ukombozi

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ukombozi kupitia masikilizano na CCM ni kupoteza muda

    Kupigania katiba nyingine ni kulenga kuleta mabadiliko kamili ya mfumo wa utawala. Jukumu hili ni gumu na zito kuliko kumfurusha mkoloni mlowezi halisi. Kwa hakika hawakukosea PAC, SA na kauli mbiu yao pendwa: "One settler, one bullet." Maneno matupu yakiwamo ya kuwataka wafanye hili au...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Crimea waombwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana ukombozi unakuja

    Wananchi walioko Crimea wameagizwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana vita vitahamia huko muda usio mrefu na kutakua na umwagikaji wa damu balaa kwenye jitihada za kumfukuzia adui Urusi aliyeingilia nchi ya watu, wanajeshi wa Ukraine wanajitoa mhanga, wanauawa kishujaa kwa ajili ya vizazi vyao...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Palestine utafanywa na Urusi sio Marekani wala Waarabu

    Iko siku Palestine itakombolewa na Urusi kutoka kwenye tabu ya nchi za Magharibi na Israel. Waendelee kunywa mtori nyama watazikuta chini. Mungu sio mjinga kiasi cha kuwaacha wapalestine wateseke milele. Mungu atafanya hivyo kama alivyofanya kwa wa Israel pia. Mungu atafanya hivyo hata kwa bara...
  4. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu, sanaa, michezo na ukombozi wa ajira

    Nina rafiki yangu ninamfahamu tunaishi naye mtaa mmoja, nimecheza naye mpira mara nyingi sana mtaani kwetu, nakiri kusema kuwa katika watu niliowahi kucheza nao mpira pengine yeye alikuwa ndiye mwenye kipaji kikubwa zaidi kuwahi kukishuhudia. Alikuwa anafanya vitu basic kwenye mpira kwa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu na ukombozi wa ajira

    “Elimu ni ufunguo wa maisha” nakumbuka huu msemo ndio ulikuwa motto na salamu tuliyotumia kusalimia walimu wetu kipindi niko shule ya msingi Diamond. Kwa kipindi hiko tulitamka maneno hayo kwa kuyaamini kabisa na yalitupa nguvu mno ya kusoma kwa bidii ili baadae tuje kuwa na maisha mazuri. Sasa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Heko Zanzibar kwa kuwa na dira ya ukombozi wakati sisi tukitapa tapa gizani

    Walisema waungwana ukiona vyaelea vimeundwa. Siyo siri wenzetu Zenji wako vizuri na katika njia yao salama ya ukombozi iliyo wazi: "Zanzibar wanataka mamlaka yao kamili na wamejipanga kwa ajili ya hilo." Kwenye mapambano yao wanapigana bega kwa bega na bila ya tashwishi. Sisi hatukujifunza...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kama nchi tuko vibaya, nani mwenye kubeba dhima ya ukombozi wetu?

    Huku tozo, kule kina Simbachawene. Huku dhuluma, watuhumiwa wakuu vyombo vya dola. Haki hamna, masanduku ya kura hayaheshimiwi. Mambo lukumba lukumba, tunatokaje hapa? Muhimu tukatambua hatutatoka hapa bila kulipa gharama ambayo haitakuwa ndogo. Hatutatoka hapa bila organization wala uongozi...
  8. Rubawa

    JamiiForums Tanzania Ijue historia ya soko kuu la Kariakoo

    Neno ‘KARIAKOO‘, asili yake ni neno la Kiingereza la ‘Carrier Corps’, likiwa na maana ya kwamba mahala hapo ndipo inapomalizikia misafara iliyokuwa ikiwasili kutokea nje ya hapa mjini, wakati huo wa utawala wa Wajerumani na Waiingereza. Misafara hiyo ilihusisha askari pamoja na wapagazi...
  9. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Ahmed Rashad Ali bingwa wa propaganda za ukombozi wa Afrika

    1931 Cup Central Government School Mnazimmoja Waliosimama kuanzia kulia: 1. Amour Muhammed Al Barwani 2. Muhammed Abdulla Al Ghassany (marehemu Baba) 3. Saleh ( Baba yake alikuwa akiuzwa Haluwa) 4. Muhammed Abdulla Salim Al Barwani 5. Unknown 6. Saleh Awadh Al Hadhramy 7. Unknown 8. Muhammed...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukombozi wa kifikra kwenye elimu

    ELIMU ni ujuzi anaoupata mtu ili umsaidie katika kujikomboa katika mazingira yake,na ujuzi unaweza kupatikana katika mifumo miwili ,mfumo rasmi na mfumo usio rasmi. Hapa nchini Tanzania pamoja na kwamba tuna aina hizi za mifumo ya elimu lakini Bado mfumo unaotumika Sana ni mfumo rasmi ambao...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sisty Nyahoza, kwanini unawafanyia mtimanyongo Umoja Party? Hujui kuwa watanzania wanahitaji ukombozi?

