Duh.......tatizo mnatujuza tukiwa tushaharibu. Mbona hamkutuambia tulipokuwa wadogo?
"Usinywe maji tu,kunywa na mvinyo kidogo kwa afya ya tumbo lako"......anayejua ni Thimotheo ngapi anikumbushe jamani.
Vipi kuhusu wale watu ambao hawajawahi kunywa pombe maisha yao yote na mpaka sasa ni maskini?
"Usinywe maji tu,kunywa na mvinyo kidogo kwa afya ya tumbo lako"......anayejua ni Thimotheo ngapi anikumbushe jamani.