ukraine

  1. Jackal

    JamiiForums Tanzania Ukraine Yadai Kuiba Taarifa za Siri(Classified Information) Za Manuari Mpya Kabisa Za Kurusha Makombora Ya Nyuklia Za Urusi

    Wataalamu wa Shirika la Ujasusi la Kijeshi la Ukraine (HUR) wamefanikiwa kuvunja ulinzi wa Jeshi la Majini la Urusi na kupata nyaraka za ndani zinazohusu manowari mpya ya daraja la Project 955A Borei, Knyaz Pozharsky, iliyowekwa rasmi kwenye huduma chini ya wiki mbili zilizopita. Kwa mujibu wa...
  2. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Kikosi maalum cha Urusi chawateka maafisa wa juu wa kijeshi na kijasusi ndani ya Ukraine

    Kikosi maalum cha urusi toka spetnaz cha spat-12,kilifanya operation yenye uthubutu wa hali ya juu ndani ya ukraine Operation hiyo iliyodumu kwa dakika 15 usiku mwingi,ilifanyika kwenye kambi inayotumiwa na NATO ndani ya ukraine na kuwateka maafisa watatu wa juu wa uingereza ambao hawakuwa na...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump ampa Putin siku 12 Urusi kuonyesha muelekeo wa kumaliza vita Ukraine la sivyo aishughulikie

  4. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ukraine yaiomba Marekani mifumo 10 mipya ya ulinzi wa anga ya Patriot, Zelensky asema

    Volodymyr Zelensky alisema kuwa Ukraine imeiomba Marekani kuipatia mifumo kumi zaidi ya ulinzi wa anga ya Patriot na tayari imeweza kukubaliana na washirika wake juu ya utoaji wa mifumo mitatu ya aina hiyo. "Nimepokea uthibitisho rasmi kutoka Ujerumani watatupatia mifumo miwili, Norway mmoja...
  5. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Putin apuuza vitisho vya Trump, aapa kuendeleza vita Ukraine

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amedhamiria kuendeleza vita dhidi ya Ukraine hadi pale mataifa ya Magharibi yatakapokubali kujadili amani kwa masharti yake, licha ya tishio la Rais Donald Trump kuiwekea Urusi vikwazo zaidi. MigogoroUlaya Putin apuuza vitisho vya Trump, aapa kuendeleza vita Ukraine...
  6. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump asema makombora ya Patriot tayari yametumwa Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump alisema Jumanne, bila kutoa maelezo, kwamba makombora ya Patriot tayari yalikuwa yametumwa Ukraine chini ya utaratibu mpya wa utoaji. "Tayari wametumwa," Trump alimkatiza mwandishi wa habari ambaye alikuwa ameanza kuuliza swali juu ya makombora ya Patriot...
  7. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Sio vita vyetu' - Mkataba wa Trump wa silaha za Nato kwa Ukraine waibua hasira za MAGA

    Baadhi ya wanachama wa kihafidhina wa vuguvugu la Donald Trump la "Make America Great Again" wamejibu kwa hasira mipango ya rais ya kuiuzia Nato silaha, wakisema ni usaliti wa ahadi yake ya kukomesha ushiriki wa Marekani katika vita vya kigeni. Siku ya Jumatatu, Trump alisema atatuma silaha kwa...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Trump aitishia Urusi kwa kutoza ushuru mkubwa kama hawatamaliza vita huku akiendelea na mpango wake wa kuwapa silaha wa Ukraine

    Wanaukumbi Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa Marekani itatuma "silaha za hali ya juu" kwa Ukraine kupitia nchi za Nato, huku pia akitishia Urusi kwa kutoza ushuru mkubwa ikiwa makubaliano ya kumaliza vita hayatafikiwa ndani ya siku 50. "Tunataka kuhakikisha Ukraine inaweza kufanya...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump aitaka Ukraine ipige ndani kabisa ya Urusi, ikibidi Moscow!

