ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANESCO, huku kukata ovyo umeme kutaisha lini?

    Hivi kweli hata huyo Samia karuhusu huo ujinga wa Tanesco kukatakata umeme hovyo namna hii? Haya, wamekata tena na hakukuwa na taarifa yeyote masikini wa Mungu! Kumbuka tokea juzi walikata asubuhi na wakarejesha jana jioni ajabu wamekata tena muda huu. Pumbavu kabisa!
  2. Ujinga niliowahi kuufanya kulilia penzi la mchepuko

    Habari wanabodi ni matumaini yangu mu wazima Kama ada wana MMU, vipo visa vingi tunafanyiana wanandoa hasa mtu kuumizwa na mapenzi na mtu mwingine ilhali mtu una mke/mume. Iko hivi Kuna kipindi niliwahi kuteseka Sana na mchepuko Tena naamini hakunipenda ila alipenda pochi yangu tu. Basi kuna...
  3. Cult following au tatizo la afya ya akili: Jinsi Biashara wanavyoshambuliwa na mashabiki wa Simba na Yanga

    Inashangaza kwa kweli. Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu. Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga. Kama ni msanii, wanataka awe msanii wao tu Alikiba, Harmonize, au Diamond Kama ni siasa wanaamini mtu wao yeye ni malaika...
  4. C

    Angalia ujinga wa Priva wa Sports Xtra ya Clouds FM

    Jamaa ana ujuaji fulani wa kibwege sana hata kakiongea anang'ata ulimi na kurembaremba accent sijui ili a sound kama wazungu, unatuabisha wachaga wewe, sijasahau uliposababisha beef kubwa kati ya Magori na Efm baada ya Magori kuchanganya madesa na kudhani sport Hq ndiyo waliyotangaza habari...
  5. Afrika ni bara la ujinga na limekosa dira

    Mimi ni mwana wa Afrika, pia ni mwana wa Afrika Mashariki, nalia na bara langu, nalilia Afrika, machozi yangu bila kuficha hayaendi endi bure, wewe Afrika kwanini uko nyuma kitechnologia. Wewe Afrika kwanini had leo bado unapokea misaada, wewe Afrika lini utasimama kwa miguu yako, utapiga hatua...
  6. Edo Kumwembe: Unyonge ni ujinga sio sifa

    Mchambuzi wa michezo wa kituo cha Wasafi Fm, Edo Kumwembe amejikuta akimjibu Mtangazaji mwenzake Zembwela kuwa Unyonge ni ujinga na sio sifa! Hiyo ni baada ya Zembwela kupost picha ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, hayati JPM kuwa "Wanyonge tutakukumbuka" ndipo Edi alipomjibu "Unyonge sio sifa...
  7. T

    Mbegu aliyotupa baba haileti Mavuno

    Hakuna Mkulima yoyote Duniani anayepanda mbegu fulani na kutegemea aje kuvuna Mabua, hivyo ndivyo ilivyo hata katika Maisha yetu ya leo, Mfano mzuri ni wale wote wanaoshiriki katika Uandikaji wa hizi stori za Mabadiliko, wanapanda Mawazo na Fikra mbalimbali zinazowazunguka katika Maisha yao...
  8. Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  9. Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

    Unakuta kijana anamiliki Iphone ya macho 3 wakati hata kiwanja hana mjini hii ni aibu nyingine na janga la hatari sana. Unakuta wengine ni mtu nzima kabisa anamiliki Iphone ya macho 3 halafu analala kwa shemeji yake na kula mikate na watoto asubuhi wakati wanapata kifungua kinywa ili...
  10. SoC01 Tuorodheshe ushirikina kwenye ile vita ya Maadui Watatu...yaani sasa iwe Vita dhidi ya Maadui Ujinga, Umasikini, Maradhi na Ushirikina

    Niliwahi kuja na andiko humu nikionesha huzuni yangu juu ya Kiongozi mmoja wa juu tena mwenye hadhi ya Udaktari aliyekuwa anaithibitishia Jamii kwamba kuna Mama kutoka eneo moja la nchi aliyekuwa na uwezo wa kushambulia Maadui zake akiwatumia Nyuki kwa njia ya nguvu za giza. Kama haitoshi...
  11. Movie ya soz ujinga mtupu

