ukombozi

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. ADOLPH EMMANUEL

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukombozi wa Kifikra miongoni mwa Watanzania kwa Maendeleo ya Taifa

    Andiko hili linaelezea suala la ukombozi wa kifikra kwa Watanzania na Waafrika kwa ujumla kama nyenzo ya kujikomboa kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni. Jamii ya watu wasiojiamini, wenye akili iliyofungwa, wenye kuwategemea watu wengine wawaletee maendeleo, wasioweza kufikria hatima yao...
  2. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kinatakiwa Chama kipya cha Siasa cha Ukombozi hasa. CHADEMA na CCM hamna kitu

    Hivi vyama vikubwa viwili vyote vipo hoi. Hoi sana. Kimoja kinashikiliwa na Dola na kikingine kinashikiliwa na Ukosefu wa Chama mbadala. Utaniuliza ACT nitakujibu hamna kitu pale. Hamna chama cha ukombozi wa Mtanzania. CHADEMA ya sasa Imekuwa Nyepesi sana. Uzito wa Unyoya. Haina nguvu ya...
  3. O

    JamiiForums Tanzania CCM kilitukomboa, kukisaliti ni laana

    Kwa mtu yeyote aliyeimba wimbo huo, kwa kudhamiria kukilinda Chama, tena mbele ya Mwenyekiti kwa kuahidi kuzidumisha fikra zake. Ajue atapata laana iwapo ataanzisha chama chake binafsi. CCM ni chama kilichotukomboa na tuliimba sana tutakilinda mpaka kufa. Kama bado upo hai, na unakilaani hiki...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Credibility ya CHADEMA kama chama cha ukombozi imefutwa sasa ni chama cha kuleta hofu na dhahama

    Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa. Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sababu za vijana kushindwa kujitegemea

    (Nyumbani kwa mzee Jingo sebuleni) Mzee Jingo : Hivi Chuma utakaa nyumbani mpaka lini, kijana mwenye nguvu huna kazi unashinda vijiweni Chuma : Mzee unatambua wazi kazi hamna nikipata kazi nitafanya Mzee Jingo :Vijana siku hizi hamtaki kuwajibika unashindwa ata kulima ! Chuma : Sasa nilime...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali ndio Ukombozi wa Maskini katika Jamii nchini Tanzania

  7. K

    JamiiForums Tanzania Naweza nisiwe Nabii ila wanaopingana na ukombozi wa Tanzania (Katiba mpya) wataondoka na kusaulika siku si nyingi

    Yawezekana waliopewa nafasi nakutuongoza kwa haki nakupewa nafasi yakuweka misingi ya haki na utawala wa sheria nchini wanaamini Wana muda mrefu wakula salary,posho na kutembelea mashangingi kupitia Kodi zetu. Naamini Mwenyenzi Mungu alipowapa nafasi yakuosoma wakawa na mawazo mapana dhidi ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mzee Kaunda na mchango wake kwenye ukombozi wa Afrika, na uhusiano kati ya China na Afrika

    Aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zambia mzee Kenneth Kaunda amefariki dunia katika hospitali ya jeshi mjini Lusaka, alikokuwa amelazwa kutokana na kuumwa. Kuumwa na kuaga dunia kwa Mzee Kaunda, sio tu kumewafanya watu wengi wakumbuke mchango wake katika ukombozi wa eneo la kusini mwa Afrika, na...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. John P. Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyechelewa kueleweka katika ukombozi wa pili wa Mwafrika, wala hakuogopa vigingi vya Mabeberu.

    Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. John Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati. Napenda nimshukuru Mungu aliyeziumba mbingu na nchi kwa kuendelea kuliongoza Taifa letu bado ninaamini Taifa letu lipo mikononi mwake Mungu. Mungu wetu aendelee kututia nguvu sisi kama taifa...
  10. mgt software

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyechelewa kueleweka katika ukombozi wa pili wa Mwafrika, hakuogopa vigingi vya Mabeberu

    Wana Jf Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati. Ninaposema Dr. Magufuri ni Nabii wa Africa aliyetumwa kuikomboa Africa mara ya pili ninamaanisha kuwa Kwa Yale mahubiri yake ya kutaka Africa tujitathimini kupenda vyetu ili kujinasua...
  11. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Bunge si Jumba la Sanaa, ni mahali Patakatifu Kisiasa katika ukombozi wa mawazo ya mnyonge

