ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Unguja kuanza ujenzi wa barabara za juu (Flyover)

    Mradi wa ujenzi wa barabara za juu (Flyover) katika mkoa wa mjini magharibi kisiwani unguja, unatarajiwa kuanza hivi karibuni baada ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia katibu mkuu wa wizara ya ujenzi mawasiliano na uchukuzi wa Zanzibar Bi.Khadija Khamis Rajab kusaini mkataba na...
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mitambo ya ujenzi inauzwa

    Habari, Husika na kichwa cha habari, Mitambo ya ujenzi kama excavators, faw tippers, wheelloaders, weighbridge, drill machine etc inauzwa. ipo Lugoba Tanzania. Bei ipo kwenye picha 0658007766 karibu
  3. JamiiForums Tanzania Geita: Mayanga Contracts LTD, imeshindwa kumaliza ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa baada ya Mwenye Kampuni kufa?

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesikitishwa na kitendo cha Mkandarasi MAYANGA CONTRACT LTD Kampuni ya ujenzi iliyopewa Tenda ya kujenga Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kushindwa kukamilisha kwa wakati ofisi hiyo. Naye Eng.Makoye Luhya Kwaniaba ya Mkandarasi Mayanga Contractors Amesema...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Baada ya Kushindwana na Mwekezaji

    Kumekuwepo na madai kuwa Serikali imesitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya Kushindwana na mwekezaji. Hapo awali Serikali ilifufua mazungumzo na mwekezaji kuhusu ujenzi wa Bandari hiyo ila mazungumzo hayakwenda sawa. Hayo yamesemwa na Waziri Prof. Makame Mbarawa NB. Kwenye suala na...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo

    SERIKALI imeanza mchakato wa kutafuta mwekezaji mpya kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya mazungumzo na mwekezaji wa awali kutokufikiwa mwafaka na hatimaye kujitoa. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, alisema...
  6. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie ramani kali ya nyumba ya ghorofa moja

    One story design FIRSTST FLOOR -Two bedrooms(master&self) -small living room -toilet -Dining -Gym GROUND FLOOR -Three bedrooms (1master) -Dining -Living room -Kitchen -store -Toilet WhatsApp +255678418272
  7. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Mshahara wa Mhandisi daraja la pili (engineer II) Wizara ya Ujenzi

    Anaefahamu Mshahara wa mhandisi daraja la pili (engineer ii) wizara ya ujenzi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani akagua ujenzi wa Hospitali Chalinze ambayo inazidi kumulikwa na Serikali. Wadau wamuunga mkono

    RIDHIWANI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI CHALINZE AMBAYO INAZIDI KUMULIKWA NA SERIKALI YA RAIS SAMIA. WADAU WAMUUNGA MKONO. Jana Jumatano Julai 28, 2022 Mbunge wa Chalinze ambae pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amekagua maendeleo ya ujenzi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ujenzi rahisi kwa kutumia interlock blocks, jenga popote, jenga sasa

    Interlock blocks au bricks ni aina ya tofali zinazofungamana kwenye ujenzi bila kutumia zege(motor) kuziunganisha,zinapigwa kwa saruji na udongo wenye mfinyazi kiasi. Tofali hizi zinatumia saruji kidogo sana(10%) tu ya udongo. Hizi tofali zipo miundo mingi sana lakini nitazungumzia aina ya...
  10. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa viwanda vya kubangua korosho na neema kwa Watanzania

    Serikali ya Tanzania imesema iko katika hatua za mwisho za majadiliano na Serikali ya Vietnam kujenga viwanda vitakavyobangua Korosho hapa nchini (Tanzania) ili kuiongezea thamani badala ya kuiuza ikiwa ghafi kama inavyofanyika kwa kiasi kikubwa hivi sasa. Taarifa kutoka Kituo cha uwekezaji...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yathibitisha rasmi kuiogopa Tanzania katika biashara. Yakataa kuidhinisha ujenzi wa kiwanda cha gesi cha Rostam

