ujenzi

  1. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Afya & TANROADS, ingilieni kati hali ya vumbi jiji la Mbeya kabla haijageuka janga la afya ya umma

    1/ Kutoka Uyole hadi Mbalizi, wananchi wanakumbana na vumbi lisilomithirika kila siku. Hali hii si tu kero, bali ni tishio kubwa kwa afya za wakazi wa jiji la Mbeya hasa wafanyabiashara. Magari yanatimua vumbi zito sana pale katikakati ya jiji kwa sasa. 2/ Vumbi hili linaongeza hatari ya...
  2. Rijali jandoni

    JamiiForums Tanzania Waheshimiwa viongozi, 2026-2035 ni muda wa ujenzi wa treni za katikati ya miji ili kuongeza uchumi wa taifa na mtu mmoja mmoja

    Ndugu zangu nawasilimu kwa majina yote ni imani yangu mko salama. Leo nimeamka na kufikiria kuhusu nchi yetu pendwa baada ya muda mrefu kutoa michango kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu, nilifurahi kuona swala la kilimo kwa vijana likitiliwa mkazo hiyo itakuwa chachu ya maendeleo kwa vijana...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Jiji Dar ina mpango gani na Soko la Ilala Boma? Lina mazingira hatarishi kiafya

    Nimekuwa nikitembelea Soko la Ilala Boma kununua bidhaa za ndani kwa ajili biashara ya genge, sasa ni takribani miaka minne imepita. Kusema ukweli, soko hilo lipo katika hali mbaya licha ya kuchangia kwa kiwango kikubwa kwenye mapato ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Katika kipindi hiki...
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Makosa 8 ya Ujenzi yanayoongeza gharama epuka kabla haujajuta

    ⚠️ MAKOSA 8 YA UJENZI YANAYOONGEZA GHARAMA — EPUKA KABLA HAUJAJUTA! (Elimu ya Ujenzi wa Kitaalamu) 🏗️ Unapopanga kujenga nyumba — epuka maamuzi ya haraka. Makosa madogo ya awali yanaweza kusababisha hasara kubwa ya mamilioni baadaye — na wakati mwingine kulazimika kubomoa na kuanza upya. Haya ni...
  5. greater than

    JamiiForums Tanzania Ujenzi: Kuzuia maji katika jengo

    SEHEMU YA PILI Namna ya kuzuia maji katika jengo 1.Mfumo wa kuchepusha maji mbali na jengo 2.Uwepo wa gutter 3.Matilio zenye kuzuia maji 1.MFUMO WA KUCHEPUSHA MAJI KATIKA KIWANJA Njia hii inatakiwa kutumika katika kukabiliana na maji yanayogusa sehemu za chini katika jengo lako,sehemu hizo ni...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ya SAMIA kama hamtashughulika na Majizi yaliyopo Halimashauri ya BUTIAMA , Hospitali Mpya ya Wilaya ya BUTIAMA Haitokaa Kumalizika Ujenzi

    Mimi ni Chadema Damudamu, na kama ambavyo Chama Changu hakiitambui Serikali hii ilotokana Uchaguzi Haramu !! Kuna Wakati kama Mtanzania Unaumia na kutoa Machozi !!. Ukamilashaji wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya BUTIAMA , Sulihisho sio Kubadilisha Ma DMO , Ma DMO mtabadili sana na Kila...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Miradi yote ya Ujenzi iwe chini ya Wizara ya Ujenzi

    Kitu Gani kinafanya wizara ya UJENZI isihusike na miradi YOTE ya UJENZI ya serikali? Bali imejikita kwenye Ujenzi wa barabara kuu na baadhi ya majengo au wizara zingine zinatumia miradi ya ujenzi kama chaka la kuiba pesa za umma hasa wizara ya TAMISEMI, TBA tasisi ambayo iko chini ya wizara ya...
  8. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Vijana watakiwa kuwa nguzo ya maadili na ujenzi wa Taifa katika kumbukizi ya miaka 104 ya Baba wa Taifa

    Dodoma, Aprili 11, 2026 Kongamano la vijana ya kumbukizi ya miaka 104 ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa, Julius Nyerere, limefanyika leo Jumamosi katika Ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kongamano hilo limewakutanisha viongozi wa serikali, wanafunzi na vijana kutoka maeneo...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Barua ya masikitiko kwa wizara ya ujenzi, tangu tufanyiwe tathmini ya majengo Ujiji hatujalipwa pesa zetu

    Habari za Leo viongozi humu ndani hii ni barua ya masikitiko kwa wizara ya ujenzi mimi ni mkazi wa Kigoma ujiji mwaka 2022 selekali kupitia TANROADS Kigoma walifanya vikao kadhaa na wananchi wa kata za majengo na machinjioni wakatoa wito kwa wananchi hao kupisha mradi wa upanuzi wa uwanja wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za ujenzi

    🚧 UNAHITAJI HUDUMA ZA UJENZI NA FINISHING? TUKO HAPA KUKUSAIDIA! 🏠✨ Habari wakuu, Tunatoa huduma bora na za uhakika katika sekta ya ujenzi (construction) na ukamilishaji wa majengo (finishing works). Kama unajenga nyumba, ofisi au mradi wowote – sisi ni suluhisho lako! 🔨 HUDUMA ZETU NI PAMOJA...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANROADS imeridhia ujenzi huu eneo la barabarani karibu na Ofisi ya DC Ubungo?

