ujenzi

  1. Rais Samia amechangia millioni 200 Ujenzi wa kanisa Kuu la Christ Cathedral Church, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenan Laban Kihongosi, akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Kuu la Christ Cathedral Church, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro na kufanikisha kuchangishwa jumla ya Shilingi...
  2. J

    Nyie Wajasiriamali zaidi ya 1,400 mnakumbuka mlivyopanga biashara zenu chini kabla ya Rais Samia hajatoa TZS27bn za ujenzi wa soko kuu la Mwanza?

    Rais Samia ametumia TZS26,61bn kujenga Soko Kuu Mwanza linalochukua wafanyabiashara 1,400 na maduka 500, maegesho ya magari zaidi ya 190 kwa Pamoja. Madhumuni ya Rais Samia ni kuongeza mapato ya ndani kwa halmashauri pamoja na kuhamasisha shughuli mbalimbali za kibiashara Ukanda Mzima wa ziwa...
  3. Ujenzi Holela Zanzibar: Sehemu nyingi hazifuati mipango miji – Moto ukitokea huduma haziwezi kufika!

    Kwa yeyote anayeishi au kutembelea maeneo ya Zanzibar, atakuwa ameshuhudia jinsi ujenzi wa nyumba unavyoendelea kwa kasi maeneo mbalimbali. Lakini cha kusikitisha ni kwamba ujenzi huu kwa sehemu kubwa unafanyika kiholela bila kufuata mipango rasmi ya miji. Eneo la Jumbi juu ya kilima upande wa...
  4. 45M MPAKA ROOFING 4BEDROOMS DESIGN NZURI NA KALI SANA FIT 20X20M PLOT CALL US +255624004650 KUPATA DESIGN NZURI NA UJENZI WA KIWANGO

    DESIGN YA VYUMBA 4 , 1. LOUNGE 2.DINNING & KITCHEN 3.2BEDROOMS SELF 4.1BEDROOM SINGLE NEAR PUBLIC BATHROOM 5.MASTER BEDROOM WITH CLOSET AND SPECIOUS BATHROOM 6.BARAZA 2, COST MPAKA KUPAUA NA VERSATILE 45M TUNAPATIKANA SINZA PALESTINA CALL/WHATSAP +255624004650
  5. CRDB Yachangia Madawati 111 na Ujenzi wa Uzio Shule ya Sekondari Prof. Adolf Mkenda, Rombo

    Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha Ndunguru (wapili kushoto) kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari...
  6. GE2025 Kamati ya makatibu wakuu yaridhishwa na ujenzi wa uwanja mpya wa mpira jijini Arusha

    Kamati ya Makatibu Wakuu inayoongozwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi, imekagua na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa uwanja mpya wa kisasa wa mpira wa miguu katika eneo la Olmoti, jijini Arusha. Uwanja huo unatarajiwa kuwa miongoni mwa viwanja...
  7. GE2025 Je, Misaada ya Kijamii Wakati wa Uchaguzi ni Njia ya Kununua Kura?

    Wakuu ===== hakuna lingine juu ya hii misaada Wagombea siku hizi wamepata style mpya — wanabeba mabati, cement na hela, wanajifanya wanasaidia kujenga makanisa na misikiti. Ila ukweli ni kwamba, hiyo ni kampeni kwa kificho. Wanajificha kwenye imani ili wapate kura, alafu wanapiga picha na...
  8. Dkt. Khalid Mohamed - Waziri wa Ujenzi (SMZ): Tunatakiwa kuwa waangalifu wa kila jambo, Teknolojia inakua, faragha za Watu zinaingiliwa

    “Sasa hivi tunaoishi katika Dunia hii tunatakiwa kuwa waangalifu wa kila jambo.” Ni kauli ya Dkt. Khalid Salumu Mohamed, Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Serikali ya Mapindizi Zanzibar (SMZ) aliyoitoa wakati akifungua rasmi mafunzo ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Maafisa...
  9. F

    Kuweka bango la ujenzi kwenye nyumba ya kuishi (Ghorofa vyumba 4)

    Hello nilikuwa nataka kuuliza maana kuna watu kutoka board of architects and quantity surveyors' registration board wananifuatilia toka mwezi wa 6 mwaka huu kuwa sijaweka bango hilo la ujenzi, pia nikiangalia majirani zangu wote na waojenga na sehemu za jirani ambao nao wanajenga ghorofa moja...
  10. MTI HUU NA FAIDA ZAKE KATIKA UJENZI.

