Kiongozi wa Wagner alia lia kuhusu namna Ukraine wanaendela kukomboa maeneo Bakhmut

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,408
Alaumu wanajeshi wa Urusi kuendelea kuachia maeneo na kushangaa namna wazalendo wa Ukraine wanakomboa maeneo.

Yaani Ukraine wana mzuka wa kichizi, vijana wanaingia kwenye historia kama ambao walijitokeza kuikomboa nchi yao, sikutegemea kitu kama hiki kwa vizazi vya leo, vijana wa leo huwa nawaona legelege ila kumbe wapo ambao wana uwezo wa kusimama na kuhesabika.

===========================

MOSCOW, May 11 (Reuters) - The head of Russia's Wagner mercenary group said on Thursday that his forces' flanks were under pressure near the Ukrainian city of Bakhmut, resulting in the loss of ground that his men had captured at heavy cost.

Yevgeny Prigozhin has argued that it is the job of regular Russian forces to protect Wagner's flanks near Bakhmut, the city at the centre of the longest and bloodiest battle of the war.

"The situation on the flanks is developing according to the worst predicted scenario," Prigozhin said in an audio message.

Nakazia
Screenshot_20230519-090000.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
They took it easy., Jeshi la Russia wajanja wameenda kuwaulisha hao wafungwa wa Wagner Group wao wakiona ngoma ngumu wanatimua zao kuokoa roho zao, Jeshi la Russia wengi sana wamemsaliti Putin hawataki ujinga wake
 
Commission imeshundwa secretly elite soldiers wapo kazini muda sio mrefu mtaskia huyo kipara wa Wagner anerudishwa nyumbani akiwa kwenye cargo.
 
🇷🇺🇺🇦⚡“We are finishing Bakhmut to the end” - Prigozhin said that less than one square km remained under the control of the Armed Forces of Ukraine in Artemovsk

"Musicians" continue to squeeze out the Armed Forces of Ukraine from their positions in Artemovsk (Bakhmut) - the fighters of PMC "Wagner" occupy an area of 189 square meters. Prigozhin also said that, probably, the retention of Artemovsk is part of the announced offensive of the Ukrainian army.

In just a day, the “orchestras” advanced 400 meters in the city, and, according to Prigozhin, they are not going to stop and plan to “finish Bakhmut to the end.” Earlier, the head of the Wagner PMC said that before the complete capture of Artemivsk, several houses remained to be cleared of Ukrainian militants.
 
Alaumu wanajeshi wa Urusi kuendelea kuachia maeneo na kushangaa namna wazalendo wa Ukraine wanakomboa maeneo.

Yaani Ukraine wana mzuka wa kichizi, vijana wanaingia kwenye historia kama ambao walijitokeza kuikomboa nchi yao, sikutegemea kitu kama hiki kwa vizazi vya leo, vijana wa leo huwa nawaona legelege ila kumbe wapo ambao wana uwezo wa kusimama na kuhesabika.

===========================

MOSCOW, May 11 (Reuters) - The head of Russia's Wagner mercenary group said on Thursday that his forces' flanks were under pressure near the Ukrainian city of Bakhmut, resulting in the loss of ground that his men had captured at heavy cost.

Yevgeny Prigozhin has argued that it is the job of regular Russian forces to protect Wagner's flanks near Bakhmut, the city at the centre of the longest and bloodiest battle of the war.

"The situation on the flanks is developing according to the worst predicted scenario," Prigozhin said in an audio message.

Mapigano ya Bakhmut nimeyafuatilia kwa kina bila Upendeleo wowote ule. Ukweli uko hivi:

1.Wapiganaji wa WAGNER kazi yao ni kuuteka mji wa Bakhmut(City centre) wakitokea Mashariki mwa Dotnesk.

2.Wanajeshi wa Urusi (Russia Regular Army) walipewa kazi mbili:
(i) Kuteka vijiji vote vinavyouzunguka mji wa Bakhmut wakitokea Kusini na Kaskazini.
(ii) Kutoa Air Support na Arterraly kwa Vikosi vya Wagner. Wagner wanatumia Drones kupata Coordinates mahali wanajeshi wa Ukraine walipo then wanazituma kwa Wanajeshi wa Urusi ambao wanapiga Maroketi kuelekea huko.

Matokeo yake

1.Vikosi vya Wagner vimewazidi nguvu wanajeshi wa Ukraine ambao wanadhibiti sehemu ndogo tu (12%) ya Mji wa Bakhmut. Baada ya kuona hivyo, Wanajeshi wa Ukraine wameanza kuukimbia Mji wa Bakhmut kimkakati kama ifuatavyo:
(i) Brigade 3 za Wanajeshi wa Ukraine zimeelekea North ambapo baada ya Mapambano makali, wanajeshi wa Urusi wameanza kuyakimbia maeneo yao na kutekwa na wanajeshi wa Ukraine wanaokimbia mji wa Bakhmut ulioharibiwa.
(ii) Brigade 4 za Wanajeshi wa Ukraine zimeelekea South na kukumbana na wanajeshi wa Urusi. Mapigano makali yameripotiwa jana na Wanajeshi wa Urusi wamerudi nyuma umbali wa Mita 570 kuelekea Mashariki.

Malalamiko ya Kiongozi wa Wagner

Kuna Video kadhaa zimesambaa zikimuonesha Kiongozi wa Wagner akilalamika kwamba Wanajeshi wa Urusi wanayakimbia maeneo yao huko Kusini na Kasikazini mwa Bakhmut. Kitendo hicho kitasababisha Wapiganaji wa Wagner Kuzungukwa (Encircled) kama watasonga mbele kuuteka mji wa Bakhmut.

Kwahiyo tutalajie mambo 3:

1.Wanajeshi wa Wagner kuuteka mji wa Bakhmut na baadae kuzungukwa na vikosi vya Ukraine endapo wanajeshi wa Urusi wakiendelea kutimua Mbio.

2.Wapiganaji wa Wagner Kusitisha kusonga mbele kuelekea mji wa Bakhmut mpaka pale watakapoona Wanajeshi wa Ukraine wanarudishwa nyuma na Wanajeshi wa Urusi ili kuepuka kuzungukwa.

3.Wapiganaji wa Wagner kuuteka mji wa Bakhmut baada ya wanajeshi wa Urusi kuwarudisha nyuma wanajeshi wa Ukraine upande wa South na North. Mpaka sasa Urusi imepeleka Reinforcement ya wanajeshi 50,000 kuelekea Bakhmut ili kuzuia majeshi ya Ukraine yanayosonga mbele South na North.
 
Thanks kwa hii analysis ila hao Warusi huko vijijini wanauana wenyewe

main-qimg-c9d38e247e4d2a591be22bd31b1ee35f
 
Back
Top Bottom