Tangu majeshi ya Russia yavamie Ukraine kumekuwa na tuhuma nyingi kutoka kwa Putin na Pro Russia kuwa majeshi ya NATO yamepelekwa Ukraine kupigana. Tuhuma hizo zimeenda mbali zaidi na kusema kuwa NATO inapeleka vifaa vyake vya kivita Ukraine. Rais Putin kila anapoongea na taifa amekuwa akidai...
Bora sasa tuanze ku-balance stories, nipige nikupige, Warusi nao wahisi jinsi palivyo patamu....
Five people were wounded by overnight shelling in the western Russian town of Shebekino, in the Belgorod region, that damaged multiple buildings, the governor of the region has said this morning...
Atukana wakuu wa majeshi Urusi na kushangaa kama taifa walifikaje huku ambapo drones zinapiga Moscow ndani, haingii akilini.....
Russian mercenary force boss Yevgeny Prigozhin issued expletive-laden statement criticising failure to protect Moscow.
The head of Russia’s Wagner mercenary force...
Ni mwendo wa kushambulia nyumbani kwao sasa
===========
Kyiv attacked Moscow with drones, Russia claims
Russia's defence ministry has claimed Kyiv was behind a "terrorist" drone attack on its capital this morning.
The ministry has said eight drones were involved in the strike and all of them...
Kwanini asivae suti kali?
Kwanini avae tisheti tu?
Mbaya zaidi hata anapokutana na delegations za nchi nyingine, pamoja na mikutanoni yeye ni matisheti tu. Why?
Yaani unakuta hadi walinzi na madereva wa hao viongozi wengine wamenyuka misuti mikali mikali halafu rais wanayempokea/pokelewa naye...
Wanajeshi 20,000 wa kundi la mamluki la Wagner la Russia waliuawa katika vita vya miezi kadhaa vya kuudhibiti mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, mwanzilishi wake amesema.
Yevgeny Prigozhin alisema amewaandikisha wafungwa wapatao 50,000 kupigana na Wagner katika vita vya Russia nchini Ukraine...
Warusi hawana amani tena ndani ya Urusi....
A construction worker was killed near the Russian village of Plekhovo, a few kilometres from the border with Ukraine after shelling from the Ukrainian side, Roman Starovoit, governor of the Kursk region said on Telegram.
Works were being carried out...
Supapawa anaendelea kupigwa ndani kwake....tena ndani ndani kule alikosema siku kukiguswa atafanya kitu....na kweli alijaribu kufanya kitu kwa kutuma mizinga ya hypersonic yote ikashushwa na Patriot.
===================
Ukraine struck oil pipeline installations deep inside Russia on Saturday...
Ukraine waendelea na ujasiri wa kuanza kupiga ndani ya Urusi moja kwa moja......
Russia’s southern Belgorod region bordering Ukraine came under attack from Ukrainian artillery fire, mortar shells and drones Friday, authorities said, hours after two drones struck a Russian city in a region next...
Usipokua mtu wa kuappreciate mambo mazuri wanayoyafanya wenzako ni ngumu sana kujifunza na kufanikiwa
Sisi waafrika hatu-appreciate mambo mazuri ya watu wengine ndo maana tuko vilevile, ni rahis sana kwa mwafrika kumuona mwezake amefanikiwa balaa ya ku-appreciate ataanza kumtuhumu ni...
Mifumo ya usalama wa anga za Kyiv ziko salama na imara kama siku zote....
Russian forces carried out overnight drone attacks on Kyiv, officials said on Thursday, continuing a monthlong campaign of air strikes against the Ukrainian capital.
Military chiefs said Kyiv's air defenses destroyed all...
Naiyona hii vita kuwa kubwa taratibu...baada ya jumatatu kutokea uvamizi mpakani mwa Russia na Ukraine katika jimbo la Belgorod sasa kuna vita mbili Russia anaanza kupambana nazo...vita ivyo ni Russia vs jeshi la Ukraine wakisaidiwa na washirika wa NATO na yapili ni Russia vs wanamgambo wanao...
Asema jeshi la Ukraine linapigana kitaalam sana na wamejipanga tofauti na aibu ambayo jeshi la Urusi limedhihirisha, na kwamba hali ikiendelea hivi Urusi kutalipuka mapinduzi
======================
02:18 - Source: CNN
CNN —
A new “revolution” could rock Russia if its stuttering war effort in...
Hili wamelisema Warusi wenyewe, kwamba meli yao ya kivita imeshambuliwa na drones za kwenye majini
Russia has claimed that one of its warships has been attacked in the Black Sea by Ukraine.
It says the attack on the ship - the Ivan Hurs - was carried out by what it describes as uncrewed...
Kwenye kampeni ya kuomba kuchaguliwa kuwa rais Zelensky alisema hivi:
“Our first priority is a ceasefire [in Kiev’s war with the Donbass]…I would not hesitate to lose my position for the sake of peace.”
Yaani "Kipaumbele chetu cha kwanza ni kusitisha vita (kati ya majeshi ya serikali na...
BBC yaripoti kuwa Urusi imewaua waasi 70 toka Ukraine waliojipenyeza na kuingia kwenye mpaka wa Russia na Ukraine, kwenye mkoa wa Belgorod, wakitumia magarivita ya Marekani ikiwemo MRAPs (Mine-Resistant Ambush Protected vehicles) na Humvees (The High Mobility Multipurpose Wheeled Vehicles)...
Ujumbe wa viongozi hao wa Nchi 6 za Afrika unatarajiwa kufanya mazungumzo na pande mbili wenye lengo la "kuanzisha mchakato wa amani."
Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy wote wamekubali kuwa wenyeji wa ujumbe huo kutoka Afrika Kusini, Senegal, Misri, Jamhuri...
Hadi sasa Ukraine imepewa silaha lukuki za mabilioni ya pesa, lakini imedai kuwa HAZITOSHI!!. Walipopewa HIMARS wakasema sasa watashinda, lakini wimbo wa HIMARS hauimbiki tena, wakataka vifaru vikubwa ili washinde. Wakapewa vifaru vya mjerumani LEOPARDS na vifaru vya Marekani ABRAHAMS na vya...
Deutsche Welle (DW) ya Ujeumani yaripoti kuwa Zelensky amethibitisha kuwa mji wa Bakhmut wote umeshatekwa na majeshi ya Urusi.
Hayo yamejiri leo jumapili wakati Bwana Zele alipokuwa kwenye mkutano wa G7 na mabosi wake ambapo mabosi wake walimuuliza Zele kama Ukraine inamiliki walau kamtaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.