ujumbe

  1. JamiiForums Tanzania Sheba Igangu anataka Balozi Mkubwa aliwe kichwa kama yule mdogo, wanamlazimisha atume ujumbe kule kuwa aliwaingiza chaka!

    Sheba wa Igangu ni mpuuzi sana anapendekeza Balozi mkubwa aliwe kichwa kama mdogo alivyouwawa? Yuko Malawi wamamtia kufuli. Mapendekezo ni Mawili kuwa Afungwe au awe apigwe kufuli kwake! Cha Kushangaza hata mke wake ameshindwa kuonana naye ameoanana na mwakilishi Mmoja tu Wa ndugu. Account zake...
  2. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM hapa ndio sehemu ya kutuma Ujumbe kwa Samia siku ya kupigia kura hilo jina la Makamu wa Rais. Hana Cha kuwafanya kwasasa

    Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa. Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya. Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nchimbi kujiuzulu siasa ni ujumbe kwa CCM!

    Nchimbi hata mara moja hajazungumzia CCM na amesema anajiuzulu siasa maana yake ni kwamba kapiga dongo CCM kwa kiasi kikubwa. Sasa kama wewe bado upo CCM jiulize kusudi lako hasa ni lipi! Kwa serikali hii ya wanzanibari pekee na machawa
  4. JamiiForums Tanzania UMEELEWA NI K KUHUSU UJUMBE WA PICHA HII

    Ujumbe huu nimeukuta mtandao wa Twitter(x) mwandishi hajaongeza neno lolote zaidi ya picha Nakaribisha tafakari
  5. JamiiForums Tanzania Rais Museveni hii leo akutana na Ujumbe wa Abdul Hafidh mtoto wa Samia ikulu ya Entembe. Hivi huyu dogo ana cheo Gani serikalini?

    Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye ufahamu tafadhali maana nachanganyikiwa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake afika Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinavyoweza kunufaisha Tanzania na Uganda

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake akaribishwa Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinzvyoweza kunufaisha nchi hizi Mbili
  7. JamiiForums Tanzania UJUMBE WA ASUBUHI: kwa sababu tu unaendana nao/navyo haimaanishi ndio stahili yako au ndio panakufaa/wanakufaa

    Sawa ni marafiki zako ila sio lazima uende nao. Sawa ni ndugu zako ila sio lazima uungane nao.
  8. JamiiForums Tanzania Misemo na methali mbalimbali zenye nasaha na ujumbe mzito kutoka kwa watu jamii ya Kihindi

    Kuna misemo mingi maarufu ya Kihindi. Hapa kuna baadhi yake pamoja na maana zake: “Duniya gol hai” (दुनिया गोल है) 🌍 Maana: Dunia ni duara. Mara nyingi hutumiwa kumaanisha kuwa dunia ni ndogo; unaweza kukutana tena na mtu au jambo ulilodhani limepita. “Jo hoga, achha hoga” (जो होगा, अच्छा...
  9. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Heche

    Heche, kupambana kisiasa ni haki yako, na kukosoa mfumo ni sehemu ya demokrasia. Lakini siasa haipaswi kufika mahali ambapo furaha, maendeleo na maslahi ya Taifa yanafanywa kuwa mhanga. Kama kweli kuna kauli za kuzuia au kuhujumu mambo yenye maslahi mapana kwa Tanzania—ikiwemo michezo, Yanga...
  10. JamiiForums Tanzania Wahadhiri 100 kuchanga sh laki tano pekee kwa Mhadhiri wa UDOM anae shitakiwa kwa ugaidi. Je huu ndio ujumbe wanao upeleka kwa serikali ya Samia? 👇👇

    Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Heche kuna ujumbe wako hapa, acha kuropoka

    Najuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kumkosoa. Huyu dogo hapa amempaka za uso. My take: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.
  12. JamiiForums Tanzania Kuna Ujumbe Mzito Huku

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemjulia hali, Mama Fatma Karume,Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, ambaye anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Lumumba Zanzibar.
  13. JamiiForums Tanzania Hukumu ya kifo kwa Rais wa Syria inatuma ujumbe gani kwa wahusika wa October 29?

    #HABARI: Wakazi wa mji wa Idlib nchini Syria wamekusanyika kusherehekea baada ya mahakama kumhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al Assad. Mahakama moja nchini Syria imemhukumu kifo kwa kutokuwepo rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kwa makosa yanayohusiana na uhalifu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo: Hakuna uhaini wa mtu mmoja, labda kama ulimlenga risasi rais

    Tafakari kesi ya Lisu inavyoendelea......................................... Anyway kesi ikiwa mahakamani wanasema tusiijadili....
  15. JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Ujumbe ambao Hatari Mkapa aliwaambia CHADEMA

    My Take Chadema ni wapumbavu sijui wanahubiri ukombozi gani wakati Tanu ilishaleta ukombozi 😂😂👇👇 https://www.instagram.com/reel/DbsGl72oHQJ/?igsh=cXJvajNzaTVnZXd6
  16. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa machawa wote

  17. S

    JamiiForums Tanzania Leo nataka niwaeleweshe juu ya ishu ya "vacancy not budgeted" kwenye mchakato wa uhamisho wanaokutana huu ujumbe

    LEO NATAKA NIWAELEWESHE JUU YA ISHU YA "VACANCY NOT BUDGETED" kwenye mchakato wa uhamisho wanaokutana huu ujumbe
  18. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa John Heche kwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza (Mutafungwa)

    Bwana Mtafungwa unataka nije kuripoti nini kwako? Yaani nije kukupa ripoti ya jambo ambalo unalijua ili iweje? Hiyo gari yenye namba fake ambayo inatoka ofisi ya RCO unataka nije kukuambia nini? Kama jambo liko kwenye public unahitaji mimi kuja au wewe kufuatilia na taarifa zako za...
  19. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  20. JamiiForums Tanzania Mabinti Sayuni kuna ujumbe wenu hapa

    Hakyamungu, ndio maana huwa silali kwa watu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…