Tofauti ya Laizer na Mchaga

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vip!!
Kuna siku nimemsikia mwanasiasa mmoja anayeitwa Lema akiwa anamuongelea TAJIRI LAIZER kisiasa na kihuni, nikawasikitikia watu wasiofahamu ukoo wa Laizer watakavyojazwa ujinga na Lema.

Kwanza niseme Lema anajaribu kutumia jukwaa la kisiasa kuropoka, akijua watanzania wengi ni wavivu wa kufikiri(hawana uwezo wa kureasons)hii ni loophole kwa Lema.

Kwanza niseme ukoo wa Laizer ni ukoo tajiri kiasili, sio kwa kulazimisha kwa kufanya uwizi, kujikomba, kufanya siasa no, ni watu walio barikiwa tokea zamani zile na enzi zile.

Leo nataka niwape tofauti kati ya Laizer na wachagga, ili uko ilipo usiwe mtu wa kusikiliza wahuni pasipo kufanya research.

Nimeamua kuandikaa hivi kwasababu Lema amekuwa rahisi kuropo jukwaani na kumtaja Laizer kama ni mtu wa size yake, kauli zake zinaenda mbali zaidi kiasi kwamba inaweza kuwakatisha tamaa wafanyabiashara, wajasiriamali mali na wawekezaji wa ndani (haikubaliki)

Uongo wake na IQ yake ndogo tunaanza kuona katika engo hii....

Anasema cheni ya Beyonce ina thamani kuliko jiwe ambalo Laizer ameuza Billion saba, sasa najiuliza swali rahisi, Lema ameshashika kiuno cha Beyonce? Je, Beyonce anamjua Lema?, Je Lema emeshavua hiyo cheni ya Beyonce akaenda kupima kwa Sonara?

Tofauti Laizer na mchagga ni kwa mchagga anapenda pesa ila Laizer anapendwa na pesa, ndio maana Laizer ameijengea shule jamii inayomzunguka inufaike, na awawazi kusaidia,(wapo kama wazungu )Lema tokea awe mbunge hajawahi kujenga hata choo hivyo kwa tafsiri rahisi wivu inamsumbua.

Laizer kwasababu pesa zinampenda ni mzalendo kuanzia kwenye jamii yake mpaka kwenye taifa lake ndio maana aliona kwanza yale madini yake kuliko auze kijanja janja, bora Serikali yake inufaike na aitangazie Dunia ya kwamba yale madini yanatoka Tanzania na sio Kenya.

Laizer sio wanasiasa ni wafanyabiashara, wajasiamali na wawekezaji, wafugaji tena wenye ngo'mbe nyingi sana, hawapendi siasa sana, pia hawaongei kwa hisia na hawana maneno mengi ila akiamua kuwa mwanasiasa ni kama mzungu.

Laizer ana asili ya utajiri na anaweza kutumia fursa pale pale alipo kupata pesa, tofauti na mchagga mpaka a-suffer kwenye mazingira ya watu wengine. Wewe ulishawahi kumsikia mchagga aliyetafuta pesa Kilimanjaro akawa billionare, ila Laizer ametafuta pale pale Arusha.
 
Mkiambiwa Kuna zuio la mikutano mkaona Jpm ni dikteta Sasa ngoja MNYOOSHWE VIZURI AKILI ZIKAE SAWIA😅
 
Sawa hero imeekupata visuri, Leiza iko na pesa mingi kuliko wachagga. Usisahau kwamba ng’ombe zote ni za Masai lakini pesa zote ni mali ya Mchagga.
 
Sawa hero imeekupata visuri, Leiza iko na pesa mingi kuliko wachagga. Usisahau kwamba ng’ombe zote ni za Masai lakini pesa zote ni mali ya Mchagga.
Mchagga hana kiwanda cha kutengeneza pesa,pesa zinatengenezwa na wazungu..hiyo ni hoja ya kuhalalisha mambo meusi,ila mzaramo hawezi kufuga ng'ombe kama mmasai japo zimeumba na Mungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom