Nawafikishieni Ujumbe Mnaoendesha IST na Vitz

Mungu akitaka kukushusha anakupa kiburi, dharau, majivuno na mengine kama hayo.

KWELI, leo hii kuna mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuponda ist zinazomilikiwa na watanzania wenzake?

Labda sio mtanzania anayefahamu hustles halisi za watanzania ambao wengi wetu tunapambania milo mitatu kwa siku.

Wamiliki wa gari mitumba mmeanza kuzodoana? Ngozi nyeusi imelaaniwa.

Anyway sisi wa ist tuendelee kumpa 'Mungu utukufu wake kwa kutuheshimisha na ist zetu'. Amen.
 
Kumuelewa huyo Mwanasiasa ni ngumu, yeye kaamanisha ukipata hicho Ki Ist chako unaona maisha umeyapatia mengine hayakuhusu, Mbowe kuitwa gaidi wew haikuhusu, CCM kuongeza tozo wewe haikuhusu, kumbakia watu kesi wew haikuhusu, unajiona wewe ni tajiri tayari, kumbe ni maskini mwenye nafuu tu.
 
Juzi kuna bodaboda nimegusa, we alitoa maneno, kigari chenyewe cha mkopo, IST nayo gari? Gari gani hii, mimi hata bure sichukui" nikashuka nikamtazama bodaboda mwenyewe anaedharua IST nikaishia kucheka tu.
Hakuna gari nakuwa very comfortable niwapo kwenye mishe zangu kama 'ist'

Nikiona ist ya mtu imechoka ama imeumizwa najawa na huruma sana, maana ist naipenda sana.

Imeniheshimisha na kunisitiri kila leo.

Mungu apewe utukufu wake. Amen.
 
Kumuelewa huyo Mwanasiasa ni ngumu, yeye kaamanisha ukipata hicho Ki Ist chako unaona maisha umeyapatia mengine hayakuhusu, Mbowe kuitwa gaidi wew haikuhusu, CCM kuongeza tozo wewe haikuhusu, kumbakia watu kesi wew haikuhusu, unajiona wewe ni tajiri tayari, kumbe ni maskini mwenye nafuu tu.
Aaaahhhhh nimemuelewa. Ina maana RRONDO umekuwa utopolo kiasi hiki?

Kumbafu zako sana. Enewei hapa ni chitchat.
 
Mungu akitaka kukushusha anakupa kiburi, dharau, majivuno na mengine kama hayo.

KWELI, leo hii kuna mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuponda ist zinazomilikiwa na watanzania wenzake?

Labda sio mtanzania anayefahamu hustles halisi za watanzania ambao wengi wetu tunapambania milo mitatu kwa siku.

Wamiliki wa gari mitumba mmeanza kuzodoana? Ngozi nyeusi imelaaniwa.

Anyway sisi wa ist tuendelee kumpa 'Mungu utukufu wake kwa kutuheshimisha na ist zetu'. Amen.
Mkuu weekend Leo tufurahi tu
 
Juzi kuna bodaboda nimegusa, we alitoa maneno, kigari chenyewe cha mkopo, IST nayo gari? Gari gani hii, mimi hata bure sichukui" nikashuka nikamtazama bodaboda mwenyewe anaedharua IST nikaishia kucheka tu.
Kuna bodaboda ashanitukana hivyo hivyo...gari yako yenyewe (gx100) haifikii bei ya bodaboda yangu! Nikacheka Sana Hadi akanishangaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom