Namsikiliza Rais Ruto hapa Citizen TV tangu 19h00 (anahojiwa live na Radio/Tv).
Wenzetu wako vizuri kwenye Interview, Waandishi na wenye vyombo vya habari wanacha kujifunza hapa.
Pamoja na mambo mengi aliyo ongelea, mimi nimevutiwa na ujenzi wa nyumba za bei nafuu.
Kwa kuanzia wafanyakazi...
DKT. SAMIZI AFANYA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 3 UJENZI WA NYUMBA YA MGANGA WA KITUO CHA AFYA.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amefanya ziara ya kusikiliza kero za wananchi kata ya Usagara Jimboni ambapo pamoja na mambo mengine ameweza...
Habari ndugu zangu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mm ni quantinty surveyor nimesomea chuo kikuu cha ardhi Dar es salaam hivyo bas napenda kutaarifu jamii kuwa nafanya kazi mabali mbali za kuushu ujenzi wa majengo kama vile
.ukadiliaji gharama za ujenzi mfano kama una raman yako...
Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Igunga umetumia Siku ya tarehe 29 Januari 2023 kufanya uzinduzi ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya ikiwa ni muendelezo wa matukio mbalimbali yanayofanywa na Jumuiya za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea mahadhimisho ya Miaka Arobaini na Sita ya Kuzaliwa kwa...
-Kipengele Cha Umeme katika Nyumba ni moja ya kitu muhimu sana,na inashauriwa kutumia wataalamu wa fani husika kwakua umeme ni hatari pia.
◾️Kwa Nyumba Ambazo sio za Ghorofa, Inashauriwa Kabla hujaanza Kupiga Plasta Jengo lako, Fundi atahusika Kutindua,kujenga box za switch&sockets,round box...
Wadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi.
Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye...
Habari wana JF naomba kama kuna wataalam wanipe makadirio ya gharama ya kujenga boma la vumba vi 3 na sebule jiko stoo kwa Mwanza inaweza fika bei gani mpka hela ya fundi?
Habari wana JF,
Naombeni msaada kwa anayejua maswala ya ujenzi nilkuwa nataman kujua nyumba ya aina hii inatakiwa iwe na tofali kuanzia ngapi?
Msingi itakuwa ni tofali ngapi?
Na kupandisha Ni tofali ngapi?
Poleni na majukumu wana JF ni imani yangu Mungu anaendelea kutupigania.
Naomba kujua umuhimu wa Valley kwenye Nyumba, pia nitashukuru kama naweza kupata picha ya Nyumba yenye Valley.
Nawatakia weekend njema.
Nyumba hizi hujengwa nyumba vikiangaliana, ni ujenzi maarufu katika nchi nyingi za Afrika. Choo, bafu na jiko la jumuia hukaa katika vyumba vya nyuma. Siku hizi wengi hupikia majiko ya gesi hivyo chumba cha jiko hutumiwa na wachache wale wa kupikia kuni au wanao kaanga samaki.
Biashara hii ni...
Binafsi naamini sana kuwa na sehemu yako ya kuishi bila bugudha ya kodi wala maudhi ya wapangaji wengine.
Mambo machacho kuhusu mimi
1. Niko under 30
2. Kipato changu ni kati ya 500k - 550 k kwa mwezi
Baada ya kununua kiwanja، nilianza kununua maatofali kidogo kidogo.
Mambo niliojifunza
1...
Usafi wa nguo hufanyika kila mara na hii inategemea ukubwa wa familia au wingi wa wakazi. Kuna wanaofua kila siku, kila baada ya siku au mara moja kwa wiki. Wengine Hufua kwa mashine na kukausha kwa dryer, hawa siwaongelei hapa kwani ni wachache sana.
Nguo kuanikwa hovyo hovyo kunapoteza...
Salaam wakuu,
Kama mnavyojua ndugu zangu ni lazima tuhame kwa wazazi wetu tukaanze maisha. Na kutokana na hayo hatuna budi kufikiria kuwa na makazi yetu.
Uhalisia huo umenifanya niijiulize maswali mengi sana hasa ni gharama kiasi gani zinahitajika kutekeleza ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu...
Waungwana naombeni mnisaidie, je ni ipi njia bora ya kuanza ujenzi wa nyumba endapo tayari una kiwanja kati ya hzi zifuatazo:
1. Kumtafta surveyor wa ku survey eneo la kiwanja na ku design nyumba kulingana na eneo lilivo, na gharama za kumlipa huyo surveyor zipoje
au
2. Kununua...
Huu mto Ndumbwi ndio mto unaoingia Bahari ya Hindi Sambamba na nyumba ya marehemu Gertrude Lwakatare. Ukingoni mwa mto huu karibu na nyumba hiyo vilibuniwa viwanja na matapeli wa ardhi wilaya ya Kinondoni na Kuwauzia watu walioanza kujenga kinyume na sheria za nchi kuhusu Mazingira.
Kilio cha...
Wakuu nazimia sana aina hii ya nyumba kwani zipo very simple,attractive,compact na zinakula nafasi ndogo sana.
Ni wapi kwa Dar wanatoa huduma ya ujenzi wa aina hii ya nyumba na gharama huwa ni sh ngapi?
Hizi nyumba huwa zinanivutia sana hasa kwenye design yake ilivyo,imagine haka hapa kana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.