Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema mkoa wa Dar es Salaam bado unaongoza kwa matukio ya ukatili wa kijinsia nchini Tanzania, huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni msongamano wa watu na muingiliano mkubwa wa shughuli za kiuchumi.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC...
Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima utaimarisha fursa za kiuchumi kwa wanawake wa vijijini na kuboresha upatikanaji wa huduma kwa...
Inaitwa Brutal beer! Jina moja la kibabe sana! Yaani BIA KATILI
Kama hujawahi kuiona kwa sura unaweza kuogopa sana.. Lakini once unapoiona unaanza kupata mashaka
.Chupa yake ni ndogo halafu kimodo
. Rangi yake ni pink iliyofifia
. Ladha yake ni ya matunda
. Kilevi chake ni asilimia 5%
Kwahiyo...
NB: Hapa Maria Sarungi na Mange Kimambi hawahusiki wao ni Wanaharakai
Kwa miaka mingi tumekuwa tukipigiwa kelele nyingi za Feminism, wakitaka usawa katika fursa za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Mbaya zaidi huko mitandandaoni tulikuwa hatupumui tena walikuwa hadi na majukwaa na mikutano ya...
GT
Angalia hii list..haki tungekuwa na oil reserve kubwa Samia ageshanyakuliwa mapema sana na US kwa mauaji yale makubwa.
Pote penye oil reserve kubwa US kapiga hacheki na kima
Leo asubuhi nimekutana na video mbili zinazosambaa sana mitandaoni ambazo kwa kweli zinahuzunisha na kusikitisha. Video hizo zinaonyesha vijana wawili wakipigwa vibaya kwenye miguu yao kwa kutumia mpini, hali inayoonekana kuwa ni mateso ya kikatili yasiyo na utu.
Kwa sasa, haijulikani tukio...
Kuwa advocate wa haki na kuwa na soft tone with the mass kua mkali na mapolisi na utendaji wao wa kazi usiozingatia PGO imemponza. Alionesha kuwa na mrengo wa kulia wa sympathy with people. Hiyo haitakiwi. Uwe katili!
Chawene ni kuwa na msimamo wa kuwadhibiti polisi na ukatili! Soft tone ya...
Simbachawene analeta usanii. Yuko pale kwa vile polisi ni makatili. unadhani ataweza kufanya reforms?
BILA pressure ya wananchi na external pressure hakuna kitu!
Time will tell!
Vyombo kadhaa vya habari barani Ulaya na Marekani vimeuandika raisi Samia vibaya sana kuhusu azma yake ya kung'ang'ania madaraka ambayo ilimpelekea kuamuru raia wake wauawe na vyombo vya usalama vya Tanzania.
Lakini gazeti la The Sun la nchini Uingereza toleo la tarehe 6 Disemba nalo...
Huyu ni descendant wa waarabu. Gene ya ukatili ipo, imejishihirisha sasa.. kilichofabnyika 29 ni version ya ukatili wa utumwa walivyokuwa wanawafunga minyororo shingoni, leo kwa vile kuna risasi katumia risasi
Nyerere alikosea kujifungamanisha na makatili!
Hapo vip!
Viongozi wa kiafrika wengi huwa wanajiona ni watu special sana na wanauwalali wa kuishi kuliko mwananchi yeyote,hii tabia inatafsiri jamii ambayo bado haijastarabika na ambayo bado haijajikamilishi kuishi kama mwanadamu halisi.
Kuna mzungu aliona yale mauwaji ya tarehe 29 Oktoba...
Nakumbuka nikiwa mdogo, nilikuwa nikiangali vitabu vya Vita vya Kagera nilikuwa namlaani sana Iddy Amini,nilijiapiza kwa Mungu alaniwe huyu mtu ingawa umri wangu ulikuwa mdogo sana,nilipokuwa nakuwa niliona inchi kama Zaire ya mabutu walivyomtendea Patriki Lumbumba
Leo nashuhudia inchi yangu...
Kila siku videos zinazotolewa kabatini zikionesha matendo ya kikatili ya askari polisi dhidi ya wananchi, napata wasiwasi kuwa haya maandamano yanayoratibiwa sio tu ya amani kama jinsi inavyoelezwa , lakini pia naiona vita ya kulipiza kisasi kati ya wananchi walioteswa,
Walionyanyasika ...
Naona mashehe wengi ambao ni mashehena wameamua kuugeuza uislam uchawa. Wanatetea ukatili na mauaji ya Oktoba 29 sijui ni kwa sababu ya dini au uchawa na udini. Mie sijui.
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera .E. Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili (MTAKUWWA II), kilichofanyika tarehe 11 Novemba, 2025 Jijini Dodoma.
kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Wizara...
Kuna maneno au uvumi umekuwa ukisambazwa sana kwamba kuna wanajeshi au askari wa Uganda waliingizwa kutoka nje ili kudhibiti waandamanaji kwa kuwaua na kuwafanyia ukatili mwingine. Huku ni kujidanganya, kujipumbaza na kujifariji kwa uongo. Kwa muda mrefu sana Watanzania wengi wamekuwa...
Ule ukatili uliyofanywa na police hadharani tena mchana wa jua kali umenipa tafakuri nzito sana.
Ule ukatili wao umesababisha hadi niwaze utimamu wa afya za akili za wahusika.
Ule ukatili wao umefanya niwaze utimamu wa akili wa aliyewatuma.
Ule ukatili wao umefanya niwaze majukumu ya msingi...
Mara zote nimekuwa nikiwashauri baadhi ya wanasiasa kwamba, watanzania wa miaka ya 90 sio hawa wa miaka ya 2000. Watanzania wa sasa wamekula 'matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya.' Mema wanayajua na mabaya wanayajua.
Hawa wa sasa sio watanzania wa kanga na chumvi. Wala sio wa kurubuniwa...
Yani suala la kusema tu hapo mbele msisukumane, anaona suluhisho ni police. Yaani Samia ana kiburi kikali sana kilichochanganyika na unafiki, akiongea utadhani mwema, yaani anahisi kuwa yeye ni mtu special sana, and nothing come close to her.
Si ajabu aliechoma picha yake haonekani.
Mungu nipe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.