ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni woga, ujinga au kurogwa?, Watanzania mbona mpo kimya kwa haya yanayowatokea CHADEMA?

    1. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alikamatwa na kutupwa mahabusu mpaka leo, Watanzania kimya. 2. CHADEMA kimefutiwa Ruzuku yake, Watanzania kimya. 3. Viongozi wa CHADEMA wamevuliwa uongozi wao, Watanzania kimya. 4. CHADEMA kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa, Watanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwa kwenye daladala na kuongea na simu kwa sauti ya juu ni UJINGA

    Kuna watu hawana soni kabisa unawezaje kuwa kwenye daladala ya umma halafu ukipigiwa simu unaongea kwa sauti ya juu sijajua lengo la watu wa aina hii kwamba wote tukusikie au ni kutafuta approval kwamba wewe ni nani. Utapeli tu
  3. JamiiForums Tanzania Ujinga umezidi sana mjini,

    Wana hoja
  4. JamiiForums Tanzania Hiki anachokifanya Mbowe ni ujuzi au ujinga?

    Tangu kushindwa katka uchaguzi wa ndani wa Chadema katka nafasi ya uenyekiti kwa mwenyekiti wa mda mrefu Freeman Aikael Mbowe na mwenyekiti wa sasa Tundu Antiphas Lissu ni kuwa jamaa alikipotezea moja kwa moja chama hiko. Japo kikatiba alibaki kua mwanachama na mjumbe wa Baraza kuu la CHADEMA...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yanga acheni kuiga ujinga wa Simba kusifia usajili Mpya

    Miaka mingi Yanga imekuwa ikisajili kimyakimya bila promo za majigambo na kutishia timu nyingine ila matokeo yake yalionekana uwanjani ambapo wachezaji wapya walikiwasha hasa, mfano Mayele, Aziz Kii na Pacome katika usajili wao hapakuwa na promo hata kidogo. Tofauti na wenzao wa Simba ambapo...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu anajiita 45 ukifatilia kwa makini hata 45 yenyewe hajui ni nini

    Unakuta MTU anajiita 45 , ukifatilia huyu Ana anachojua anajua hata 45 yenyewe au ni nini au nikufatilia trending za kishamba. Badala ya kufuatilia mambo ya msingi ya kuwainua kiuchumi wao wanafatilia cheap issues.
  7. C

    JamiiForums Tanzania SIKU UTAKAYOPATA AKILI NDIO SIKU UTAKAYOCHUKIWA NA WATU WOTE WANAONUFAIKA NA UJINGA WAKO

    Habari wakuu kuna hii kauli nilikuwa nimepita sehemu nikaisikia Hii kauli ina ujumbe mzito sana na ni ya kipekee kwa watu waliowahi kupitia hali ya kutumiwa au kudharauliwa kutokana na kutokujitambua. Inaweza kutafsiriwa hivi: "Siku utakayopata akili" – yaani, siku utakapoamka, kujua thamani...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinachoiponza Kenya ni kuachia vyombo vya habari kuhubiri siasa kwa 95%

    Hilo ndilo kosa kubwa linalofanywa na uongozi wa Kenya siasa kwenye vyombo vyao vya habari ni Kwa 95%,vipindi vya kimaendeleo Kwa Kenya vinapatiwa 5% only,Tujifunze Kwa majirani, hakika mungu anaipenda sana tanzania yetu. #Anatuletea mifano kwenye malongo yetu. #Vyombo vya habari vinanguvu...
  9. JamiiForums Tanzania Kuuliza Si Ujinga

    Habari za jioni wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba kuuliza kuhusu swala hili. Juzi nilisafiri kutoka Dodoma kwenda kibondo, kuna kitu nilinotice kuanzia Tabora, nyakanazi, hadi kibondo kwenyewe. Kuna baadhi ya nyumba juu kwenye paa la bati, kwenye migongo wameweka zile nyaya...
  10. JamiiForums Tanzania Look at this: Huu ni Ujinga Hama ni Nini?

    "Habari Dada samahani naomba unipostie najuta sana dada ako katoto nilizaa na mchina aliyekuwa kwenye mradi wa ujenzi wa barabara. Mradi ulipoisha akahamia sehemu nyingine, baada ya kujifungua alikuwa ananihudumia vizuri sana na alisema watakapomaliza mradi tutaondoka wote. Sasa ni miezi...
  11. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mpya TRC- Anza na kuondoa ujinga wa Stesheni ya Dodoma kujaza watu kama wanyama sehemu ya kupandia abiria

    Nakumbuka Mkuu wa mkoa na waziri Mchengerwa alishawahi kulalamika uzembe wa kupangilia abiria sehemu ya kusubiri kuingia kwenye treni ya SGR Inaonekana meneja wa SGR dodoma ana kiburi au uwezo mdogo Treni imeshakaa.mkao wa.kuondoka, bado abiria wanazuiwa kuingia mpaka zinabaki dk 10 ndio...
  12. JamiiForums Tanzania Nimetoswa hadi na Marry! Nina msongo wa mawazo jamani mkiona nacomment ujinga kwenye nyuzi zenu nisameheni tu ni POMBE.

    Ninamzigo wa mawazo ambao haupimiki kama mnavoniona. Mimi na pombe pombe na mimi. Nimekuwa mtu wa kudance popote ninapokuta sebene. Suti zangu hazinipendezi tena kama zamani Nikiona watu na wapenzi wao roho inaniuma hata kama hayanihusu. Hali yangu imefikia huku sasa. Nisiwasumbue...
  13. JamiiForums Tanzania Ujinga wa Kura: Jinsi Mfumo Unavyowalaghai Wananchi kwa Lugha Tamu za Kisiasa

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, hususan katika mataifa yanayoendelea, mwananchi wa kawaida amewekwa kwenye mzunguko wa ujinga wa kimfumo, ujinga ambao hauhusiani na kutokujua kusoma na kuandika, bali ni ujinga uliopandikizwa kwa makusudi na mfumo wa kisiasa unaonufaika na kutojitambua kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kukubali kuliwa na Panya ndio ujinga

    "Usijiite mjinga hadi pale panya atakapokushinda akili na kukula ukiwa hai. Kufikia hatua hiyo, hautakua na haja ya kuuliza "wewe ni mjinga au sio". 😂😂"— Alloyce, P.R.
  15. JamiiForums Tanzania Nawashangaa wanaomshabikia Mange Kimambi ilihali wanajua 'No reforms, No election haitafanikiwa'

    Kwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu ..huu ni ujinga. Pili. Chadema wanaamini Mange Kimambi ndiye anaye wasukumia agenda zao hii ni anguko...
  16. JamiiForums Tanzania Moja ya sababu za Foreigners kulisha Hoteli za kitalii Matunda na Mboga mboga ni kwa sababu ya ujinga wa sisi Watanzania hakuna sababu nyingine.

    Wanao faidika na wingi wa Hoteli za kitalii au Camps hapa Tanzania au wingi wa watalii ni foregners, na sio sisi Watanzania. Sababu iko wazi. Kule Iringa kuna yule Mafisio, yule Mzungu anailisha Zanzibar yote, analisha Dar hotels na Super Market zote, anailisha Arusha hoteli zote na Super...
  17. A

    JamiiForums Tanzania UJINGA TU HUU: Yaani wanawake wamebarikiwa vitu vingi sana vizuri, Lakini MWANAUME akaacha vyoote akaamua kupenda makalio yao tu

    Hivi kweli hii inaingia akilini, Jinsi wanawake walivyo warembo, wanavutia, ni Raha kuwa nao karibu.. Lakini licha ya wanawake kuwa warembo na wanaovutia sana, imekuaje sisi wanaume tukaamua kupenda MATAKO Yao tu.. (yaani Just MATAKO) Hatuoni vitu vingine vya maana tunaona MATAKO YAO Kama kitu...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiwasikiliza Kina Maulid Kitenge kwenye hii Morning Show ya Wasafi Utaelewa kwanini wananchi wana hulka ya Mazombie

    Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa? Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wakristo hawakuitwa "simba" kuwakilisha ushujaa wao wakaitwa "kondo" kuwakilisha ujinga wao?

    Jitu zima linaitwa kondo na linachungwa bado halistuki kuwa ni tusi kwake!! Kwanini usiitwe simba kuonesha ushujaa uitwe kondoo mtoka makamasi??
  20. JamiiForums Tanzania Uoga Wetu Ni Mnyororo Wao: Hatufiki Popote Kama Tutaendelea Kuchekewa Ujinga Kwa Vigezo vya Amani Bandia

    Taweke unafiki pembeni. Watanzania wengi tumejengewa nidhamu ya uoga, na huu uoga ni kama sumu taratibu inayotumaliza roho na akili kila siku. Ni uoga ambao unatuvua utu wetu, unatufanya tusione hatari hata pale ambapo tunaumizwa hadharani. Ni uoga ambao unawapa nguvu watawala na watesi wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…