Rais Volodomir Zelensky wa Ukraine akimbilia Vatican kwa Papa

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,819
18,556
Rais wa Ukraine Volodomir Zelensky amekwenda Italy ambapo atakutana na waziri mkuu wa Italia kwa mazungumzo na hatimaye kuitimisha ziara yake kwa kuonana na Papa Francis jijini Vatican ambapo anatarajiwa kuomba ushawishi wa papa kwa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya vita nchini Ukraine.
1683996222663.png
 
Rais wa Ukraine Volodomir Zelensky amekwenda Italy ambapo atakutana na waziri mkuu wa Italia kwa mazungumzo na hatimaye kuitimisha ziara yake kwa kuonana na Papa Francis jinini Vatican ambapo anatarajiwa kuomba ushawishi wa papa kwa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya vita nchini Ukraine.
View attachment 2620630
 
Rais wa Ukraine Volodomir Zelensky wa Ukraine amekwenda Italy ambapo atakutana na waziri mkuu wa Italia kwa mazungumzo na hatimaye kuitimisha ziara yake kwa kuonana na Papa Francis jinini Vatican ambapo anatarajiwa kuomba ushawishi wa papa kwa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya vita nchini Ukraine.
View attachment 2620630
Hakuna jinsi suluhu ni kurusha taulo ulingoni!
 
Rais wa Ukraine Volodomir Zelensky amekwenda Italy ambapo atakutana na waziri mkuu wa Italia kwa mazungumzo na hatimaye kuitimisha ziara yake kwa kuonana na Papa Francis jijini Vatican ambapo anatarajiwa kuomba ushawishi wa papa kwa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya vita nchini Ukraine.
View attachment 2620630
Kwa nini mnapenda kuandika uwongo?

Rais wa Ukraine amekuwa anatembelea nchi zote za Ulaya na America zinazoisaidia nchi yake. Italy ni nchi mojawapo inayotoa msaada mkubwa kwa Ukraine katika kupambana na nchi vamizi, ya Russia. Lakini pia kuna jitihada za chini kwa chini za Vatican kufanya usuluhishi ili vita vikome.

Hivi kwa kiongpzi wa nchi kufanya ziara kwenye nchi fulani, ni sawa na kukimbia nchi yake?
 
Rais wa Ukraine Volodomir Zelensky amekwenda Italy ambapo atakutana na waziri mkuu wa Italia kwa mazungumzo na hatimaye kuitimisha ziara yake kwa kuonana na Papa Francis jijini Vatican ambapo anatarajiwa kuomba ushawishi wa papa kwa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya vita nchini Ukraine.
View attachment 2620630
Bora huyu kaenda kwa Papa kuliko Yesu aliyekimbilia polisi kukwepa Ijumaa kuu Kenya
 
Back
Top Bottom