Kesho yako ipo kwenye kuongeza ujuzi

Kesho yako ipo kwenye kuongeza ujuzi

kilio

Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
86
Reaction score
106
Learn with us, You can't get those skills from master degree or PHD. No one wait for you. Geospatial Tanzania tunaamini Ujuzi ni chanzo cha kujiamini. Kama una ndoto ya kufanyakazi katika mashirika ya uma au tasisis binafsi. Tunawakumbusha mashirika ya uma na taasis binafsi yapo kwenye transformations, yanaelekea kwenye mageuzi ya kiutendaji. Yanahamia kwenye mifumo ya kiteknolojia inaitwa Enterprise Resource Planning (ERP). Mifumo hiyo inatengeneza Centralized system. Idara zote zinaunganishwa pamoja. Shughuli zote zinazofanyika zinaweza kuwa tracked and traced.Inauwezo wakufatilia taarifa kutoka Idara moja na kuendelea. Mifumo hii inatabia ya kuzalisha data, inatengeneza uwezo wa tasis kutegemea data kufanya mipango yake, kutatua changamoto kwa kutumia data na kuendesha mashirika kwa kufanya maamuzi yanayotegemea data
 

Attachments

  • 673462423_1281378090774264_8115012658765473905_n.jpg
    673462423_1281378090774264_8115012658765473905_n.jpg
    175.7 KB · Views: 15
Back
Top Bottom