ujumbe

  1. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ujumbe Kwako Mwigulu, Usimjaribu Mungu Wala Usimkufuru

    Nimemsikia Mwigulu alipopewa nafasi ya kutoa salamu zake kwa waumini alipohudhuria ibada kwenye kanisa lake la KKKT. Kwenye ujumve wake, amewaomva waumini wamwombe Mungu aliletee amani Taifa. Hii ni kufuru kubwa mbele za Mungu. Kila siku watawala wapo busy kutengeneza mazingira ya kugukuza...
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali iruhusu maandamno ya D9 lakini yawe na viongozi, ujumbe na destination

    Ni wazi kwa sasa siyo rahisi kuzuia maandamano ya Gen Z kutokana na kwamba vijana wako tayari kufa. Radicalisation iliyofanyika through mitandao na matokeo ya Oktoba 29 yanaonyesha hawana cha kupoteza. Kwa ushauri wangu sioni ubaya Serikali wakawaruhusu waandamane kwa mujibu wa Katiba ya JMT na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Godbless Lema baada ya kupata dhamana

    Kaandika hivi kupitia mtandao wa X: "Kukata tamaa katika kuutafuta wema wa watu ni dhambi mbaya sana ktk maisha ya Binadamu. Kuutafuta wema na haki inapaswa kuwa kusudi la kila mmoja ktk maisha. Matatizo mengi duniani yanasababishwa na watu wema kukaa kimya wakati uovu unashamiri. Mateso kwa...
  4. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu Clemence Mwandambo ana ujumbe kwa vyombo vya serikali

    Huyu mzee ana vitu tunavitaka, yupo zake huko vijijini anawachapa CCM na serikali yake.
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania MCh. Carlos R.W.Kirimbai: Ujumbe kwa Taifa la Tanzania juu ya athari ya damu isiyo na hatia inayomwagwa na binadamu wengine katika nchi yetu

    Huu ni ujumbe wa Mungu muumba kwa Watanzania; Damu ya mtu ikimwagwa isivyo halali juu ya nchi (ardhi yenye mipaka rasmi na halali) nchi husika inanajisika. Nchi ikinajisika hamna sadaka wala kafara iwezayo kuondoa huo unajisi ila damu ya huyo aliyoimwaga vinginevyo nchi itabaki najisi...
  6. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu Mwandambo ana ujumbe kwa Jeshi letu la Wananchi

  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Angalia mwamba alichomfanyia rais wa Mexico, kijana ajaribu kumpiga busu rais hadharani

    ukio lisilotarajiwa limezua gumzo nchini Mexico baada ya video kusambaa ikimuonyesha mwanamume mmoja akijaribu kumbusu Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum, alipokuwa akitembea katikati ya umati jijini Mexico City. Sheinbaum, ambaye ni rais wa kwanza mwanamke katika historia ya taifa hilo, alikuwa...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ujumbe uliosomwa nje ya mahakama ya ICC leo Novemba 5, 2025

    Ujumbe uliosomwa nje ya mahakama ya ICC asubuhi ya leo juu ya kile kinachoendelea Tanzania, waandamanaji wanaitaka mahakama ya ICC kuchukuwa hatua kali juu ya Mauaji ya Tanzania.
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Mahsus kwa Watu Mahsus Kuhusu Watekaji, Watesaji na Wauaji 'Wasiojulikana' wa Watanzania!, Machozi, Jasho na Damu, Inakulilia!, Itoshe!, Iishe!

    Wanabodi Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa linakabiliwa na hili jinamizi la watu wasiojulikana, ambao wanateka Watanzania, wanatesa Watanzania, na wanaua Watanzania bila huruma. Kila tukio wanalofanya, wakifanya mchana mbele ya watu, wanakuja na silaha nzito na magari kama ya polisi, na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ujumbe muhimu sana kwa watanzania wote

    01 November 2025 SIKU YA 4 : MAANDAMANO UJUMBE MUHIMU SANA KWA WATANZANIA WOTE https://m.youtube.com/watch?v=P5euUGyx3LQ WaTanzania mwenzenu nina ujumbe muhimu. Kwanza nawapongeza GenZ na leo ni siku ya nne na mnafanya kazi takatifu. Mmeonesha kiu ya mabadiliko. Historia itawakumbuka kwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mdada ajilipua, amwaambia Polisi wamepoteza uhalali kwa waTanzania

