ujenzi

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Jafari atangaza ujenzi wa barabara na Hospitali mpya Busanda

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Busanda kupitia chama cha CCM, DKT. Jafari Seif, amezindua rasmi kampeni zake akitangaza ajenda kuu ya kuimarisha miundombinu ya barabara na huduma za afya. Katika hotuba yake ya uzinduzi, DKT. Jafari ameeleza mpango wa kujenga barabara mpya itakayounganisha majimbo...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kuna cha kujifunza hapa mafundi ujenzi

    Mafundi ujenzi wanahitaji kuwa na ujuzi wa vitendo, maarifa ya kina na mbinu za ubunifu za kufanya kazi. Hii ni kwa sababu taaluma yao inahusiana moja kwa moja na usalama wa majengo, madaraja na mifumo mikubwa ya jamii. Elimu ya darasani pekee haitoshi; mafundi wanapaswa kujua kutumia vifaa...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bilioni 51 kutumika ujenzi wa barabara, masoko na stendi Arusha

    Mradi wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya Shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa Jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na stendi. Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Arusha...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC afika eneo la Mtemi Beda, asema ujenzi wa Barabara na Daraja ulikwama sababu ya mvua, Mkandarasi amerejea ‘site’

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia eneo la Mtemi Beda, Wilaya ya Mpanda akieleza limekuwa kero kero ya muda mrefu kutokana na changamoto ya ubovu wa Barabara ya Mtaa wa Misukumilo kwenda Kitongoji cha Milala Shongo Kijiji cha Milala, ufafanuzi umetolewa sababu ya kukwama kwa mradi huo...
  5. greater than

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi kuhusu ujenzi niliyoyaona Dodoma

    Karibuni tena katika makala yetu yenye kuangazia kuhusu masuala ya Ujenzi. Nipo kikazi katika mkoa wa Dodoma, leo nitapenda niangazie mambo kadhaa ya Ujenzi niliyo yaona Dodoma. 1. UPATIKANAJI WA MATILIO ZA VIWANDANI Kuna ugumu wa upatikanaji wa matilio ukilinganisha na Mwanza,Arusha au Dar...
  6. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Kuna fundi ananiambia nimpe msingi 1.5m na ukuta 2.5m katika ujenzi wa fensi wa eneo la 27.5m x 31.5m, je ananipiga?

    Karibuni wakuu kwa mawazo yenu Msingi ni wa mawe. Ukuta ni 6ft Hapo ni bila kuchapia cement baada ya ujenzi (cement skimming) Hio 1.5m ya msingi ni kuchimba msingi na labour charges zake DeepPond RRONDO na wengine karibuni
  7. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ujenzi na ubomoaji wa hoja: Janga kubwa kwa viongozi wetu

    Naanza kumaizi kuwa upo umuhimu wa jamii yetu kujifunza maarifa ya ujenzi wa hoja ili kupunguza mitindinganyo ya hoja inayoendelea jambo linalowapa nafasi wachache wanaojua kujenga na kubomoa hoja hata kama wakisimamia hoja dhaifu. Nimefuatilia majibizano mengi ya hoja na nilichoweza kubaini ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli, Abdallah Ulega hastahili kuwa Waziri wa Ujenzi

    Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania fundi wa ujenzi maeneo ya kibaha tuchekiane nbox..na wa tiles8

    All d best
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye kupendeza, uzuri na mpangilio wa Ujenzi mzuri zaidi Duniani

    Nchi Zinazojulikana kwa Uzuri na mpangilio mzuri wa Muundo na Mazingira 1. Italy Inajulikana kwa mafanikio ya kipekee ya usanifu kama miundo ya Kirumi, Renaissance, Baroque, na Neoclassical. Mijini kama Rome, Florence, Venice ina majengo ya kihistoria kama Duomo ya Florence, Colosseum, na...
  11. Chibike

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa ujenzi na ramani msaada tutani

    Wataalam, Jengo ambo liko kwenye kiwanja chenye ukubwa wa skweamita 145 unaweza ku modify kwa kuweka frame ngapi zikatosha? Kwa ukubwa size medium Yan vyumba visiwe vikubwa sana Wala vidogo sana..
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA

    KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA ☑️ Waziri Mavunde aweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kusindika na Kuyeyusha Nikeli na Shaba - Dodoma ☑️ Ni maelekezo ya Mhe. Rais Samia kuyaongezea thamani madini ndani ya nchi. ☑️ Mradi kuchakata takribani tani...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Serikali kutenga Tsh. 450 Bilioni kwa ujenzi wa Arena ya Wasanii Kawe, Dar es Salaam

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa fedha za kujenga Arena ya kisasa kwa ajili ya kuwawezesha wasanii kupata maeneo rasmi na mahususi kwa ajili ya matukio yao ya kisanii tayari zimekwisha patikana. Akizungumza...
  14. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Fundi ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ujenzi huu unafaa?

    Wasaslam. Nahitaji kujenga nyumba ya kawaida ambayo itakuwa na concrete roof. Je inafaa na Kama inafaa vipi gharama zake? Kupaua kutumia concrete slab au mabati ipi ni nafuu. Karibuni wadau
  16. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora

    Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora: 1. Drill Machine (Choropoa) – Kwa kuchimba kuta, mbao, nondo n.k. 2. Angle Grinder (Grinda) – Kukata chuma, bati, tiles, mawe n.k. 3. Cutting Machine (Circular Saw) –...
  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Katika kampeni za mwaka huu kwa wagombea wa urais wataje utajiri wao ili tunaposikia kuwa wametoa hela za ujenzi wa miradi tusishangae

    Huu ni wito tu ili tusije kuparurana huko mbele, habari za Samia kajenga nyumba za Walimu, Samia katoa pesa za ujenzi wa barabara zinapaswa kuwa wazi kulingana na vipato vyao. Ni hayo tu
  18. Hharyson

    JamiiForums Tanzania 85M-90M(BOMA) GOROFA SIMPLE SANA YENYE 3BEDROOMS ONLY FIT ON 15X20M PLOT TUNAHUSIKA NA UJENZI + RAMANI +255624004650

    HII GOROFA SIMPLE SANA INA; G.F SEBULE KUBWA, DINING ,OPEN KITCHEN WITH STORE,LAUNDRY AND POWDER ROOM F.F MASTER BEDROOM KUBWA ,1SELF BEDROOM FAMILY ROOM TERRACE HAVE ALSO 1SELF BEDROOM ESTIMATED COST BILA FINISHING 85-90M TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwezi Gani mzuri Kwa ujenzi Kibaha

    Nilikua nauliza mwezi Gani mzuri Kwa ujenzi kibaha ambapo Hali ya hewa huwa imetulia naombeni wenye uzoefu mnijuze
  20. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Angalia kwa makini sana namna tumehusika kuanzia design mpaka ujenzi, Airbnb hizi Moshi, 2Bedroom kila unit tupigie 0624004650

    HIZI NI AIRBNB APPARTMENTS, CONTAIN 2UNITS EACH UNIT HAVE , GROUND FLOOR INA SEBULE,OPEN KITCHEN DINING NA PUBLIC TOILET JUU INA 2BEDROOMS ALL WITH SPECIOUS BATHROOM ,AND BALCONY. MPAKA HAPO MATERIAL + LABOR COST 175M
Back
Top Bottom