    Habari wanajamvi, nimewaletea mada hii kuhusu baadhi ya movie za ulaya na asia. Kuna hii movie inaitwa soz, nijikite wakati wale wapelelezi wawili wanamfatilia profesa. Walibain kuna mtu anamwinda professa pia wakaamua wamkamate ila cha ajabu wakati mpelelezi mmoja anapigana na huyu jamaa...
  12. D

    Ujinga wa Hamza usizalishe ujinga wa medani; yaliyotokea yasitufanye tukose weledi. Polisi imepoteza wapiganaji, familia ya Hamza imepoteza mtoto

    Shida ya yote haya ni HAKI NA WAJIBU! Tukilichambua tukio la mauaji ya HAMZA Linatupa taswira ya HAKI NA WAJIBU! Hamza alikuwa ni mtu nzima mwenye familia yake( Huenda alikuwa level ya kutegemewa na si mtoto) Kila mtu ana HAKI Hamza kama kuna jambo lolote baya Aliona linamnyima HAKI yake...
  13. Kitendo cha kumpa Mbowe privilege kuwa hastahili kushtakiwa kwa ugaidi si sawa kisheria na ni kinyume na dhana ya "Equality before the law"

    Kwa elimu yetu ndogo ya uraia tulisomasoma kidogo kuhusu Equality Before the Law (The principle which requires a systematic rule of law that observes due process to provide equal justice, and requires equal protection ensuring that no individual nor group of individuals be privileged over others...
  14. Kama Kanisa Katoliki hawatakemea huu Ujinga nitashangaa sana

    Polisi wa Tanzania wanaendeleza dhihaka kwa Kanisa kubwa kabisa nchini na duniani RC kwa kuvamia kila mara kwenye ibada zake na kukamata waumini tena ibadani. Cha kushangaza haya hayatokei SDA wala Lutheran wala kwenye haya makanisa kama ya akina Gwajima. Hii ni dharau na dhihaka kubwa sana...
  15. Ni ujinga na ukosefu wa maarifa unawasumbua waafrika na watanzania kuhusu chanjo ya COVID-19

    NI UJINGA TU NA UKOSEFU WA MAARIFA NDIO UNAWASUMBUA WAAFRIKA NA WATANZANIA KUHUSU CHANJO YA COVID 19 Na: Shujaa Ujue kinachofanya Africa kuwa bara maskini tofauti na mengine ya wazungu na Tanzania kuwa miongoni mwa Nchi maskini duniani pamoja na utajiri na rasilimali nyingi walizo nazo Sio...
  16. Kama moja ya 'Literature' ya Uchumi inasema Masikini na Wajinga ni Muhimu katika 'Economy Stimulation', kwanini tunaupinga Ujinga na Umasikini?

    Katika hili lililo mezani ( nililolileta ) leo GENTAMYCINE nitakuwa Msomaji zaidi wa 'Comments' pamoja na 'Intellectual Arguments' zenu ili nami pia Kichwa changu na Ubongo wangu uimarike kwa uelewa wa Mambo makubwa, mazito na muhimu kama haya. Nataka hasa 'Critical Anaysis' zenu hapa.
  17. Kama hiki kikosi unakijua, wahi chanjo ya Corona

    Kama hii timu unaijua yote basi ushakuwa mtu mzima sana na hivyo nguvu za mwili za kupambana na corona zimepungua Nitakushangaa ukiendelea kudanganywa na vitoto vya mwaka 2000 hebu kimbia wahi chanjo acha ujinga. Mzungu angekuwa na nia mbaya na wewe basi angekuulia kwenye njia nyingine kama...
  18. Kupitia mafunzo ya JKT ni lazima ili kugombea Urais?

    Ninatarajia kugombea urais JMT,wakati ukifika. Je, ni lazima niwe nimepitia mafunzo ya JKT? Ninaomba kuwasilisha.
  19. Lini tutafika kama Taifa?

    Mwaka 1961, taifa letu pendwa la Tanganyika lilipata uhuru kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza na kuamua kuanza safari yake ya kujitegemea katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii na hata kisiasa. Ilipofika mwaka 1964 Taifa liliamua kuungana na taifa lingine lililokuwa huru la Zanzibar na kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…