    Ujumbe umekaa kizalendo sana: Naona Polisi mmepoteza uhalali wa kuwaelekeza waTanzania cha nini chakufanya bali mnatoatoa maelekezo hayo maelekezo mmepoteza uhalali kwa sababu msingi wa kuundwa kwa jeshi la polisi ilikuwa ni kulinda Raia na mali zake na si kulinda mafisadi, wezi wala...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ujumbe wa Lissu kutoka gerezani: Nimewekwa total isolation, wafungwa niliokuwa nao wamehamishwa, selo yangu imefungwa kamera za ulinzi

    Ujumbe wa Mwenyekiti Tundu Lissu (Sehemu ya Kwanza) “Ndugu zangu, Kwa wiki kadhaa sasa nimewekwa kwenye total isolation — upweke wa kulazimishwa. Wale wafungwa wenzangu waliokuwa nami kwenye selo moja, ambao walikuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo, wametolewa wote; nimeachwa peke yangu. Selo...
  13. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa manabii wawe na subira na wasimfundishe Mungu kazi

    Miezi ya hivi karibuni watumishi wengi sana wa Mungu walitoa unabii juu ya Tanzania wengi wao walisema utawala huu umefika tamati wengine walisema kwa mafumbo na wengine waziwazi Ghafla tunakaribia uchaguzi wako ambao wanaona samia anaenda kushinda kwa hiyo wanahaha na kuanza kutupia lawama...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Sheikh Nurdeen Kishki: Uislamu akubaliani na mauwaji kwa silaha yoyote hile kwa sababu zozote zile

    Habari wanajamvi poleni kwa majukumu. Huyu sheikh anachanganya dini na siasa au anaongelea uhalisia wa hali ilivyo nchini Tanganyika? Uislamu akubaliani na mauwaji kwa silaha yoyote hile kwa sababu zozote zile kwa kisingizio chochote kile, atakaye toa roho ya mtu mmoja itakula kwake siku ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kusambaa kwa picha na ujumbe wa kuhamasisha maandamano, vyombo vya dola havioni au wanaunga mkono kimya kimya?

    Kwa muda sasa, tumekuwa tukiona kwenye mitandao picha na ujumbe wa aina mbalimbali wa kuhamasisha maandamano na leo mpaka karibu kabisa na kituo kimoja cha Polisi kuna matangazo hayo ya kuhamasisha maandamano. Swali: Vyombo vya dola havioni haya matangazo au na wao wana jambo lao? Muda utasema.
  16. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya maeneo ya Iringa kumetapakaa matangazo ya kuhamasisha watu kuandamana Oktoba 29, 2025

    Katika baadhi ya maeneo Mkoa wa Iringa kumeonekana matangazo yalibadikwa yakieleza au kuhamasisha maandamano ambayo yatafanyika Oktoba 29, 2025 ambapo pia siku hiyo itakuwa ni siku ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu! Katika hayo mabango yameeleza kwanini watu waandamane? Moja ya sehemu ambapo...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa Vitali Maembe una ujumbe mkali sana

    Vitali Maembe, msanii kutoka Bagamoyo kwenye huu wimbo anasema ukiona watu wameweka majamvi, ujue wameshafiwa. Na aliyekufa hakufa kwa ugonjwa bali aliuawa. Anauliza iko wapi Tanzania tuliyokuwa tunajivunia?
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wazalendo waandaa mbao/mabango kwa ajili ya ujumbe kuelekea Oktoba 29

    This time naona vijana wanajizatiti kuelekea Oktoba 29 ambap maandalizi yanaendelea huku vijana baadhi wakitumia ofisi zao kutengeneza nyenzo zitakazosaidia wakati wa maandamano
  19. R

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU na Rushwa

    Rushwa ni adui wa maendeleo; Chagua mgombea asiyetoa rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa. SWALI KWENU HAYA YANAYOFANYWA NA CCM HAMYAONI. ACHA KUCHEZEA AKILI ZA WATU
  20. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Huu ujumbe kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA mmeupata?

    Leo mapema nimepokea hii message kutoka mamlaka ya Mawasiliano TCRA wakinihimiza nitumie mitandao ya kijamii vizuri je ni mimi peke yangu ana wengine pia mmeupata na kwanini wanafanya kwa nini mitandao ya simu inaruhusu huu ujinga?
Back
Top Bottom