    Kuna jambo linaendelea naona kuna dalili ya kitu fulani ambacho hakipo sawa, kuna ujenzi wa kituo cha mafuta (Sheli) umeanza Mitaa ya Luguruni. Wameanza kujaza kifusi katika sehemu ambayo nafikiri siyo sahihi kwa sababu, kwanza ipo kwenye roundabout ya kwenda kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Miundombinu yapitisha Randama ya Bajeti Wizara ya Ujenzi 2026/2027, yapongeza mikakati ya kupunguza foleni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ya Wizara ya Ujenzi hatua inayotajwa kuwa muhimu katika kuendeleza kasi ya uboreshaji wa miundombinu nchini. Akizungumza jijini Dodoma...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa biashara ya kutengeneza Matofali ya ujenzi..

    Naomba Fundi / Mfanyabiasha mwenye uzoefu wa kutengeneza matofali ya ujenzi pamoja na pavement unipe ushauri wa hiyo biashara, mtaji wa kuanzia, maeneo lengwa pamoja na chagamoto zake Asanteni
  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi ujenzi wakuu, anayeweza kazi vizuri

    Nina plot yangu nataka nitoe kitu kikali Sasa ninaomba humu kama Kuna fundi mzuri.
  15. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Unatafuta Vifaa vya Ujenzi? Karibu VN Warehouse Limited – Tunauza Jumla na Rejareja

    Unatafuta vifaa bora vya ujenzi kwa bei nzuri? Karibu VN Warehouse Limited, kampuni iliyosajiliwa kisheria inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi kwa jumla na rejareja. Tunatoa bidhaa zenye ubora wa uhakika kwa mafundi, wakandarasi, na wateja wa kawaida wanaojenga au kufanya...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tume mgogoro Ngorongoro: Serikali isitishe ujenzi wa Nyumba kwa ajili ya Wananchi wanaohamia Msomela, Kitwai (B) na Saunyi badala yake wapewe pesa

    Mapendekezo ya Tume ya Rais iliyofanya tathimini kuhusu mgogoro wa ardhi na uhamaji wa hiari, Ngorongoro Eng. Musa Iyombe amesema uamuzi wa Serikali kujenga nyumba kwa wakati huo ulikuwa sahihi hata hivyo imebainika kuwa utekelezaji wake ulikuwa na dosari zinazohitaji kufanyiwa kazi. Tume...
  17. hp4510

    JamiiForums Tanzania Taasisi Ambazo zinasimamia Ujenzi wa Maghorofa Tanzania Fanyeni kazi

    Wakuu kwema? Weekend nilienda kumtembelea ndugu anaishi kigamboni mitaa ya uwanja wa machava, amerent kwenye ghorofa ambayo ina wapangaji wengi Room yake iko ghorofa ya chini ila juu kuna ghorofa zingine tatu Kwa hali ya ujenzi na vifaa hafifu vinavyotumika Pale aisee ile nyumba inaweza...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Msumi: DAWASA yakabidhi eneo la Ujenzi wa Tenki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekabidhi rasmi eneo la ujenzi wa tenki la maji litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi lita 500,000 katika eneo la Mbezi Msumi kwa mkandarasi Jeccs Construction and Supply Limted. Hatua hiyo ni kuashiria kuanza rasmi kwa shughuli za...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Said Mtanda: Dhana ya haki na amani haziwezi kutenganishwa katika ujenzi wa taifa imara, ni pande mbili za sarafu moja

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amesisitiza kuwa dhana ya haki na amani haziwezi kutenganishwa katika ujenzi wa taifa imara, akizitaja kuwa ni pande mbili za sarafu moja. Akizungumza jana, Machi 4, 2026, katika Maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day) nchini Tanzania, Mtanda...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar anazungumza na Wanahabari, Machi 2, 2026

    https://www.youtube.com/live/FUTYjcwovgA Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dkt. Khalid Salum Mohame : Ndani ya siku 100 za Rais Dkt. Mwinyi tumekusanya mapato ya 192,997,450 yanayotokana na Makosa ya usafiri wa ardhini Lengo letu si kukusanya mapato tunataka kudhiti makosa Waziri Dkt...
Back
Top Bottom