ujenzi

  1. Ujenzi wa Stendi ya Halmashauri ya Momba

    WIZARA YA TAMISEMI INAKUSAIDIA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA STENDI YA HALMASHAURI YA MOMBA Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe aliuliza swali lililojibiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mhe...
  2. D

    Utaratibu wa kupata watu wa ardhi kuweka beacon upoje?

    Mimi nina nyumba Chanika jirani yangu anasema nimeingia kwake upana wa nyumba yangu 45 mt lakini nikipima ni 42 mt bado anasema nimejenga kwake. Je, utaratibu upoje wa kupata watu wa ardhi waje wapime watuwekee becon kila mmoja ajue mipaka yake na gharama ngapi? Mwenye kujua naomba anafafanulie.
  3. Ujenzi wa uzio wa waya (senyenge)

    Habari wanajukwaa, Naomba mwenye uzoefu wa kujua eneo la sq metre 400 (20×20) linahitaji nguzo ngapi na waya kiasi gani kwa kujenga fence (uzio)? Asanteni
  4. Dar: Barabara ya Nyerere makutano ya Shaurimoyo kufungwa kwa miezi minne kupisha ujenzi wa daraja

    Uamuzi huo umetangazwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) Dar es Salaam lengo likiwa ni kupisha ujenzi wa Daraja la Reli ya Kisasa ya SGR ambapo barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, 2023 hadi Septemba 30, 2023 baada ya ujenzi husika kukamilika. Imeelezwa katika kipindi hicho vyombo vyote vya...
  5. Baada ya Serikali kutenga Tsh. Bilioni 1.4 kwa ajili ya Chuo cha VETA Rorya, awamu ya kwanza ya ujenzi yaanza

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi (VETA) cha kwanza kitakachojengwa Wilaya ya Rorya. Chuo hicho kitajengwa kwa awamu mbili ambapo kwa awamu ya kwanza ni ujenzi wa majengo 9. Mkuu wa...
  6. Zijue hatua za uwekaji wiring ya umeme katika jengo lako kadri ujenzi unavyoendelea

    -Mpaka Mfumo wa Umeme Kukamilika kwenye Jengo lako hupitia Hatua 3 kuu zifuatazo 1.KABLA YA PLASTA.Huusisha Uwekaji njia za upitishaji waya za umeme,+Data,intercom,motor gate na cctv camera.( +ni option ya mteja) huanza kwa Kuchana ukuta ,Kuweka metal box za switches ,round box taa za...
  7. Serikali yatakiwa kukamilisha Ujenzi wa Miradi kwa Wakati

    SERIKALI YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA MIRADI KWA WAKATI Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Jackline Msongozi ameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa barabara kwa wakati bila kusubiri misimu kwa kujenga vipande nusu nusu. Ameyasema hayo wakati akichangia hotuba ya wizara ya ujenzi na uchukuzi...
  8. Shilingi Trilioni 3.554 Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi 2023/2024

    BAJETI YA TRILIONI 3.554 KUBORESHA MIUNDOMBINU NCHINI - WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 3.5 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya barabara, madaraja, viwanja vya...
  9. Manyara: Ujenzi wa Barabara ya lami ya km 25 kutoka Labbay hadi Haydom sasa unaanza rasmi

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kujenga kwa kiwango cha lami miradi mitatu mikubwa ya barabara mkoani Manyara ambayo itaunganisha mkoa huo na mikoa ya Jirani. Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema hayo leo tarehe 19 Mei 2023 mji...
  10. Makamu wa Rais Mpango aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa barabara ya Mianzini - Olemringaringa - Ngaramtoni Juu na Olemringaringa - Sambasha - Timbolo

    Katika kuboresha miundombinu ya barabara, Serikali kupitia TANROADS imeendelea kutekeleza miradi kabambe na muhimu ya Maendeleo ya barabara Sehemu mbalimbali Nchini, ikiwemo katika Jiji la Arusha, ambapo Makamu wa Rais Dkt Phillip Isdor Mpango ameweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa barabara ya...
  11. Rungwe wamshukuru Rais Samia kwa kuwapa Milioni 970 za ujenzi wa shule

