ukoloni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Hili la Uingereza kupeleka waomba ukimbizi Rwanda ni muendelezo wa ukoloni

    Nchi ya Rwanda imekubali kupokea waombaji wa ukimbizi waliongia nchini Uingereza kwa njia zisizo halali. Watu hao wakifika Uingereza watakuwa wanapelekwa Rwanda wakati maombi yao yakifanyiwa kazi. Rwanda watapokea fedha kwa ajili ya kazi hiyo. Matarajio ni kwamba nchi hii itapokea wakimbizi...
  2. Mohamed Said

    Waswahili katika kupinga ukoloni wa Wabelgiji Burundi

    WASWAHILI KATIKA KUPINGA UKOLONI BURUNDI Historia ya Sheikh Hassan bin Ameir na Waislam wa Burundi inashangaza. Hakuna Sheikh katika Afrika ya Mashariki aliyeweza kuingia Belgian Congo, Rwanda na Burundi kumpita Sheikh Hassan bin Ameir akieneza Uislam na wakati huo huo kwa ujanja mkubwa...
  3. M

    Urusi-Ukraine ni jaribio la ukoloni mpya. Tanzania ipo kimya, kwanini?

    Uvamizi wa Ukraine pamoja na maelezo ya rais wa Urusi ni jaribio la kuanzisha ukoloni mpya. Nchi nyingi zinadai Urusi itoke tena katika nchi jirani na kulipia fidia. Balozi wa Kenya alihotubia Umoja wa Mataifa akilaumu matendo ya Urusi. Tanzania ni kimya. Kwa nini? Serikali haielewi ni nini...
  4. Sky Eclat

    Nyumba za wafanyakazi wa kima cha chini enzi za Ukoloni

    Watu waliishi katika nyumba hizi, kuzipata and ni lazima mzazi awe mwajiriwa wa Railways, Bandari, Serikali Kuu nk. Kila kitu kina wakati wake, enzi hizo uliona fahari kwakaribisha wageni humu, nyumba ina maji na umeme na paa la vigae. Kule Uswahilini enzi hizo nyumba zilikuwa ni za udongo na...
  5. MulengaMulenga

    Watanzania mnamzungumziaje mkoloni Herrmann von Wissmann?

    Ninaandika insha kuhusu mkoloni Herrmann von Wissmann wa Ujerumani. Alikuwa meja na mwanajeshi wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani 1888-1895. Kuna wajerumani wachache wanaosema kwamba alifanya vitu vizuri na alikuwa rafiki wa watanzania. Hawadhani kwamba alikuwa mkoloni mkatili na alifanya...
  6. MulengaMulenga

    Colonialism: What do you think/know about Herrmann von Wissmann?

    Hello everyone, currently I am writing a thesis about the german colonial ruler Herrmann von Wissmann who was active in "German-East-Africa" from 1988-1996. In the thesis I am approaching to falsify arguments from german right-wing extremist groups that are trying to enforce their historically...
  7. Mwenda zake

    Je, wajua ni jinsi gani wakoloni wanatutawala kidigitali (ukoloni mamboleo)?

    JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI(UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE Habari ndugu zangu wa JamiiForums, Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni ile hali ya zile nchi tajiri duniani kuingilia masuala ya nchi zinazoendelea kijamii ,kiuchumi na...
  8. D

    Ukoloni wa miamala haukubaliki; wananchi tukiwa na msimamo tunaweza kuupinga kwa nguvu utapeli huu; Kapu la VAT 18% linatosha wagawane huko

    Baadhi ya mambo ukiyatafakali yanadhihilisha wazi baina yetu bado tuna imani za kikoloni kichwani! Elimu haijatukomboa kabisa, hatuna ubunifu kichwani kabisa! Ni bure kabisa! Hivi kazi ya VAT ni nini? Na matumizi ya fedha hiyo ni yepi? Hivi kuna sababu gani ya mimi kukatwa 18%ya VAT, Halafu...
  9. J

    Ustaarabu, Makazi, Maendeleo na Maisha ya watanzania na watawala (machifu na watemi)

    England United Kingdom Dresdane German Habari wanajamvi natumai mu wazima wa afya. Binafsi napenda utalii hasa utalii wa kihistoria kujua watu wa zamani na jamii zao waliishi vipi makazi, siasa, shughuli za kiuchumi nk. Tukija sehemu yangu pendwa ya makazi navutiwa sana na architects...
  10. Hismastersvoice

    Tujikumbushe kesi dhidi ya Mwalimu Nyerere kabla ya Uhuru (wakati wa ukoloni).