    Kenya has frozen plans by a Tanzanian billionaire to set up a gas plant and storage facilities at the Mombasa port, threatening a trade spat between the two neighbouring countries. The Energy regulator has declined to clear the application by Taifa Gas, which is owned by tycoon Rostam Aziz...
  12. JamiiForums Tanzania Zitambue bidhaa za ujenzi zinazookoa gharama za ujenzi

    1. "Abraar Hollow Blocks". Abraar Education Centre licha ya kutoa mafunzo ya kuunda bidhaa za ujenzi pia ni waundaji wa bidhaa za ujenzi za kipekee zente ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu. Leo tunaanza kuwaletea aina ya bidhaa zetu tunazounda. Licha ya kuziunda bidha hizi, pia...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mhandisi II (civil daraja la pili) wizara ya ujenzi na uchukuzi ni shillingi ngapi kwa anae fahamu

    Kwa anaefahamu mshahara wa mhandisi II civil wizara ya ujenzi na uchukuzi anisaidie hapa. Nashukuru
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango azindua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo

    Alisema miaka ya nyuma baadhi ya maeneo nchini yalikuwa na 'mchwa' katika miradi ya umma, lakini serikali imejizatiti kudhibiti matukio hayo. Dk. Mpango alisema hayo jana wakati akiweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya ya Rombo na kuagiza ianze kazi Oktoba mosi, mwaka huu. "Ninaamini dawa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya gharama ya ujenzi wa nyumba

    Habari wana JF naomba kama kuna wataalam wanipe makadirio ya gharama ya kujenga boma la vumba vi 3 na sebule jiko stoo kwa Mwanza inaweza fika bei gani mpka hela ya fundi?
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu eneo la sqm 165 total cost kuweka pavings!

    Salaam wakuu, Kama heading inavyojieleza. Niende kwenye mada moja kwa moja. Ninahitaji kuweka pavings kwenye eneo lenye ukubwa wa square meter 165. Landscape generally ni flat. Wataalamu na hata wazoefu wa haya mambo naomba nisaidiwe kujua total cost average inaweza kuwa kiasi gani...
  17. JamiiForums Tanzania Wananchi wanaoharibu vyanzo vya maji na kusababisha uharibifu kwenye mfumo wa maji, kushughulikiwa

    KAMATI ZA ULINZI NA USALAMA DAR, PWANI ZASISITIZA ULINZI WA VYANZO VYA MAJI Na Crispin Gerald Kamati za Ulinzi na Usalama za Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani zimeonya vikali wananchi wanaoharibu vyanzo vya maji na kusababisha uharibifu kwenye mfumo wa maji. Akizungumza wakati wa ziara ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania RC Kafulila awanyoosha wachina wa CHICCO, ni wale waliotaka kutupiga TZS 15BL kwenye ujenzi wa barabara ya Mwigumbi-Maswa kilometa 57 kwa TZS 75BL

    Kampuni ya kichina ya CHICCO yatekeleza agizo la RC Kafulila, tayari imekamilisha marudio ya barabara yenye urefu wa kilometa 10 zenye thamani ya tzs15bl. == Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57, ilianza ujenzi tangu mwaka...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Martha Gwau ametembelea na kushiriki ujenzi wa Shule ya Wasichana Mkoa wa Singida ya Solya

    #KutokaManyoni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Martha Gwau ametembelea na kushiriki ujenzi wa Shule ya Wasichana Mkoa wa Singida ya Solya iliyopo Wilaya ya Manyoni. Akizungumza baada ya kushiriki ujenzi huo Mbunge wa Viti Maalum kwa niaba ya Wanawake Mkoa wa Singida ameishukuru...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Stergomena atembelea Mradi Ujenzi Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa eneo la Kikombo, wilaya ya Chamwino Dodoma, tarehe 12 Julai, 2022. Hii ni ziara ya pili kwa Waziri kutembelea mradi wa ujenzi. Lengo la ziara hiyo, ni kukagua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…