Hapo vip!!
Kuna siku nimemsikia mwanasiasa mmoja anayeitwa Lema akiwa anamuongelea TAJIRI LAIZER kisiasa na kihuni, nikawasikitikia watu wasiofahamu ukoo wa Laizer watakavyojazwa ujinga na Lema.
Kwanza niseme Lema anajaribu kutumia jukwaa la kisiasa kuropoka, akijua watanzania wengi ni wavivu...