Huu ujumbe Mo Dewji anamlenga nani?

Huu ujumbe Mo Dewji anamlenga nani?

malemba

Senior Member
Joined
Dec 6, 2022
Posts
169
Reaction score
161
Bilionea, mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohamed Dewji, ameandika kupitia ukurasa wake wa Threads akisema historia imeonyesha kuwa hatari kubwa kwa taasisi haitokani na wakosoaji wa wazi, bali watu wanaoonekana waaminifu huku kwa siri wakipinga misingi ya taasisi hizo.

Screenshot_20260928_105315_Threads.jpg
 
Anaiongelea serekali,😛
Wanaona hatari Yao ni hawa wakosoaji wa wazi kama wanaharakati.
Wakati hatari Yao ni hao walio nao humo ndani wanajifanya waaminifu lakini kumbe kisirisiti wanawapinga

Embu jiulize wakina mange hawapo ndani ya system lakini mambo nyeti wanayapata wapi?
Hatari Yao wanaona ipo huku nje lakini kiuhalisia hatari Yao ipo huko ndani
 
Kama hadi kanjibai ameona hili basi yezebel anguko liko mlangoni.
 
Bilionea, mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohamed Dewji, ameandika kupitia ukurasa wake wa Threads akisema historia imeonyesha kuwa hatari kubwa kwa taasisi haitokani na wakosoaji wa wazi, bali watu wanaoonekana waaminifu huku kwa siri wakipinga misingi ya taasisi hizo.

He is aping Samia.
 
Back
Top Bottom