wa Kremlin, ambaye alisema eneo hilo lilikuwa "lina mantiki...
  19. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania NATO na Ukraine wamekubali yaieshe mbele ya Putin

    Wasalam tena ndugu mwana JF za ndani kabsa kutoka katika vyanzo vya karibu na rais wa Ukraine vinasema rais volodymir Zelensky anapanga kujisalimisha mbele ya putin ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa ukraine. Haya yanaripotiwa baada ya simu ya pamoja ya volodymir zelensky rais wa US Donald...
  20. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania NATO kuwasilisha kiwango kikubwa cha silaha kwa Ukraine

    Muungano wa kijeshi wa NATO unaratibu ufikishaji wa kawaida wa silaha kubwa kwa Ukraine baada ya Uholanzi kusema itatowa mfumo wa ulinzi wa anga, risasi na msaada mwengine wa kijeshi wenye thamani ya euro milioni 500. Sweden pia ilitangaza siku ya Jumanne (Agosti 5) kwamba itachangia dola...
Back
Top Bottom