A balcony is a platform projecting from the wall of a building, typically above the ground floor, enclosed by a railing or balustrade. Balconies provide outdoor space for occupants and enhancethe aesthetics of the building.
Types of Balconies:
1. Cantilever Balcony:
Supported only at one end...
Kama unahitaji msimamizi wa miradi au nyumba inajegwa kwa mkoa wa dar es salaam nafanya kwa bei ya 300,000 Tsh kwa mwezi, elimu yangu ni fundi mitambo ngazi ya stashahada, mawasiliano - 0756704145, dar es salaam, Mbezi.
Tunaye hapa Msimamizi wa miradi ya Ujenzi (Majengo na Barabara) Fundi Sanifu Mwenye uzoefu wa siku nyingi. Kwa Mwenye miradi huku Mwanza hasa UKEREWE tuwasiliane mwanzahuduma7@gmail.com
Tips za ujenzi
Leo nawapa hii kuhusu kuezeka nyumba za contemporary
1.Bati zivaane migongo 3 ( kwa upana)
2. Overlap bati na bati kwa urefu isipungue cm 30
3.Weka treatment nzuri ya waterproof kati ya bati na ukuta
4.Gata ya zege ya kukusanyia maji iwe treated na waterproof na iwe pana...
Kituo cha Michezo cha TFF Mnyanjani, Tanga: Kituo Kikuu cha Kukuza Vipaji vya Vijana
Serikali kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewekeza kiasi cha shilingi 4,513,000,000.00 katika ujenzi wa kituo cha kisasa cha michezo kinachojengwa eneo la Mnyanjani, Jiji la...
Mbinu mojawapo kubwa ya kupunguza ghalama za ujenzi wakubwa Heshima kwenu
leo nakusogezea hii huwa haisemwi
Mbinu kubwa ya kupunguza gharama ya ujenzi: Tumia Interlocking Stabilized Soil Blocks (ISSBs) badala ya matofali ya kawaida au mawe ya saruji.
✅ Faida za ISSBs:
Hakuna haja ya kutumia...
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeanza rasmi ujenzi wa daraja jipya la kisasa katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kudumu wa kuondoa changamoto ya mafuriko ya mara kwa mara yanayoathiri jiji hilo.
Daraja hilo litakuwa na urefu wa...
Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma.
Pamoja na dhamira hiyo ya serikali ya kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa...
Rais Samia ametoa TZS298bn kwaajili ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu “ Samia Suluhu Arusha stadium” sasa Mkoa wa Arusha kwenye ramani za AFCON rasmi.
Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia, mkoa wa Arusha umefanikiwa kupata uwanja wa kisasa wa mpira ambao unajengwa katika...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenan Laban Kihongosi, akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Kuu la Christ Cathedral Church, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro na kufanikisha kuchangishwa jumla ya Shilingi...
Rais Samia ametumia TZS26,61bn kujenga Soko Kuu Mwanza linalochukua wafanyabiashara 1,400 na maduka 500, maegesho ya magari zaidi ya 190 kwa Pamoja.
Madhumuni ya Rais Samia ni kuongeza mapato ya ndani kwa halmashauri pamoja na kuhamasisha shughuli mbalimbali za kibiashara Ukanda Mzima wa ziwa...
Kwa yeyote anayeishi au kutembelea maeneo ya Zanzibar, atakuwa ameshuhudia jinsi ujenzi wa nyumba unavyoendelea kwa kasi maeneo mbalimbali. Lakini cha kusikitisha ni kwamba ujenzi huu kwa sehemu kubwa unafanyika kiholela bila kufuata mipango rasmi ya miji.
Eneo la Jumbi juu ya kilima upande wa...
DESIGN YA VYUMBA 4 ,
1. LOUNGE
2.DINNING & KITCHEN
3.2BEDROOMS SELF
4.1BEDROOM SINGLE NEAR PUBLIC BATHROOM
5.MASTER BEDROOM WITH CLOSET AND SPECIOUS BATHROOM
6.BARAZA 2, COST MPAKA KUPAUA NA VERSATILE 45M
TUNAPATIKANA SINZA PALESTINA
CALL/WHATSAP +255624004650
Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha Ndunguru (wapili kushoto) kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari...
Kamati ya Makatibu Wakuu inayoongozwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi, imekagua na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa uwanja mpya wa kisasa wa mpira wa miguu katika eneo la Olmoti, jijini Arusha. Uwanja huo unatarajiwa kuwa miongoni mwa viwanja...
Wakuu
=====
hakuna lingine juu ya hii misaada
Wagombea siku hizi wamepata style mpya — wanabeba mabati, cement na hela, wanajifanya wanasaidia kujenga makanisa na misikiti. Ila ukweli ni kwamba, hiyo ni kampeni kwa kificho. Wanajificha kwenye imani ili wapate kura, alafu wanapiga picha na...
“Sasa hivi tunaoishi katika Dunia hii tunatakiwa kuwa waangalifu wa kila jambo.”
Ni kauli ya Dkt. Khalid Salumu Mohamed, Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Serikali ya Mapindizi Zanzibar (SMZ) aliyoitoa wakati akifungua rasmi mafunzo ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Maafisa...
Hello nilikuwa nataka kuuliza maana kuna watu kutoka board of architects and quantity surveyors' registration board wananifuatilia toka mwezi wa 6 mwaka huu kuwa sijaweka bango hilo la ujenzi, pia nikiangalia majirani zangu wote na waojenga na sehemu za jirani ambao nao wanajenga ghorofa moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.