Ukweli wa mapigano ya mji wa Bakhmut nchini Ukraine

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Sep 25, 2018
1,114
3,768
Mapigano ya Bakhmut nimeyafuatilia kwa kina bila Upendeleo wowote ule. Ukweli uko hivi:

1.Wapiganaji wa WAGNER kazi yao ni kuuteka mji wa Bakhmut(City centre) wakitokea Mashariki mwa Dotnesk.

2.Wanajeshi wa Urusi (Russia Regular Army) walipewa kazi mbili:
(i) Kuteka vijiji vote vinavyouzunguka mji wa Bakhmut wakitokea Kusini na Kaskazini.
(ii) Kutoa Air Support na Arterraly kwa Vikosi vya Wagner. Wagner wanatumia Drones kupata Coordinates mahali wanajeshi wa Ukraine walipo then wanazituma kwa Wanajeshi wa Urusi ambao wanapiga Maroketi kuelekea huko.

Matokeo yake

1. Vikosi vya Wagner vimewazidi nguvu wanajeshi wa Ukraine ambao wanadhibiti sehemu ndogo tu (12%) ya Mji wa Bakhmut. Baada ya kuona hivyo, Wanajeshi wa Ukraine wameanza kuukimbia Mji wa Bakhmut kimkakati kama ifuatavyo:
(i) Brigade 3 za Wanajeshi wa Ukraine zimeelekea North ambapo baada ya Mapambano makali, wanajeshi wa Urusi wameanza kuyakimbia maeneo yao na kutekwa na wanajeshi wa Ukraine wanaokimbia mji wa Bakhmut ulioharibiwa.
(ii) Brigade 4 za Wanajeshi wa Ukraine zimeelekea South na kukumbana na wanajeshi wa Urusi. Mapigano makali yameripotiwa jana na Wanajeshi wa Urusi wamerudi nyuma umbali wa Mita 570 kuelekea Mashariki.

Malalamiko ya Kiongozi wa Wagner

Kuna Video kadhaa zimesambaa zikimuonesha Kiongozi wa Wagner akilalamika kwamba Wanajeshi wa Urusi wanayakimbia maeneo yao huko Kusini na Kasikazini mwa Bakhmut. Kitendo hicho kitasababisha Wapiganaji wa Wagner Kuzungukwa (Encircled) kama watasonga mbele kuuteka mji wa Bakhmut.

Kwahiyo tutalajie mambo 3:

1. Wanajeshi wa Wagner kuuteka mji wa Bakhmut na baadae kuzungukwa na vikosi vya Ukraine endapo wanajeshi wa Urusi wakiendelea kutimua Mbio.

2. Wapiganaji wa Wagner Kusitisha kusonga mbele kuelekea mji wa Bakhmut mpaka pale watakapoona Wanajeshi wa Ukraine wanarudishwa nyuma na Wanajeshi wa Urusi ili kuepuka kuzungukwa.

3. Wapiganaji wa Wagner kuuteka mji wa Bakhmut baada ya wanajeshi wa Urusi kuwarudisha nyuma wanajeshi wa Ukraine upande wa South na North. Mpaka sasa Urusi imepeleka Reinforcement ya wanajeshi 50,000 kuelekea Bakhmut ili kuzuia majeshi ya Ukraine yanayosonga mbele South na North.
 
Hiyo Bakhmut imekunywa damu aiseee, Russia anaogopa kuupoteza huo sababu atavunja moyo raia wake ijapokuwa hawatamani kuona vita ikiendelea.

Ukraine anautamani ili kuwapa morale zaidi askari wake.

Hamna kitu kinasubiriwa kama hiyo counter offensive ya Ukraine. Hizi long range missiles zinazopelekewa huko tutasikia mengi sana.
 
Wakati huo
Screenshot_20230519-090000.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wakati Patriots zilizopo Ukraine ni 3 tu.
Dah, Russia ni noma sana, itakua alianza kuzichoma zile zilizopo Ukraine halafu akaenda US kuzichoma kulekule US Patriot nyingine tatu
Ukraine ana Mifumo 2 tu ya Patriot.Moja kutoka Marekani na Moja kutoa Ujerumani.

Cha ajabu,Patriot 2 zimeweza kulinda anga la Kiev kikwelikweli. Kila Urusi ikirusha Makombora Kiev yanaambulia patupu.
 
Mapigano ya Bakhmut nimeyafuatilia kwa kina bila Upendeleo wowote ule. Ukweli uko hivi:

1.Wapiganaji wa WAGNER kazi yao ni kuuteka mji wa Bakhmut(City centre) wakitokea Mashariki mwa Dotnesk.