    Umesahau wewe kama mtanzania ulishuhudia pesa nyingi za walipa kodi na Watanzania wanyonge zilikuwa zinaliwa na mafisadi wa CCM? Ila kuna Kiongozi alikuja akawabana na hao mafisadi na akafanyiwa fitina kubwa. Watanzania wanahitaji chama ambacho kitalinda rasilimali zao na kutetea maslahi ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania ANC na CCM vyama vya ukombozi vilivyogeuka vichaka vya mafisadi. Vimesahau kutumikia wananchi

    Namna viongozi wa Anc na CCM wanavyobehave ni namna moja. Walijinyenyekeza kwa wananchi na kujionyesha kuwa wapo kwa ajili ya kutumikia wananchi wanyonge. Lakini kumbe ni watu wakusahau na waiba mali za umma. Leo hii ni magenge ya wafanyabiashara na wezi wa mali za umma wanaongoza viongozi wa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kinana atembelea ofisi za Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika

    KINANA ATEMBELEA OFISI ZA PROGRAMU YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, ametembelea ofisi za Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika, na kujionea hatua mbalimbali zilizofikiwa katika...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Mbowe wazidi kupanda. Sasa hivi watu wanamchukulia kama mpigania haki na ukombozi

    Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania. Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania. Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
  15. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kujipanga kwa Ukombozi hakuna Ukomo

    Ikumbukwe ipo tofauti kubwa kati ya Chadema na mashabiki mitandaoni. Ni muhimu kukawa na focus ya hoja ipi inamhusu nani katika wawili hao. Kumekuwa na maangalizo mengi ambapo kwa hakika Chadema kama chama kinapaswa kufikiria kuyafanyia kazi: 1.Lwaitama, Heche, Kigaila na wa namna hiyo katika...
  16. LODSI

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanzania: Ni uhuru bila mjeredi wa mkoloni lakini ni utumwa wa maisha katika ukombozi wa fikra

    Takribani miaka 60 tangu Tanganyika tupate uhuru wetu na ni takribani miaka 57 tangu Tanganyika iungane na Zanzibar tukawa TANZANIA ya leo, kwa miaka yote hiyo 60 kuna namna ambayo mtu mmoja mmoja, familia na serikali kwa ujumla ilitakiwa kichangua njia sahihi ya kuendesha maisha ya watu wake na...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa Zanzibar 2020 - Tuna ya Kujifunza, yatasaidia kwa Ukombozi

    Kumtemesha mtu tonge mdomoni au haki za watu anazo hodhi haijawahi kuwa bila mpambano. Maridhiano hayawezi kutokea mitandaoni. Tunayo ya kujifunza kutokea Zanzibar walikofanikiwa kuionja tamu na chungu ya maridhiano: Shikamoo Zanzibar. Ama kweli tuna mengi ya kujifunza kwako. Pumzika kwa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maendeleo binafsi, ni Maendeleo ya Jamii nzima

    “Maendeleo binafsi, ni Maendeleo ya Jamii nzima”. Habari zenu, ndugu wana Jamii Forums, haswa jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu sote tu wazima wa afya. Andiko hili litaangazia juu ya ukombozi wa fikra. Kama ifuatavyo; Mtaji wa kwanza wa Maendeleo binafsi ni Ukombozi wa...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Generation ya kuanzia 1990's ndiyo italeta ukombozi wa kisiasa hapa Tanzania

    Huu ndo ukweli CCM imekataliwa na most of people. Wengi ni vijana waliozaliwa 1990s Hivyo kizazi cha hakina kayafa kinabidi kiishe chote. Hiki kizazi cha 1950+ kimejaa watu makatili waliopoteza utu na Heshima na wanaofanya siasa za chuki na kukomoana. Pendekezo vyama vya upinzani makini...
  20. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania WADJDA: Filamu inayochochea ukombozi wa mtoto wa kike

    Wadjda Binti wa miaka 10 anatamani sana baiskeli, wadjda hawezi kununuliwa baiskeli kwa vile jamii yake inakataza mwanamke kuendesha baiskeli, anaamua kujifua na kuingia kwenye mashindano ya kuhifadhi Quraan akiamini atakuwa mshindi wa kwanza na kujipatia pesa ambazo atazitumia kununulia...
Back
Top Bottom