    Mwishoni mwa miaka ya 50 Mwalimu Nyerere alishitakiwa na wakoloni na akafikishwa mahakamani, siku za kusikilizwa kesi watanganyika walijaa nje ya mahakama kushuhudia tukio hilo muhimu la kiongozi wao kusurubiwa na mkoloni. Enzi hizo jeshi la polisi lilikuwa chini ya malkia wa uingereza na...
  11. J

    SoC01 Ukoloni wa mfumo dume, Tuupindue

    Kwenye taaluma ya ikolojia tumefundishwa kuwa, kukubali uwepo wa tatizo ni sehemu muhimu ya suluhisho ila kukana uwepo wa tatizo na kutafuta njia mbadala wa kutatua tatizo kanwa ni pata potea. Ni ukweli kuwa matatizo mengi ya kijamii yanayohusisha mwingiliano wa mwanaume na mwanamke yanatokana...
  12. x - mas

    "Malkia wa Ubembe" ni miongoni mwa dini za kiafrika kabla ya ukoloni na hadi leo, nahitaji kuifahamu dini hii kiundani zaidi

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Inasemekana "Malkia Wa Ubembe" ni moja ya dini zetu za asili za kiafrica hata kabla ya ujio wa dini za kisasa za wazungu na waarabu. Dini hii wafuasi wake ni watu kutoka kigoma Tanzania na watu wa mashariki mwa congo. Ningependa kujuzwa mambo yafuatayo kuhusu...
  13. The Father of All

    Hivi kuendelea kuvaa wigs kwa majaji na maspika wa mabunge ya Kenya siyo ukoloni wa kujitakia?

    Wanangu hamjambo humu ugani? Leo nimeona bi mkubwa SSH alipohutubia mabunge ya Kenya maspika alikuwa wamevalia wigs. Je, kweli bado kuna haja ya waswahili kuvaa katani na kudai bado wako huru? Wanangu nisaidieni. Pia hata majaji wa Kenya huvaa wigs. Kipindi cha Dr Willy Mutunga yalipigwa chini...
  14. Grand Canyon

    Swali kuhusu Uingereza, Uhispania na Ufaransa wakati wa ukoloni

    UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA Enzi Za Ukoloni Mataifa Mengi Ya Ulaya Yalianzisha Makoloni Sehemu Mbali Mbali. Lakini Mataifa Ya UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA Ndiyo Yalijipatia Makoloni Makubwa Zaidi. Nimekuwa Nikisoma Kuhusu Ukoloni Lakini Kuna Swali Sikupata Jibu Lake. HISPANIA Ilitawala...
  15. O

    Wimbo wa taifa enzi ya ukoloni

    Wazee wenzangu tujikumbushe maneno ya wimbo ambayo ndio uliokuwa ukiimbwa hapa Tanganyika GOD SAVE OUR GRACIOUS QUEEN LONG LIVE OUR NOBLE QUEEN, GOD SAVE THE QUEEN. SEND HER VICTORIOUS HAPPY AND GLORIOUS LONG TO REIN OVER US GOD SAVE THE QUEEN Ikiwa yapo maneno nimekosea naomba mwenye kumbu...
  16. Senior Boss

    Nimeamini Kuna wazee wengine wana ukoloni na roho mbaya sana

    Salaam wakuu, Nina hadithi ya kweli ningependa ku share nanyi. Ni kitu nimekishuhudia kwa macho yangu na kimetokea kuniumiza sana roho !!! Sumtyms huwa nikiwaza nakosaga na majibu kabsa. Ule usemi " Sio kila king'aacho ni dhahabu " ni ukweli kabisa na nime prove kwamba wakat mwngne kwenye...
Back
Top Bottom