ujumbe

  1. K

    Maneno haya ya Kikwete kwa Rais Samia yana ujumbe mzito mno

    Katika hotuba yake kwenye mazishi ya JPM, Jakaya alisema: "Mimi na wenzangu tuko na wewe. Tutume tutaitika. Usipotutuma tutaendelea na mambo yetu"- JK My Take: wenzake kina nani? Mambo yao yepi?
  2. D

    Tarehe 17. Tarehe iliyondika historia za majonzi Tanzania. Je, imebeba ujumbe wa kiroho, au ni coincidence tu?

    TAREHE 17/03/2020 Tanzani ilitangaza rasmi kuvamiwa na janga la korona na taasisi zote za elimu kufungwa na hatua mbalimbali za tahadhari zikatolewa. TAREHE 17/02/2021 Kifo cha makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Hayati Maalim Seif Shariff Hamadi. (RIP) TAREHE 17/02/2021 Kifo cha Katibu mkuu...
  3. Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

    Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea Waafrika. Ameshauri Watanzania na Waafrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua. Amesema hayo akishangaa kwanini Mungu aliyepewa kipaumbele na JPM ameshindwa kumlinda na husda za wazungu mpaka wakafanikiwa kumuondoa.
  4. Ujumbe kwa Waziri Ndugulile: Vibao vya anuani za makazi sasa liwe zoezi la lazima

    Waziri Ndugulile najua umechukua hii Wizara hivi karibuni. Baada ya kusimamia suala la vifurushi vizuri; nashauri sasa ugeukie Vibao vya Anuani za Makazi ili tuwe na mfumo rasmi wa utambuzi wa Makazi na zoezi hili liwe la lazima na liwe na vibao vya udongo inavyofanana kote nchini ili tuwe na...
  5. Ujumbe katika siku hii ya wanawake duniani

    Mwanamke ni sehemu muhimu ya jamii, awe ni mama, dada, binti, rafiki wa kike, nk Siku ya Wanawake Duniani 2021 ina kampeni iliyo na kaulimbiu "SelectToChallenge". Siku ya Wanawake Duniani ni siku ya kimataifa kuadhimisha mafanikio ya wanawake kijamii, kiuchumi, kitamaduni na kisiasa. Hii ni...
  6. J

    TCRA wakomesha wizi wa kwenye mitandao tuma ujumbe kwenda namba 15040

    Endapo umetapeliwa au umetumiwa ujumbe wa utapeli, tuma ujumbe husika na namba ya aliyekutapeli au kukutumia ujumbe wa utapeli kwenda 15040. Huduma hii ni bure. Tushirikiane kutokomeza utapeli kupitia simu za mikononi. Sambaza ujumbe huu cc @TCRA_Tz @ConsumerCcc
  7. Kauli ya Waziri Mkuu imebeba ujumbe mzito si ya kubeza. Jaribu kufikiri kwa upana

    Waziri Mkuu ametilia shaka barakoa kutoka nje kuwa tujishonee wenyewe. Kuna watu wanabeza hii kauli, Kuna wanaodhihaki hata kutoa kauli chafu, kuna wanaotetea hii kauli kwasababu tu imetolewa na mwenzetu ktk serikali au chama. Kuna wanaoongea kwa hofu kwanini PM atoe kauli hii. Kuna wanaofikiri...
  8. Rais Museveni: Mungu ana kazi nyingi, hawezi kuwa tu hapa Uganda akiwaangalia wajinga

    Mseven adressing the nation ====== Rais Yoweri Museveni amewaonya wananchi wanaoenda kinyume na taratibu wakati huu wa vita dhidi ya #CoronaVirus akisema, Mungu ana kazi nyingi na hawezi kuwa Uganda tu akiwaangalia wajinga Ameongeza kuwa Mungu amewalinda na hakuna kifo...
  9. Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

    ==== TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la...
  10. Rais wa TEC atoa ujumbe wa Kwaresma, asisitiza Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