2.Wanajeshi wa Urusi (Russia Regular Army) walipewa kazi mbili:
(i) Kuteka vijiji vote vinavyouzunguka mji wa Bakhmut wakitokea Kusini na Kaskazini.
(ii) Kutoa Air Support na Arterraly kwa Vikosi vya Wagner. Wagner wanatumia Drones kupata Coordinates mahali wanajeshi wa Ukraine walipo then wanazituma kwa Wanajeshi wa Urusi ambao wanapiga Maroketi kuelekea huko.

Matokeo yake

1.Vikosi vya Wagner vimewazidi nguvu wanajeshi wa Ukraine ambao wanadhibiti sehemu ndogo tu (12%) ya Mji wa Bakhmut. Baada ya kuona hivyo, Wanajeshi wa Ukraine wameanza kuukimbia Mji wa Bakhmut kimkakati kama ifuatavyo:
(i) Brigade 3 za Wanajeshi wa Ukraine zimeelekea North ambapo baada ya Mapambano makali, wanajeshi wa Urusi wameanza kuyakimbia maeneo yao na kutekwa na wanajeshi wa Ukraine wanaokimbia mji wa Bakhmut ulioharibiwa.
(ii) Brigade 4 za Wanajeshi wa Ukraine zimeelekea South na kukumbana na wanajeshi wa Urusi. Mapigano makali yameripotiwa jana na Wanajeshi wa Urusi wamerudi nyuma umbali wa Mita 570 kuelekea Mashariki.

Malalamiko ya Kiongozi wa Wagner

Kuna Video kadhaa zimesambaa zikimuonesha Kiongozi wa Wagner akilalamika kwamba Wanajeshi wa Urusi wanayakimbia maeneo yao huko Kusini na Kasikazini mwa Bakhmut. Kitendo hicho kitasababisha Wapiganaji wa Wagner Kuzungukwa (Encircled) kama watasonga mbele kuuteka mji wa Bakhmut.

Kwahiyo tutalajie mambo 3:

1.Wanajeshi wa Wagner kuuteka mji wa Bakhmut na baadae kuzungukwa na vikosi vya Ukraine endapo wanajeshi wa Urusi wakiendelea kutimua Mbio.

2.Wapiganaji wa Wagner Kusitisha kusonga mbele kuelekea mji wa Bakhmut mpaka pale watakapoona Wanajeshi wa Ukraine wanarudishwa nyuma na Wanajeshi wa Urusi ili kuepuka kuzungukwa.

3.Wapiganaji wa Wagner kuuteka mji wa Bakhmut baada ya wanajeshi wa Urusi kuwarudisha nyuma wanajeshi wa Ukraine upande wa South na North. Mpaka sasa Urusi imepeleka Reinforcement ya wanajeshi 50,000 kuelekea Bakhmut ili kuzuia majeshi ya Ukraine yanayosonga mbele South na North.
Syory za Vijiweni
Zenye Mlengo Maalumu
 
Hiyo Bakhmut imekunywa damu aiseee, Russia anaogopa kuupoteza huo sababu atavunja moyo raia wake ijapokuwa hawatamani kuona vita ikiendelea.

Ukraine anautamani ili kuwapa morale zaidi askari wake.

Hamna kitu kinasubiriwa kama hiyo counter offensive ya Ukraine. Hizi long range missiles zinazopelekewa huko tutasikia mengi sana.
Anaye poteza mji ni Ukraine kwa sababu ndo alikuwa anaushikilia hivyo anacho kifanya hataki kuupoteza , Urusi anacho fanya ni kujaribu kuuteka.
 
Ukraine ana Mifumo 2 tu ya Patriot.Moja kutoka Marekani na Moja kutoa Ujerumani.

Cha ajabu,Patriot 2 zimeweza kulinda anga la Kiev kikwelikweli. Kila Urusi ikirusha Makombora Kiev yanaambulia patupu.
Acha kutulisha matango poli Patriot imekuja juzi tu kabla ya hapo anga la Kiev tiyari lilisha kuwa na mifumo kutoka Ujerumani, Uingereza, Israel na mwingine ya S300 ambayo Ukraine alipewa na Soravakia.
 
Hiyo Bakhmut imekunywa damu aiseee, Russia anaogopa kuupoteza huo sababu atavunja moyo raia wake ijapokuwa hawatamani kuona vita ikiendelea.

Ukraine anautamani ili kuwapa morale zaidi askari wake.

Hamna kitu kinasubiriwa kama hiyo counter offensive ya Ukraine. Hizi long range missiles zinazopelekewa huko tutasikia mengi sana.
Bakhmut imekunywa damu, kupoteza askari kwa rate ya 3 digits sio mchezo
20230519_205549.jpg
 
Back
Top Bottom