    Katika kile kinachoonekana kama kubadikisha muelekeo wa mtizamo wake kuhusu vita vya uvamizi vya Urusi nchini Ukraine, inaelezwa Donald Trump ameanza kuipa msukumo Ukraine kushambulia popote ndani ya Ukraine huku akihoji uwezo wa kushambulia Moscow kama watapewa silaha za masafa marefu. Sijui...
  10. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Marekani: Donald Trump aipa Urusi siku 50 kumaliza Vita nchini Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye kwa mara nyingine ameonyesha kusikitishwa kwake kutokana na tabia ya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Julai 14, ameipa Urusi siku 50 kumaliza vita la sivyo itakabiliwa na vikwazo vikali, na akatangaza kukaribia kusafirisha idadi kubwa ya...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania China imeshasema haitakubali Urusi ishindwe na Ukraine kwa msaada wa NATO

    Dunia ijitayarishe kushuhudia vita vya kweli vya tatu vya dunia kutokana na mzozo wa Ukraine na Gaza. Kwa upande wa Gaza kinachoendelea ni rehma za Allah kuonesha uwezo wake ambapo Marekani na ukubwa wake na ukatili wa Israel inayoshirikiana nayo wataangushwa chini na watu dhaifu kuliko wote...
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump asema Marekani itaipa Ukraine silaha hatari na za kisasa huku akimkosoa Putin

    Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria kauli "kuu" kuhusu Ukraine hii leo, huku kukiwa na kile kinachoonekana kuzidi kukasirishwa na Rais wa Urusi Vladimir Putin. Siku ya Jumapili usiku, Trump alisema kuwa vifaa vya kijeshi "vya kisasa" vitaelekea Ukraine, ikiwa ni pamoja na makombora ya...
  13. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Vifaru, ndege za kivita na makombora: Fahamu silaha zilizotumwa Ukraine

    Tangu uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine Februari 2022, mataifa ya magharibi yametenga zaidi ya $250bn, (£205bn) za kijeshi, kibinadamu na misaada mingine ya kifedha kwa Ukraine. Hebu tuangazie aina ya vifaa vya kijeshi ambavyo vimepewa Ukraine. Ukraine imekuwa ikitumia makombora ya ATACMS...
  14. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi: Tumekiteka kijiji kingine Ukraine

    Urusi imesema imekiteka kijiji kingine magharibi mwa mkoa wa Donesk nchini Ukraine Jumapili 13.07.2025 wakati vikosi vyake vikiendelea kupata mafanikio na kusonga mbele kuelekea katika mkoa jirani wa Dnipropetrovsk.Wizara ya Ulinzi ya Urusi imekitaja kijiji hicho kuwa ni cha Myrne kilicho karibu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Ghana kuifadhili Ukraine kutengeneza drones na Ghana kupata uzoefu wa vita vya Russia na Ukraine ili kuimarisha ulinzi wa mipaka yake

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ametangaza kuwa Ghana iko tayari kufadhili uzalishaji wa ndege zisizo na rubani (drones) za Ukraine, baada ya mazungumzo ya simu na Rais wa Ghana, John Dramani Mahama. Taarifa hiyo imetolewa kupitia mtandao wa kijamii X, kwa mujibu wa shirika la habari la...
  16. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya zazindua mkutano wa kusaidia ujenzi wa Ukraine

    Viongozi wa Ulaya wamezindua Alhamisi mjini Rome, mkutano wa kila mwaka wa kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa Ukraine baada ya vita, wakitarajia kukusanya dola bilioni 12. Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky waliufungua mkutano huo kwa kuwatolewa wito...
  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  18. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  19. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Zelensky ahimiza misaada zaidi kwa ajili ya kuilinda Ukraine

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewataka viongozi na wafanyabiashara waongeze uwekezaji katika ulinzi, wakati ambapo Urusi inaimarisha mashambuliziZelensky amesisitiza kwamba huo ndio msimamo unaohitajika sasa. Zelensky amesema haitakuwa sahihi kwa nchi washirika kuwa na uhaba wa fedha. Rais...
  20. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ukraine yakabiliwa na mashambulizi makali zaidi baada ya Trump kumkosoa Putin

    Rais Volodymyr Zelensky amesema Ukraine imekumbwa na shambulizi kubwa zaidi kuwahi kutokea la anga kutoka Urusi, ndege zisizo na rubani 728 na makombora 13 ya baharini au ya balistiki yalipiga miji kote nchini humo. Zelensky alilaani shambulio na kuongeza: "Inakuja kwa wakati ambapo juhudi...
Back
Top Bottom