Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 788
- 2,000
Tangu vita baina ya majirani hawa walili ianze imenifanye niwaze nikwanini Uingereza amekuwa sehemu muhimu sana kutoa msaada wa hali na Mali kwa Ukraine kuweza kukabiliana na urusi, kuanzia magazeti yake propaganda, mafunzo kwa Askari, upishi wa propaganda, silaha hata kutoka makazi kwa wakimbizi.
Uingereza anafahamika kuwa mwenye uwezo wa kubuni mbinu ya mapigano ya ana kwa ana yaani close contact combat kwa wasio jua mambo ya kimedani uwezo wa jeshi unapimwa hapa. Yaani mnazitwanga ana kwa ana ni kurushiana karanga na grenade.
Mara kadhaa urusi amekuwa akimtupia lawama super power huyu wa zamani kuwa na kiherehere na kuingilia operations yake. Swali langu kwa wapenda mambo ya medani wenzangu nini msukumo wa Uingereza kumsaidia Ukraine kiasi hicho mpaka raia wake hawalalamiki. Kuanzia wakaki wa Boris mpaka sasa hvi kwa muhindi