ujumbe

  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Majaji Mbuzi wa Mahakama kuna ujumbe wenu hapa

    GT Hii taarifa iwafikie majaji mbuzi wote.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi: Nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Najaribu kutafuta ujumbe halisi wa michango ya wafanyabiashara kwa ajili ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu

    Kuombaomba huwa mchakato wenye kumuondolea heshima yule muombaji wa misaada. Nilikuwa namsikiliza Makamu wa Rais Dr Mpango akiongelea namna utu wa kiongozi wa nchi maskini unavyodhalilika katika meza ya mkutano kati ya mawaziri wa kutoka mataifa ya dunia ya tatu na wale wa mataifa ya Ulaya na...
  4. W

    JamiiForums Tanzania TCRA: Ukipokea Ujumbe wenye Chuki "Futa Delete Kabisa"

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia kampeni ya kitaifa ya Futa Delete Kabisa inaendelea kusisitiza endapo utapokea ujumbe wenye matusi, uongo au unaoeneza chuki na kuvunja amani katika jamii basi futa na delete kabisa ujumbe huo. Aidha, inasisitiza kujenga tabia ya kuhakiki taarifa...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania "Zanzibar Cup " Dkt. Conte: Tupeleke ujumbe mzito wa amani na udugu miongoni mwa watu!

    "Zanzibar Cup " Dkt. Conte: Tupeleke ujumbe mzito wa amani na udugu miongoni mwa watu! Ni vizuri Dk. Stefano, tuombe hilo, na je Unalo jambo lolote zaidi ambalo ungependa kuwaeleza wasikilizaji na wasomaji wa makala hii? Kwanza kabisa ninaomba niwashukuru wale waliofanikisha mradi wangu...
  6. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa vyombo vya habari: Kumekuwa na sukari nyingi kupita kiasi katika masuala ya jinsia

    Hivi karibuni, vyombo vya habari vimekuwa na nafasi kubwa katika kuunda mitazamo ya jamii kuhusu masuala ya jinsia. Hata hivyo, hali imekuwa ikielekea kwenye upotoshaji wenye ladha ya "sukari ya ziada" kwa upande mmoja, huku ikipuuza upande mwingine. Masimulizi haya mara nyingi huchangia...
  7. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Rais Samia asema 'Siwezi kuahirisha kuchukua fomu ya kugombea urais kwa sababu ya msiba wa Ndugai'

  8. hamis77

    JamiiForums Tanzania Ujumbe uliofichwa tangu mwanzo wa mwanadamu

    Habari ya Wokovu Iliyofichwa Kwenye Ukoo wa Mwanzo 5 Biblia si kitabu cha hadithi za zamani pekee ni kitabu cha mpango wa Mungu ulioandikwa kabla hata hatujazaliwa. Kila mstari, kila jina, kila kizazi, kimewekwa kwa makusudi. Na hapa, katika Mwanzo 5, tunakutana na moja ya siri za ajabu...
  9. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nikiripoti kutoka viwanja vya Nanenane Mbeya. Huu ni ujumbe wangu kwa mlioa?

    Uzi TAYARI. #YNWA #YANGA_BINGWA
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Huu ujumbe unaoonekana ni wa Rais Samia kwenda kwa mwanae Wanu

    Wakuu Naomba ufafanuzi hapa
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Wa Asubuhi: BE USELESS, SO NOBODY CAN USE YOU.

    USIWE OVER-ACTIVE KIHOLELA SANA KWA KWATU, USIWE TOO OPEN KIHOHEHAHE SANA KWA WATU MAANA WATA FYONZA NISHATI YAKO HUKU WAKIONGEZA YAO. MAHUSIANO YASIO NA AFYA. URAFIKI USIO NA MIPAKA CONNECTIONS ZISIZO ZA LAZIMA ++JASUSI COHEN++
  12. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mnaopenda ajira na mishahara, Mwamposa ana ujumbe wenu huku

    https://www.tiktok.com/@ariseandshinetanzania/video/7533525144904420664
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Jesica Magufuli unatuma ujumbe gani Chadema?

    Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana? Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo! Kitendo...
  14. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwako Kijana popote ulipo

    Kijana huu ni ujumbe kwako ukufikie na ukukute katika hali ya kuelewa na usipoelewa soma tena vema uelewe. Wewe kama mtoto wa kiume unazaliwa na cheti na hadhi ya uongozi. Ndio maana baba yako huwa anasheherekea kimya kimya kujua kapata kidume na mama yako moyo wake huyeyuka kwa faraja na...
  15. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Wakili Nassoro Katuga asema 'Samia ndio anayetoa maelekezo kwetu ili Tundu Lissu asiachiwe mpaka uchaguzi uishe'

  16. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Ujumbe wa Maria Sarungi mtandao wa X, asema John Heche anakiangamiza chama

  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Uzi wa ushauri, mapendekezo, maoni, ujumbe, changamoto, masuali, na duku duku kuhusu siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu.

    Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
  18. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Chuo cha NDC chahitimisha mafunzo ya muda wa wiki 47, ujumbe watolewa "Tumieni maarifa kuimarisha ulinzi na maendeleo"

    Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College - NDC) kimehitimisha rasmi mafunzo ya muda wa wiki 47 (kuanzia Septemba 2024 hadi Julai 2025), kwa viongozi waandamizi wa Jeshi, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na viongozi wa Serikali, kutoka Tanzania na mataifa mengine. Mafunzo hayo...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Wa Upendo Mkuu Kwa Rais Samia, Kama Mwanadamu Mwenzangu.

    Ushauri huu ni wa upendo mkuu. Na upendo ndiyo amri kuu tuliyopewa na Mungu wetu. Tena tunaulizwa, utawezaje kusema unampenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia ndugu yako? Ninaamini Rais Samia ni muumini wa Mungu, mtu anayeamini katika maisha baada ya kifo, hukumu ya Mungu, na ufufuo wa wao...
Back
Top Bottom