ukraine

  1. ze kokuyo

    Uingereza kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu

    Waziri wa ulinzi wa Uingereza amethibitisha kwamba nchi yake itaipatia Ukraine makombora ya masafa marefu ili kuweza kupiga shabaha za mbali. Makombora hayo ya Storm shadow yanaweza piga shabaha hadi 300km huku yakiruka karibu kabisa na ardhi ili kukwepa kuonwa na rada za adui. Hapo awali...
  2. 5

    China yasema hataki kuongeza mafuta kwenye moto vita ya Ukraine na Urusi

    Kuna wakati China anataka kushirikiana na Urusi kuunda umoja wao na kupiga vita US na washirika wao lakini kuna wakati yeye anahubiri amani na kujitoa mbingu na ardhi kwamba hahusiki kwa vyovyote kumsaidia silaha Russia. Hofu ya China ni nini hasa? Je, bado anaitegemea US na washirika wake...
  3. Mpinzire

    Pentagon yakiri mfumo wao wa ulinzi huko Ukraine ulitungua Kinzhal, wachambuzi wakataa kuwa ile sio kinzal ila BETAB-500

    Uenda ikawa kashfa mbaya kwa Pentagon kushindwa kuyatambua makombola ya Urusi, hii inajiri mara baada ya msemaji pentagon kusema ni kweli mfumo wao wa ulinzi wa Patriot ulilitungua kombola la urusi aina ya Kinzjal huko nchini Ukraine. Wachambuzi wa makombola walianza kulitilia mashakha aina ya...
  4. Poppy Hatonn

    Video; Ngumi(fist fight) kati ya mbunge wa Ukraine na Diplomst Mrusi

    Wamebishana. Yule alikuwa ameshikilia bendera ya Ukraine, jamaa akampokonya na kuondoka nayo. Kilichofuatia, ngumi.
  5. MK254

    Ukraine waangusha drones 35 za Iran kwa usiku mmoja

    Jameni Urusi imeachwa bila kete nyingine, juzi karusha hypersonic ikashushwa, drones za Iran hazina umuhimu tena huku tarehe ya rais kuhutubia nchi ikiwadia, pia Bakhmut imeshindikana...... =========================== Ukraine air defenses shot down 35 Iranian-made drones over Kyiv in Russia's...
  6. MK254

    Hizi drones za Ukraine zimekua kero kwa Warusi, macho angani muda wote

    Hapa wanasema walifaulu kuzuia mashambulizi ya drones kumi zikageuza japo wameshusha mbili. ============== The Russian-installed governor of Sevastopol on the Crimean Peninsula, Mikhail Razvozhayev, said Sunday that a series of Ukrainian drone strikes had been repelled overnight...
  7. S

    Ukraine yasikitika kuwapoteza kwa mpigo wataalamu wake sita wabobezi wa vilipuzi/mabomu

    Kimbunga cha dhahama cha makombora ya Russia kilichopita Kherson kimewakumba na kuwaangamiza wataalamu sita wa jeshi la Ukraine ambao walikuwa ni magwiji na wabobezi wa kutegemewa katika fani ya vilipuzi (mabomu). Jeshi la Ukraine linasikitika kwa kuondokewa na wabobezi hao kwani pengo lao...
  8. K

    WAGNER PMC kuendelea na Vita Ukraine!

    Habari za hivi punde ni kua mmiliki wa WAGNER PMC amesema ameahidiwa na serikali ya Urusi (Shoigu) kupatiwa silaha kadri atakavyo na wataendelea na operation zao za kijeshi nchini Ukraine. Haya yanajiri baada ya hivi karibuni bwana Prigozhin kutoa tamko la kuondoa wanajeshi wake kutokana na...
  9. K

    Ni kipi angekifanya shujaa wa Chato kwenye vita ya Ukraine

    Kama wote tujuavyo mwanachato alikuwa mtu wa kujilipua kuongea chochote bila kuhofia madhara yatakayomkuta kwa kufanya hivyo Mfano mzuri ni pale alipoamua kujilipua na kuyapima virusi vya korona mapapai,mbuzi na oil,pia alipoamua kuzipondea hadharani barakoa za wazungu na badala yake kuwataka...
  10. MK254

    Video: Mjumbe wa Urusi achapwa ngumi na wa Ukraine kwenye kikao Uturuki

    Mjumbe wa Ukraine alikua ameshikilia bendera ya kwao Ukraine, kisha wa Urusi akajifanya kichaa na kuja kumnyang'anya, aisei kapokea za uso, jameni watu wa Ukraine wana uchungu na nchi yao, na kuwafanyia utani wanaliamsha popote hata kama ugenini kwa watu...
  11. Webabu

    Prigozin wa Wagner anavyowachezea akili Ukraine

    Kiongozi wa kundi la Wagner linaloshirikiana na jeshi la Urusi katika vita pamoja na kujifanya ni mropokaji lakini ni mzalendo sana wa nchi yake. Baada ta vita kuwa vigumu Ukraine imekuwa ikitafuta kila njia kuwagombanisha warusi ili ipate kusonga mbele. Kwa njia hiyo wamekuwa wakitumia maneno...
  12. Allen Kilewella

    Ukraine inawategemea Ulaya na Marekani. Je, ni kosa?