    Askofu Nyaisonga kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) asema wanatambua Dunia nzima inahangaika kupambana na maradhi ya #COVID19 yanayosabishwa na #VirusiVyaCorona Awahimiza Watanzania kutokuwa watumwa wa hofu na kuchukua tahadhari. Asema ni wajibu wa kila mtu kuufuata ukweli na...
  11. Mke wa Rais wa Marekani ameweka ujumbe wa Valentine kwenye bustani za White House

    Jill Biden ameweka alama za moyo na katika kila moyo ameandika ujumbe Healing, Courage, Love, Compassion, Gratitude, Peace, Amor, Strength, Kindness, Family, Unity. Love Jill
  12. J

    Spika Ndugai: Marehemu Nditiye alinitumia ujumbe wa kunishukuru kwa kumuinua wiki chache zilizopita!

    Akitoa salamu zake za rambirambi wakati wa kumuaga mwendazake Nditiye, Spika wa bunge mh Ndugai amesema marehemu alimtumia meseji kwa njia ya simu akisema " mh Spika nimefanya ibada mara mbili nikikuombea kwa Mungu aendelee kukuweka hai kwa jinsi ulivyoniinua tangu niingie bungeni " Spika...
  13. M

    Ujumbe kwa Mh. Job Ndugai: Ujasiriamali una principles zake

    Mh. Speaker, ningependa kufikisha ujumbe huu kwa ufupi sana. Nimeamua kuandika baada ya kukusikia kwa mara ya pili ukiongelea ugumu wa ajira kwa vijana. Sitaki kujikita sana kwa wajibu wa serikali duniani kote kutengeneza ajira na kuhakikisha sekta binafsi inakuwa kwa kasi ili kutoa fursa za...
  14. Vodacom sasa hii imezidi, tunaomba msitishe huu ujumbe wenu ambao unachukua zaidi ya sekunde kumi kuhusu uhakiki wa namba

    Wanajukwaa jumapili njema, Hivi hii kitu vodacoma wameleta wakati mtu unapiga simu kwenda voda mnaionaje? Wameshindwa kutuma ujumbe mmoja kwa kila mteja waache kutupigia kelele kila tunapotaka kupiga simu? Inafikia kiwango mpaka sasa mtu unaona tabu kupiga simu. Muda mwingine unapiga unaweka...
  15. Tanzania na Corona: Ujumbe wa Masoud Kipanya

  16. Madam Rais wa Ethiopia na ujumbe wake wamepiga barakoa

    Pamoja na kuaminishwa kuwa anakuja COVID free zone lakini Madam President alikumbuka kuvaa barakoa. Hata sanitizer bila shaka alibeba.
  17. D

    Kofi la mkunga kwa mama mjamzito limebeba ujumbe mzito; Wakunga wana mema mengi ya kusimulia

    Hata mimi hapo zamani nilikuwa nawasema vibaya sana wakunga! Ikanibidi nifanye utafiti; je lawama zile kwa wakunga zinawastahili!? Katika chunguza chunguza niliweza kufika kwenye hospitali moja kama mme wa mzazi mmoja aliyekuwa leba kusubili kujifungua! Nilifanikiwa kuwa karibu sana na...
  18. Tabia ya vodacom kichukua hela ya muda wa maongezi bila idhini ya mteja na kituma ujumbe "samahani umefanikiwa kununua tiketi lakini hukiweza kishinda

    Kama umewahi kukumbwa na kitu kama hiki karibu tushauriane nn tatizo la huu mtandao au ndo namna ya kujiongezea kipato chao
  19. Baba Mwenye Nyumba ana ujumbe gani kwangu?

    Nilikuwa Nacheck game ya Simba kwa baba mwenye Nyumba ambaye ni shabiki wa Utopolo FC. Nimeshindwa kushangilia maana baada ya goli nimeonekana na uso wa tabasamu, Mara nikamwona kasimama kaingia chumbani na kurudi na karatasi na kalamu Sijui alikuwa anataka kubeti lakini anasema ana ujumbe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…