ujenzi

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya Ujenzi iliyopo Madale Midizini ina changamoto ya kutotoa mikataba kwa baadhi ya wafanyakazi wake

    Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa miundombinu yenye makazi yake Madale Midizin Jijini Dar es Salaam. Changamoto ni kwamba mpaka sasa nina Mwaka wa nne kazini ila sijawahi pewa mkataba, nakosa haki zangu muhimu, bado najulikana ni kibarua tu wa hii kampuni. Tabia hiyo imekuwa ikitokea...
  2. Vedasto Prosper

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu tume ya taifa ya umwagiliaji akagua bwawa la ujenzi Mkomazi

    <Ujenzi wafikia asilimia 85, <Asisitiza kuzingatia muda na ubora wa ujenzi Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji(NIRC), Bw. Raymond Mndolwa, amefanya ziara ya kikazi katika bwawa la kilimo cha Umwagiliaji la Mkomazi lililopo kijiji cha Manga Mtindiro, Wilaya ya Korogwe, mkoani...
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ulipofikia ujenzi wa SGR kipande cha Morogoro to Makutupora

    https://youtu.be/yA3_tEe1Tx0
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya inazidi kupaa, Arusha na Mwanza zijipange ! barabara kilometa 29 njia nne yaanza kuwekwa lami

    Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji. kwa...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apongeza TPDC kwa ujenzi wa Shule ya Msingi Likong'o kupitia Mradi wa LNG, akumbusha shule kufungwa miundombinu ya Nishati Safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong'o mkoani Lindi inayojengwa kupitia mradi wa uzalishaji na usindikaji wa...
  6. Voldemort

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu

    Habari za leo wana JF 👋 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua makadirio ya gharama za kujenga nyumba yenye vyumba 3 (Vyote master), sebule, dining, jiko, store, pamoja na choo cha wageni (public toilet).
  7. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Addis Ababa itakuja kuwa kama Dubai miaka 20 ijayo, sio kwa ujenzi huu aisee

    Huyu Prime Minister wa Ethiopia sio poa aisee. Leo nilikuwa naangalia hii video inaonesha jinsi Addis Ababa inavyokua kwa kasi in just short time Watu wanahamishwa uswazi wanapelekwa kwenye makazi bora, wanaongeza viwanda na uwekezaji kila kona, wanapanda miti everywhere, maghorofa yanajengwa...
  8. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ulipofikia ujenzi wa uwanja wa Arusha

    https://youtu.be/tG4B0NtWDd8
  9. D

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ujenzi wa Interlocking Bricks

    Habari wana jamvi Nimejaribu kufatilia kwa nakala mbalimbali kuhusu faida na hasara za ujenzi wa kutumia interlocking bricks. Sehemu nyingi naona zinaorodheshwa faida zake tu kama Urembo asilia Kupunguza mda wa ujenzi Kupunguza gharama za ujenzi kwani hakuna haja ya plaster wala skimming...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa msingi

    Nipo Mwanza hivi gharama za kujenga msingi wa nyumba ya vyumba 3,dining ,kitchen kwa kutumia tofali inaweza gharimu kiasi gani kwani kuuliza sio ujinga.
  11. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Shule ya Sekondari Uvinza wakamilika

  12. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Ujenzi bandari ya Bagamoyo kuanza Desemba 2025

    Kwa miaka kumi ujenzi wa bandari hii kwa ushirikiano wa Oman na china umesuasua Lakini sasa mambo yameiva na disemba hii ujenzi utaanza, bandari hiyo itakua kubwa kuliko bandari zote kusini mwa saha,itagharimu $10b. Itakua na kongani za viwanda,makazi ya wafanyakazi wapatao 15k,ni sehemu ya...
  13. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa meli mpya 4 kufungua fursa Katavi na Kigoma

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo zinazojengwa katika Bandari ya Karema mkoani Katavi. Waziri Mbarawa yupo mkoani Katavi kwa ziara yake ya siku mbili amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo pamoja na utoaji huduma katika Bandari ya Karema. Meli hizo...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi aagiza Wakandarasi Wachina wanaokwamisha ujenzi wa Barabara wawekwe ndani

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza kuwekwa ndani kwa wakandarasi wa kampuni kutoka China ambao wameshindwa kutimiza masharti ya mkataba wa ujenzi wa barabara ingawa serikali imetimiwa wajibu wake kwa kulipa sehemu ya malipo. Ulega amesema juhudi za kutaka vigogo wa kampuni hiyo kuja...
  15. J

    JamiiForums Tanzania KERO Uzembe wa TANESCO wakwamisha ujenzi wa barabara-Dar

    TANESCO kata ya Kibamba -Dar, inafanya uzembe mkubwa sana kwa kushindwa kuhamisha nguzo za Umeme kwa muda kwenye barabara ya Hondogo iliyokuwa inajengwa. Hii imesababisha Mkandarasi kuhamisha vifaa vya kazi na kupeleka sehemu nyingine, na kuacha kero kubwa kwa wakazi hasa mvua inaponyesha...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 DC Ilala ahimiza ujenzi upya wa Ofisi zilizoharibiwa wakati wa Vurugu Oktoba 29

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka watumishi wa umma katika wilaya hiyo kuendelea kutoa huduma kwa wananchi licha ya changamoto zilizojitokeza baada ya baadhi ya ofisi zao kuharibiwa. Akizungumza wakati wa kufanya tathmini ya maeneo yaliyoharibiwa, Mpogolo alisema kuwa Serikali...
  17. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ijue Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Tanzania

    Ijue Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Tanzania Unajua? Biashara ya vifaa vya ujenzi ni fursa kubwa hapa Tanzania 🏗️ Lakini kufanikiwa kunahitaji mikakati sahihi. Hebu tuangalie mambo ya msingi: 🔹 1. Litambue soko lako Usiingie gizani! Jua wateja wako ni nani, bei za washindani wako zikoje, na...
  18. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ijue Biashara Ya Vifaa Vya Ujenzi

    Biashara ya vifaa vya ujenzi Tanzania ni fursa kubwa yenye faida endapo utaingia ukiwa na mikakati. 1. Litambue Soko Lako Kabla ya kuanzisha duka la vifaa vya ujenzi, hakikisha unatambua soko lako. Jua ni wateja gani unaowalenga wawe mafundi, wamiliki wa nyumba, au makandarasi wakubwa. Fanya...
  19. michu03

    JamiiForums Tanzania Maji, Unyevu, Fungus, paa kuvuja na Kemikali za Ujenzi — Changamoto, Uzoefu na Suluhu.

    💧🏗️ C stallion Africa kamili dhidi ya maji, unyevu na matumizi ya kemikali katika ujenzi Wadau wote wa sekta ya ujenzi – Karibuni! Wahandisi, mafundi, wakandarasi, estate managers, wamiliki wa majengo, na maduka ya hardware – huu ni mwaliko maalum wa kujadili na kutatua changamoto...
  20. Kishoka1

    JamiiForums Tanzania Napitia wakati mgumu mno kufanya maamuzi ya ujenzi

    Ndugu wana Jf mimi ni kijana hizi nyumba za kupqnga zimenichosha, kutwa kelele za kugombezwa na mama mwenye nyumba mbele ya wanangu wawili ni fedheha. Nimejipigapiga nimeuza maeneo ya urithi ili angalau nijistili na familia yangu Sasa changamoto mimi ni mgeni wa masuala ya ujenzi..nimeleta uzi...
Back
Top Bottom