    Naona kama watu wanachukia kwa Ukraine kuwategemea Wamarekani na Ulaya kwenye vita yake dhidi ya Urusi. Kwa ni kosa kuomba msaada kwa mtu unayemuamini!!? Hata hivyo maslahi ya Ukraine na Marekani dhidi ya Urusi yanafanana, tatizo liko wapi wakisaidiana!!??
  13. HIMARS

    Urusi: Ukraine imejaribu kumuua Rais Putin kwa shambulizi la drone Ikulu ya Kremlin

    Kumbe kuna mtu kapigwa jana ndani, lazima aone machungu ya vita Ukraine inajaribu lipa kisasi kwa Raia 23 waliouawa juzi. Sasa Putin ni aamue atumie Nukes au aondoke Ukraine Uzuri hizo drone zimetengenezwa na Ukraine wenyewe. Wacha tusubiri majibu yake ndani ya hizi siku 3. --- Russia...
  14. M

    BRYANSK: Makombora ya Ukraine yaua watu wawili katika kijiji kimoja ndani ya Urusi

    Watu wawili wameuawa ikiwa ni matokeo ya mashambulizi kutoka Ukraine yaliyokilenga kijiji kimoja ndani ya mkoa wa Bryansk ndani ya Urusi. Hayo yamesemwa na Gavana wa mkoa huo kama alivyonukuliwa na chombo cha habari cha Urusi TASS. Mashambulizi hayo yalikipiga kijiji cha SUZEMKA kilichopo...
  15. MK254

    Hayawi hayawi huwa, jeshi la Ukraine lavuka mto Dnipro na kujipanga

    Warusi walitumia kila aina ya zana, wakashambulia na kufa sana, wakasubiriwa watumie nguvu yote hadi wakachoka maana wazalendo wa Ukraine walipambana kuhimili hayo mapigo na kuyapangua, kwa muda Ukraine wamekua wakifanya maandalizi makubwa ya kufanya mashambulizi ya kurejesha ardhi yao almaarufu...
  16. MK254

    Urusi inazidi kutengwa, Zelensky na rais wa China wafanya mazungumzo marefu

    China ndio ilikua tegemeo la Urusi na kwa hali inavyokwenda hali inabadilika... Pia balozi mpya ameteuliwa kuwakilisha Ukraine China Zelensky appoints ex-minister for strategic industries as ambassador to China Zelenskyy said he had “a long and meaningful phone call" with Xi. His press officer...
  17. HERY HERNHO

    Urusi yateka wilaya tatu Ukraine

    Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kuzidhibiti wialya tatu zaidi kwa upande wa magharibi mwa mji mji wa Bakhmu Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kuzidhibiti wilaya tatu zaidi kwa upande wa magharibi mwa mji mji wa Bakhmut huko...
  18. I

    Lini na vipi Ukraine inapanga kuanza shambulizi dhidi ya Urusi?

    Wakati majira ya kuchipua yakianza nchini Ukraine, hali ya utulivu ya uhasama imeshuka kwenye medani za vita vilivyoanza Urusi mwaka jana. Mashambulizi ya majira ya baridi ya Moscow hayakufanyika kabisa licha ya uhamasishaji wa mamia ya maelfu ya wanaume wengi ambao hawakuwa na mafunzo. Wengi...
  19. MK254

    Haya madubwana yapokewa Ukraine huku maandalizi ya spring counteroffensive yakiendelea

    Urusi ilibugi sana kwa kushindwa kutekeleza malengo ya kuiteka Kyev pale mwanzo, sasa kinachofata ni aibu tupu maana tayari wamekwama Bakhmut, wameshindwa kuteka hako kamji licha ya kupoteza wanajeshi kama senene humo, sasa Ukraine wapo kwenye maandalizi ya kuirejesha ardhi yao.... The Patriot...
  20. L

    Taarifa za intelijensia zilizovuja yaweka wazi uhusika wa Marekani katika suala la Ukraine

    Vyombo vya habari vya nchini Marekani vimeripoti kuwa, nyaraka kadhaa za jeshi la Marekani zimevujishwa kwenye mitandao ya kijamii, zikiwa na taarifa kamili kama vile ramani ya Ukraine na sehemu ambazo askari wake wako na aina ya silaha walizonazo. Moja ya nyaraka hizo imeandikwa “Siri Kuu” na...
Back
Top Bottom