    Salaam Wana JF, Nianze kwa kusema kuwa wale wanaodhani Bunge letu ni Jumba la Sanaa wanakosea kimantiki na pengine hawajui Majukumu ya Mhimili huu na mipaka yake, Bunge lina utakatifu wake na upekee katika ustawi wa haki na Maendeleo kwa watu, Bunge Ni moyo wa nchi kiutawala. Hatahivyo Kwa...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kuna kila dalili Waganda wanaingia kwenye ukombozi wa pili, jameni Wakenya tujiandae kuwapokea maana huu upweke

    Idadi kubwa ya mawaziri akiwemo makamu wa rais na wabunge wa mlengo wa serikali wamepoteza ubunge, Waganda wameamua, wamefanya aina ya maamuzi tuliyofanya zaidi ya miaka 20 iliyopita, ukombozi wa pili unawajia, tuendelee kuwaombea ili kama ikitendeka kweli, Museveni asigome kuachia. Upokwezaji...
  13. M

    JamiiForums Tanzania La Bandari ya Bagamoyo kama ni kweli basi ni ukombozi

    Asalam ndungu zangu! Nimepitia mitandao naona suala la Bandari ya Bagamoyo limeibuka upya. Limeibuka kwamba limepata ufunmbuzi na litatimia. Faida na hasara zake. A) Faida 1. Uhamishaji wa teknolojia kwa haraka. Tuliambiwa Kuna viwanda takribani 700 kwenye ukanda wa Bandari na maeneo jirani...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge mwenye Uzalendo ni yule nitakayemuona pamoja na mambo mengine, akipigania Fao la Kujitoa, kwa ukombozi wa waajiriwa wa sekta binafsi

    Hakuna mtu muelewa na mpenda haki asiyetambua kwamba Serikali imefanya ukatili wa Hali ya juu kwa kitendo cha kuondoa fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii. Ipo idadi kubwa sana ya Watanzania ambao wameajiriwa katika sekta binafsi, na kama tunavyofahamu, mara nyingi sekta binafsi...
  15. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Sera ya Rais Mwinyi ya Uchumi wa Bahari " Blue Economy" ni alama ya ukombozi kwa wanyonge kiuchumi

    Salaam Wana JF. Wakati wa kipindi cha kampeni Rais wa sasa wa Zanzibar aliongelea kwa kina maono yake na mtazamo wake juu ya uchumi wa baharini yaani "blue Economy" bila shaka hii ilikuwa ni ahadi nzuri na sera yenye mantiki katika kukuza uchumi wa watu wa Zanzibar hasa wanyonge, kwa maana...
  16. English Learner

    JamiiForums Tanzania Ukombozi Umefika Morogoro...

    Hivi karibuni nimekuwa mfuatiliaji wa mambo ya ulimwengu wa Roho. Katika lulu ambazo nimepata kuzijua ni Mtumishi wa Mungu, Askofu Elibariki Sumbe msimamizi wa Kanisa la Vuka Yordani lililopo Ngaramtoni, Arusha. Katika zama tulizomo moja ya changamoto kubwa ni kuwatambua Watumishi wa Mungu wa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Ukombozi la kudai Katiba mpya Tanzania

    Uzinduzi wa Kongamano la kuanzisha mchakato wa kudai katiba mpya litafanyika tar 20/12/2020
  18. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu amekimbia mapambano? Ni mwoga na katelekeza mamilioni ya wafuasi wake wanaomuunga mkono katika harakati za ukombozi?

    Wana JF, habari za asubuhi ya leo nzuri ya tarehe 12/11/2020. Kuna mchanganyiko wa mawazo kumhusu aliyekuwa mgombea Urais ndg Tundu Lissu (CHADEMA) kukimbilia Ubelgiji kwa sababu za kiusalama. Wengine wanasema is WEAK and COWARD, wengine wanasema, ni wakala wa mabeberu hivyo baada ya kushindwa...
  19. Arafat

    JamiiForums Tanzania Je, Taifa litaokolewa na wakina Mama?

    Ukiangalia kwa makini toka JPM kuingia madarakani na hasa baada ya bahari ya siasa kuwa na mawimbi makali na dhoruba za kuhogofya, wanaume waliokuwa kwenye siasa za kukosoa CCM na kumkosoa JPM wengi walinywea na wengine walirudi CCM. Kwa upande wa wanaume, mtu pekee aliyebaki moto kama moto...
Back
Top Bottom