    Wakuu, Huu mti unaitwaje? Je una sifa gani katika ujenzi hasa kupauwa? Mbao zake zina uwezo wa kuhimili wadudu waharibifu na mchwa?
  11. Unahitaji mjenzi wa uhakika kwa ajili ya kazi yako ya ujenzi, Karibu tukuhudumie

    4BEDROOMS SIMPLE STOREY PLOT SIZE 600SQM CALL US +255624004650
  12. B

    Ujenzi wa msingi

    Habari zenu jf members Naomba kuuliza...hivi kujenga msingi wa nyumba bila kuweka nguzo kwenye kona ya nyumba ni sawa? Nyumba sio ghorofa.
  13. GE2025 Bilioni 12 kukamilisha ujenzi shule za sekondari Rukwa na Katavi

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali Wilayani Kibondo Mkoani Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi zinazogharimu Shilingi Bilioni 3.2 Vilevile serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 8.8 kwa ajili ya...
  14. Mhe. Mchengerwa Ataka Kukamilika kwa Ujenzi wa Barabara Jimbo la Ukonga kwa Wakati.

    Mhe. Mchengerwa ataka kukamilika kwa ujenzi wa barabara jimbo la Ukonga kwa wakati. Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Mohamed Mchengerwa amemtaka mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Barabara ya Banana – Kitunda – Kivule – Msongola na Kivule – Majohe Junction...
  15. Waziri Ulega Aguswa na Mtoto Mwenye Kipaji cha Ujenzi wa Barabara na Madaraja, Aahidi Kumsaidia

    WAZIRI ULEGA AGUSWA NA MTOTO MWENYE KIPAJI CHA UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA, AAHIDI KUMSAIDIA Kufuatia video fupi iliyokuwa ikisambaa mitandaoni, ikimuonesha mtoto Riziwani Martin Asheri mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kibaigwa mkoani Dodoma ambaye ana kipaji cha kujenga barabara na...
  16. Afisa Elimu Ilala, DC Ilala fuatilieni Shule maeneo ya Vituka, Watoto wanabebeshwa Matofali na Michanga kwa ajili ya Ujenzi

    Kwako Afisa Elimu Ilala, Poleni na majukumu ya kila siku. Kuna shule moja ambapo mtoto wa rafiki yangu amehamia mwaka huu. Kwa wanachoona watoto, inasikitisha sana sana. Ile shule inaonekana ujenzi unaendelea wa mabweni na mengineyo. Wanachofanya shule ni kubana matumizi. Kila jioni...
  17. Tofauti ya zamani na sasa katika ujenzi wa Nyumba za kuishi!

    Ukiishi nchi za wenzetu, hakuna mafensi makuubwa ya nyumba labda kama ni nje ya mji. ila hapa kwetu na south, mtu anajenga nyumba na fensi ambayo hadi uingie unapata shida. mara aweke waya za umeme, filimbi za sauti kali ambazo ukipiga mtaa mzima watashtuka kujua kuna hatari kwako iandae na...
  18. Mkurugenzi Manispaa ya Songea akabidhi eneo la Mradi wa Ujenzi wa Soko la Sh Bilioni 22.9 - Manzese A na B

    Machi 28, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com aliwasilisha andiko lake akilalamikia changamoto ya Miundombinu ya soko la Bombambili kwa kueleza Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati wa mvua hali ni mbaya Alisema Soko la Bombambili ambapo ndipo Wafanyabiashara walipohamishiwa...
  19. Mkandarasi ahidi kukamilisha kwa wakati ujenzi wa ofisi mpya ya mkuu wa mkoa Kagera

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa gharama ya jumla ya shilingi bilioni 9, ambapo awamu ya kwanza imepokea shilingi bilioni 4.6. Ujenzi huo...
  20. Natofautiana na Gwajima: Jeshi wasipewe zabuni za ujenzi bali wawezeshwe wawe wanazalisha silaha na kuziuza

    Jeshi halitakiwi kùwa sehemu ya uchumi mfano umeipa kampuni ya jeshi tenda ya barabara swali unaweza iwajibisha jibu ni hapana Changamoto kubwa wanayopitia egypt ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi, ndo maana morsi mtawala wa kiraia alivyoingia na kutishia maslai ya jeshi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…