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan apongezwa kwa kutoa kiasi cha Shilingi 970,600,000/= kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kupitia mradi wa Boost katika Kitongoji cha Kibumbe Mkoani Mbeya. Afisa Elimu Msingi wa Rungwe, Juma Mwanjobe amesema “Tumekuwa...
  12. Rais Ruto na ujenzi wa nyumba za bei nafuu

    Namsikiliza Rais Ruto hapa Citizen TV tangu 19h00 (anahojiwa live na Radio/Tv). Wenzetu wako vizuri kwenye Interview, Waandishi na wenye vyombo vya habari wanacha kujifunza hapa. Pamoja na mambo mengi aliyo ongelea, mimi nimevutiwa na ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Kwa kuanzia wafanyakazi...
  13. Serikali yasaini mikataba ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa Kilometa 24.83

    Serikali kupitia TANROADS imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa Kilometa 24.83 kwa kiwango cha lami (mradi unatekelezwa Wilaya ya Mkalama) na mkataba wa ujenzi wa barabara ya Makongolosi – Rungwa – Itigi – Mkiwa sehemu ya Noranga – Doroto...
  14. R

    SoC03 Upigaji mkubwa fedha za Serikali RC Songwe akataa matumizi ya mil 411 ujenzi wa soko la wamachinga

    UPIGAJI MKUBWA FEDHA za SERIKALI RC SONGWE AKATAA MATUMIZI ya MIL 411 UJENZI wa SOKO la WAMACHINGA Nadhani ifike wakati Watanzania kwa pamoja kuamka na kuanza kupinga vitu kama hivi, ikiwezekana kwa maandamano. Kuonyesha hisia kwa pamoja kwa walio madarakani kuwa kodi zetu tunazochanga sio pesa...
  15. Hakuna Hasara Ujenzi wa Reli ya SGR Tabora - Kigoma

    MHE. ATUPELE MWAKIBETE: HAKUNA HASARA UJENZI WA RELI SGR TABORA - KIGOMA SERIKALI kupitia Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Fred Mwakibete imefafanua kuwa hakuna hasara yoyote iliyosababishwa na ununuzi wa mkandarasi wa ujenzi wa njia ya reli ya Tabora-Kigoma, kwa kuwa ulifuata taratibu...
  16. Maboresho ya Barabara ya Mpiji Magoe imeanza

    Maboresho ya Barabara ya Mpiji Magoe hadi Kibamba ndani ya Dar es Salaam umeanza kwa siku kadhaa sasa, hatua iliyofikiwa ni kumwaga kifusi na kushindilia, pia mashimo ambayo yalikuwepo awali yanasawazishwa Upande wa Barabara ya Mbezi to Mpiji Magoe nayo imerekebishwa bado sehemu chache sana...
  17. SoC03 Changamoto na Suluhisho za Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi: Kesi ya Barabara Nchini Tanzania

    Utangulizi: Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi ni mada muhimu sana katika maendeleo ya uchumi na jamii ya Tanzania. Sekta hii inahusika na mipango, utekelezaji, na usimamizi wa sera na mikakati ya ujenzi na usafirishaji nchini Tanzania. Lengo kuu la andiko hili ni...
  18. SoC03 Katika ujenzi wa nchi

    nchi yetu, itakuwa na vijana wenye kujikimu kimaisha iwapo tu tutajitambua kwamba sisi ndiyo wajenzi wa nchi. tukijua kwamba sisi ndiyo wategemewa wa kesho, fursa zilizopo katika jamii yetu ni nyingi mno. za kutosha kujipatia kipato. kijana aliye jitambua hachagui kazi eti amesomea nini, bali...
  19. Ni lini ukarabati na ujenzi wa viwanja vya kisasa vya mpira utaanza chini ya Serikali hii?

    Ndugu Watanzania, umekuwa ni wimbo usiokuwa na mwisho,kila siku ni maneno tu,"tutakarabati,tutajenga uwanja Dodoma wa KISASA " lakini wapi. Wimbo huu toka mwaka 2020 Hadi sasa unaimbwa tu. Watanzania wamegeuzwa wajinga,wanabebeshwa mabango kwenye mechi za Yanga na Simba eti anaupiga mwingi...
  20. K

    Naomba kujuzwa gharama ya plaster

    Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster(CEMENT MIFUKO MINGAPI)nyumba ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…